imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Akikung'ata hata kama ulikuwa umelala utaamka tu halafu anakuvingirisha na kukuvunja mbavu zote.Uzuri hana sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikung'ata hata kama ulikuwa umelala utaamka tu halafu anakuvingirisha na kukuvunja mbavu zote.Uzuri hana sumu
Ndio maana ukinisoma tokea mwanzo nimekuwa nikisema Chatu MKUBWA au Mamba MKUBWA na hapa naongelea Spicies zote za MAMBA Nile Crocodile Aligator Salt Water Crocodile na Cayman.Ina depend na Aina ya mamba, Size ya mamba pia na Size ya Nyoka maana kuna aina tofauti za mamba ambazo pia zina Size tofauti pia kuna umri wa mamba husika na nyoka.
Sisi tunapenda kusema tu jina la kiumbe bila kuzingatia sifa mtoto wa tembo akiuliwa na Simba mkubwa tunasema Simba kaua Tembo.
Acha utani mkuuwote ukiwaamulia unawanyoosha tena hata bila kutumia Panga
Hao wote ni balaa, usiwachokoze tu.Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Kuna story nyingi za Chui kupokea kipigo kutoka kwa Mwanadamu labda ungesema Tiger.
Kuna story nyingi za Chui kupokea kipigo kutoka kwa Mwanadamu labda ungesema Tiger.
Tatizo ni ubonadamu tulionao (humanity) sio kutokuwa na uwezo bindamu utaona hata Kenge anamkimbia au wanawake hata mjusi, kwenye movie utaona kakiumbe kadogo kanshambulia mtu.Ila tuseme ukweli binadamu kiumbe dhaifu sana.
Yaani hakuna kiumbe ambacho tunalingana ukubwa au uzito ambacho unaweza kukimudu kukikalisha chini bila kutumia siraha.
Kucha zetu zenyewe umekuwa urembo tu, meno ya kutafunia mishikaki tena iliyokwiva.
Viumbe wengine angalau wanayo hata sauti ya kutisha, sisi nayo hatuna.
hajui kukimbia wapi, kwenye maji au nchi kavu!?Mamba mi rahisi kumkwepa kwani halijui kukimbia.
Tiger hata Simba haoni ndani.Tiger ni hatari aise
Tiger hata Simba haoni ndani.
We jamaa unabisha ujinga kila ukielimishwa unakua mnaa! Chatu hawa mang'ombe anakula sana tu uliza wafugajiNani kakwambia anavunja mifupa pia hata akivunja still ng'ombe mkubwa sana
Nadhani Big Cats mkubwa kuliko wote ni Bengali Tiger au Siberian Tiger sina uhakika ila ni wakubwa sana wadudu wale katika Jamii yao.Halafu ni wakubwa sana kuzidi simba, jaguar na chui