Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Nilikutana na Simba, eneo Moja hivi iringa,siku hiyo nilikuwa safarini nikasema wacha nichimbe dawa!!kufumba na kufumbua Simba huyu hapa kichakani amepozi!ashukuriwe MUNGU hakuna kitu alinifanya!nahisi alikuwa kavimbiwa!
 
Wote ni rahisi isipokua mamba simba mara nyingi haangaiki ni binadam simba atakudhuru pale atakapohisi unataka kumdhuru, chatu pia huwa hawindi binadam anaweza kukuona kabla hujamuona na akakuacha ukapita zako shida ipo kwetu sisi tukiwaona kabla huwa tunataka tuwaue

Ila mamba yeye anakufata
 
mamba ndo survival chance inakaribia 0%

ana spidi kuliko mtu, ana ngozi ngumu, panga halitomdhuru sana

ana bite force kubwa, akikung'ata mahali huchomoi
Ukipata upenyo piga finger za macho ,ila muda huo unasubiri kukata moto maana atakuwa keshakutenganisha, wana trick yao moja inaitwa DEATH ROLL,akikudaka anajizungusha kama anagalagala ili uishe fasta

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna watu kwetu hatujalogwa wala hatujapewa laana. 😀

Nina shamba mahali ambalo liko karibu na mto, kuzuri kuna miti mingi mikubwa, niliku naenda baadhi ya wikiend labda friday to Sunday. (Enzi hizo kabla sijawakodishia watu)

Kuna siku nilikua na stress moja hivi, nikatoka eneo la shamba nikaenda mtoni nikatandika kitenge chini ya mti pembeni ya mto nikajilaza, bwana si nikapitiwa na usingizi? Wamekuja kuniamsha wakaka wa shambani kwangu jioni saa kumi na mbili, nililala kwa masaa yasiyopungua matatu. Kila nikikumbuka hili tukio mwili unasisimka.

FYI: huu mto una mamba watu wameliwa na mamba pale akiwepo raia mmoja wa kigeni sijui walikuwa kwenye tafiti sijui nini.
 
Semenya hilo zali la kukutana na mbwa mwitu nalitamani nakuliombea sana linitokee. Yani huo mkono ntakavyoutembeza hakuna kupanda mti.
Acha utani ...porini Simba akiwa mmoja akikutana na kundi la mbwa mwitu anakimbia kama mshale ..
Hawezi kukaa hapo ..

Binadamu ukikutana na mbwa mwitu labda uwe na SMG full magazine..la sivyo panda mti
 
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambaa naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Mkuu swali lako lina utata sana!Mfano binafsi nieleweshe huyo mamba unakutana nae maeneo yapi?Maana nchi kavu ni powerless!
 
Meno ya chatu ni kwaajiri ya kukamata tu
Kupata kichekesho hiki nibonyeze ngapi?
Screenshot_20240307-205214.png
 
Inategemea wapo katika hali gani,wakiwa wameshiba wote wastaarabu ila wakiwa na njaa better Simba kwakua chatu anakuvunja mbavu and all joints kabla hajakumeza,simba akiwa pekeyake unaweza pigana but not chatu
 
Back
Top Bottom