Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Hujawahi kukutana na mwanamke eeh
 
Binadamu ndio mnyama hatari kuliko Wanyama wote, yaan hao wote hakuna Mamba, Chatu wala Simba anaweza kukudhuru unaweza ukamnyoosha na unaweza hata kumfuga pia na kumfundisha na akatii na akakuheshimu, jibu ni kwamba wote ukiwaamulia unawanyoosha tena hata bila kutumia Panga
Kupata kichekesho hiki tubonyeze namba ipi?
 
Acha ubishi ndugu kuna Dereva Msomali alimezwa na Chatu huko Zambia alikuwa ameenda kujisaidia akapigwa Ambush ilibidi Askari wampige risasi yule Chatu nakumpasua na kumtoa yule Marehemu.

Hapa kinachoongelewa ni Wanyama wakubwa hata Simba mtoto hawezi kula mtu au Mamba mtoto ambao huko Kongo ni kotoweo cha Wenyeji.
Kuna dereva wa Dangote pia hapa Bongo aliwahi kumezwa alishuka kujisaidia porini huko. Stori yake ipo hapa JF.
 
Meno na kucha
Ana meno mengi kuliko Simba na Mamba halafu mwili wake wote ni Misuli tupu ya kunyongea
rock_python2.jpg
 
Chatu wakubwa hawapatikani Afrika!

Reticulated pythons wanapatikana Southeast Asia. Hawa ndo chatu wakubwa zaidi duniani.

Burmese pythons wanafuatia kwa ukubwa. Hawa wanapatikana kwa wingi huko South Asia.

African rock python ni wa tatu kwa ukubwa. Hawa ndo wanapatikana Afrika.

Chatu hawashambulii watu tu bila sababu. Binadamu hatupo kwenye food chain yao.

Mpaka chatu akushambulie, ni lazima utakuwa umemchokoza au kakosa kabisa chakula.

Hata hivyo, ili chatu akuone wewe kama chakula, ni lazima awe mkubwa sana na wewe uwe na umbo dogo.

Documented cases za chatu kumeza binadamu ni chache mno na zote nizijuazo zimetokea Indonesia huko na zinahusisha reticulated pythons.
 
Ana meno mengi kuliko Simba na Mamba halafu mwili wake wote ni Misuli tupu ya kunyongea
View attachment 2927068
Meno ya chatu ni kwaajiri ya kukamata tu yaani ku Hold sehemu aliyobana usichonoke (Holding Teeth) tofauti na meno tunayozungumzia ya Simba au Mamba.

Meno ya Simba yanapasua all body tissues, yanavunja mpaka fuvu la binadamu au mnyama.
images (3).jpeg
 
Kupata kichekesho kingine kama hiki bonyeza *😂
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
 
Back
Top Bottom