Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Huyo ni alligator mkuu ni jamii ya mamba lakini ni wadogo, acha masihara na mjomba mamba mkuu chatu hawezi kumla.Chatu anamla hata Mamba kuna picha moja huko Florida Everglades Mamba aliliwa na ubabe wake.
💪Chatu Bingwa.
View attachment 2928046
Chatu akijimezea kitoweo cha Mamba bila buguza.
Alligator pia huwa ni wakubwa.Huyo ni alligator mkuu ni jamii ya mamba lakini ni wadogo, acha masihara na mjomba mamba mkuu chatu hawezi kumla.
Pendelea kukaa pembezoni mwa mto wenye mamba then tuje tuone wewe na mamba nani mwenye mbio mkuu.Mamba mi rahisi kumkwepa kwani halijui kukimbia.
Wapo ila hawafikii urefu na uzito kama wa mjomba mamba, hivyo vialligator vinaliwa na chui kila siku tunaona.Alligator pia huwa ni wakubwa.
One of the most striking differences between the American alligator and Nile crocodile is size. Florida's state alligator can weight from 450 to 600 pounds and averages 13 feet long, while the Nile crocodile weighs 150 to 220 pounds and averages about 8 feet long. Snout size is also different in these two reptiles.
View attachment 2928788
Pets on Mom.com › whats-di...
Huu Ndo.ukweli 100%..Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie
Unamkata hapo kichwani
Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,
Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu
Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,
kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
Mimi nimekuwekea source hapo wewe madai yako hayana support yoyote huo ndio huwa nauita ubishi.Wapo ila hawafikii urefu na uzito kama wa mjomba mamba, hivyo vialligator vinaliwa na chui kila siku tunaona.
Mara simba eti umkodolee macho🤣🤣🤣 aaah nyieee hivi mko serious kweli!!Chatu ukimuona usikimbie lala chini hawez kufanya lolote
uyo kambale hatari sana, nadhan hana aduiUtatembeaje na Electric Fence? Ila Umeme ni kiboko nimemuona Kamongo mmoja anatumia Umeme unaotoka kwenye mwili wake kama njia ya kujihami anaitwa Electric Eel akimuua Mamba kwenye Dimbwi huko Brazil.
Na nyingine German Shepherd kajifanya kumg'ata Kamongo akapigwa shoti hadi huruma👇
View: https://youtu.be/Wu9O1BS_9ak?si=I6Umd9L3kEzZiB5m
Usiingine kwenye mifumo yao wote; ukishaingia kwenye mfumo wa yeyote kati yao basi huo ndiyo unakuwa mwisho wakoNaombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Nimetoka visiwani majuzi nimeacha misiba miwili mmoja wa mvuvi mwingine wa m'mama wote walikua wanaoga pembezoni mwa ziwa ila wameliwa kwa nyakati tofauti. Kama mnavyojua visiwani watu wanatamaduni za kwenda kuoga pembezoni mwa ziwa, mamba hua anakupiga bite moja then anakurusha kwa nyuma kwenye maji ndio anakufata anaanza kujiroll kwenye maji mpaka unagawanyinga hicho ni kitendo cha dakika umeisha, yule mama tulimtafuta kesho yake tukamkuta kwenye mwamba amefichwa ila tulikuta kicha na mguu pamoja na mikono ila tako lote na papuchi mr mamba alikula vyote plus matiti. Wakuu hao wanyama wote ni hatari ila bwana mamba ukimkuta majini aseee kutoka ni ngumu sana mkubali au mkatae.
umeongea la maana sana, kwamba UKIINGIA KWENYE MFUMO WAKE, na shetani naye hivyohivyo, watu wengi hawajui, shetani hana nguvu kwako kama haumampa nafasi. kwa kawaida ukiwa ndani ya Yesu Kristo shetani hata afanyaje hana haki wala nguvu ya kukudhuru, anachofanya huwa anakuletea majaribu na matamanio ili ufanye dhambi, ukifanya tu dhambi umefungua mlango, ndio anaingia na kuleta uharibifu mkubwa. bila hivyo, shetani hana lolote kwetu.Usiingine kwenye mifumo yao wote; ukishaingia kwenye mfumo wa yeyote kati yao basi huo ndiyo unakuwa mwisho wako
Simba ajamzidi ng'ombe kwa urefu na upanaIn addition kwa nilichokiongelea awali, hivi nyinyi mnaujua ukubwa wa simba nyinyi.
Male lions are much larger than females. The length of a female is typically between 4.6 and 5.7 feet, while the length of a male is between 5.6 and 8.3 feet(1.7-2.5 metres.) Their tail length is 27 to 41 inches. Female lions weigh 270 to 400 pounds, while males weigh 330 to 570 pounds(149-258kg)
Hivi mnajua urefu wa Christian Ronaldo ni :Considering Ronaldo's height is 6'2” or 1.87m, his vertical leap during the goal can be measured at approximately 1.06m or 41.7 inches. Yani simba mkubwa amempita cr7 urefu kwa 0.6metres, yani cm60 sawa sawa n rula 3😂😂😂. Mmewai kuuskia mngurumo wa simba nyinyi?? Kumbukeni ukubwa wa simba mkubwa amemzidi ngombe kwa urefu n upana. Acheni mchezo kabisaaa. Binadamu hata 5 kwa mapanga hamtoboi.
Hata hao crocodile wangekuwa wanaishi habitat moja na Jaguar wangeliwa sana tu unless awe mkubwa kabisa, so croco wanajizolea ujiko kwasababu wana bahati hio.Wapo ila hawafikii urefu na uzito kama wa mjomba mamba, hivyo vialligator vinaliwa na chui kila siku tunaona.
Nasikia kanyegere kavulana kana wivu kiasi kwamba kakimwona binadamu yupo nyuma ya nyegere jike kanahisi labda binadamu anataka penzi kwa demu wake, katakufukuza kweli.Mnyama flani hivi mdogo mdogo ila mtata sana hasa wakiwa kwenye tendo la ndoa ukawafumania na akajua umewaona hata ukimbie wapi atakufata tu to cut it shot kawivu wa hovyo
Mamba kwenye maji mdundiko wake si wa kitoto.Mamba ana spidi kuliko Mtu ?? Kweli elimu bahari,.... Em ngoja nivute kiti niketi hapa Mkuu
Kuna story nyingi za Chui kupokea kipigo kutoka kwa Mwanadamu labda ungesema Tiger.
Tiger na Leopard hawa wote kwa kiswahili tunawaita Chui.Halafu ni wakubwa sana kuzidi simba, jaguar na chui