Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Me nishamshuhudia mamba live, acha asee dude hilo linaogopesha.Nakumbuka kipindi tunalima nyanya kando ya ziwa 2021 hiyo, maliasili wenyewe walimshindwa halafu kulikua na case ya mvuvi kupotea ikawa inasemekana ni huyo mamba.
 
Tatizo mamba licha ya maguvu yote anataga. Angekuwa anazaa hapo
 
Hv hizi habari za ukimwangalia Simba hakufanyi kitu ni za kweli au mnataka kuponza watu maana nazisikiaga ukikutana na Simba usikimbie ww muangalie mmmh,

isije ikawa sawa na Ile ukikamatwa na police muulize kosa lako ni lipiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii kitu imeumiza vijana weng wakichezea makofi ya kutosha mbele ya police sasa kwa Simba nafkr kinachotokea .............
 
Huo ni ukweli, hii inamaanisha endapo utakuwa kwenye situation ya uso kwa uso na Simba au Predator yeyote better kumkazia macho na kutokugeuka nyuma confidence yake kukushambulia itapungua kuliko ukimbie hapo utakuwa kama Swala tu unajua nini kinamtokea swala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…