Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Ukisoma huu uzi bila kutumia na akili zako utapata tabu sana.

Ukiona hiyo sijui TRA, BOT n.k kumbuka sio wafanyakazi wote utakuta waliopo iyo level ni 10-30% ya wafanyakazi wengine ni hohehahe kama hohehahe wengine
 
Wafanyakazi wangapi wa TRA unaowajua wewe wako hohehahe?
 
Ukisoma huu uzi bila kutumia na akili zako utapata tabu sana.

Ukiona hiyo sijui TRA, BOT n.k kumbuka sio wafanyakazi wote utakuta waliopo iyo level ni 10-30% ya wafanyakazi wengine ni hohehahe kama hohehahe wengine
Ukikuta wa hivyo basi ujue ana laana ya ukoo hela haikai au ni mtumiaji mbovu wa hela
 
E.W.U.R.A hukuwataja..au wako hovyo mkuu?
 
Kuna zile ajira 400 za TRA interview ilifanyika DUCE, kuna jamaa yangu alipata ila anasema salary walianza na laki 9.6
Hata 1mill haikufika sijui alikuwa ananidanganya yule jamaa?

Kweli mimi mwenyewe na washkaj kibao wanakula 9k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…