Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?

Makungwi muanzishiwe forum yenu JF.
 
mwanamke! Mwanamke gani mnayemzungumzia hapa? Wapo wanawake wanapata ki moja kati ya hivyo na wametulia tuli. tatizo mnadate na masela mavi.
 
Ishi kama wewe, fanya mpaka pale unapoweza. Mwanamke haridhiki mpaka ufilisike au ufe.
 
We kazana kuwapa ........wakati wenyewe hawajui wanataka nini ...............dawa ni kuwafanya kama picha la x harafu pesa inatoka kiduuuuuuuuuchuuu utaki hivyo rudi kwenu wakaendelee kukutunza kama yai la kafara...........
 
Unamnunulia TV kubwa ndani..anaenda weka na waingiza movie. Unakuja kugundua ulilejiletea shida (TV).

Unamnunulia gari asionekane wala kuteseka na jua. Anawekwa na fundi garage.

Unaleta house boy kupunguza kazi nyingi za nje. Ndio umeletea sex machine.

Unajenga nyumba kubwa, fence kubwa na mlinzi mlangoni. Ndio umeajir mume mwenza mwenye uniform.

Unampa hela za kwenda shopping na family. Anakuletes toy sex.

I remind you:
You aren't grown enough to understand them. Let it be.
 


MKUU unaongelea mwanamke wa Aina Gani Hapa? B'se kuna Aina tofauti za wanawake


👉Kuna kahaba
👉Kuna malaya
👉Kuna msichana
👉Kuna single mama
👉Kuna MKE


MWANAMKE niliekuwa naongelea Kwamba hitaji lake la kwanza ni muda ni mke kwanini? B'SE MUNGU alimuagiza Mme ampende MKE wake kama KRISTO alivyolipenda kanisa.


Jiulize UPENDO wa KRISTO kwa kanisa ulikuwa wa Aina Gani? Ukipata jibu Mkuu nauhakika utapata usahihi katika hili Jambo kwanini hitaji la kwanza kwa mke ni time shukurani
 
Vipi kama mimi nikiwa muislamu mkuu?
 
Yaani uhangaike kumridhisha mwanamke .

Nyie ndiyo mnafia vifuani jinga kabisa
 
Nahimiza bado ule mustar wa Bible ishini nao kwa akili.
 
narudia tena ishi nao kwa akili 😄
 
Hapo hamna cha kuondoa labda tuongeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…