Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipenda tunaweza kukosa vyote na bado ukabakiSitaki kukosa hata kimoja
Hivyo vyote ni kifurushi kimoja
Hili nalo neno...Mwanaume wa kumridhisha mwanamke bado hajazaliwa.
Endeleeni kuumiza vichwa
Fafanua mkuu muda gani unazunguzia ?wanawake si wanasema wanapenda wanaume wenye kazi na wachapa kazi?
huo muda utatoa wapi kama ukiwa na kazi na ni mchapa kazi always si utakuwa unakuja home umechoka?
siku zote mwanmke hutafuta ambacho wewe huna! kataa ukubali. kama unapesa mingi maana yake hutakuwa na muda atatumia mwanya huo. ukiwa huna pesa maana yake una muda mwingi wa kuwa nae atatafuta mwenye pesa.
ukiwa mpole utasikia na ww baba careen ni mpole mno ona watu wanavyo kuzurumu hera zako nk . hapo jiongeze! inshort ishi kwa hayo mkuu
Vipi kama mimi nikiwa muislamu mkuu?MKUU unaongelea mwanamke wa Aina Gani Hapa? B'se kuna Aina tofauti za wanawake
👉Kuna kahaba
👉Kuna malaya
👉Kuna msichana
👉Kuna single mama
👉Kuna MKE
MWANAMKE niliekuwa naongelea Kwamba hitaji lake la kwanza ni muda ni mke kwanini? B'SE MUNGU alimuagiza Mme ampende MKE wake kama KRISTO alivyolipenda kanisa.
Jiulize UPENDO wa KRISTO kwa kanisa ulikuwa wa Aina Gani? Ukipata jibu Mkuu nauhakika utapata usahihi katika hili Jambo kwanini hitaji la kwanza kwa mke ni time shukurani
Vipi kama mimi nikiwa muislamu mkuu?
Sasa mke utatoa wapi wengine kazi zetu zimeanza saa11 hadi kesho asbh saa11 tena?Logic Ndio ile ile Mkuu B'se naongelea Habari ya MUNGU na Sio dini
Wapime watoto wako DNASasa mke utatoa wapi wengine kazi zetu zimeanza saa11 hadi kesho asbh saa11 tena?
au muda upi unazungumzia wewe?
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (alidhike kitandani)
3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie, mpe zawadi kama pipi, mchombeze e.t.c)
4. Quality time (mtoe out, fanya naye kazi za nyumbani, kaa naye na msikilize, yaani mpe muda)
Ukiweza kumpa hivi vitu 4 mwanamke kwa wakati mmoja, akichepuka lazima ajilaumu sana na ni ngumu mno kutoka.
Hiyo namba 3 ndiyo inayo wasubua wanawake ambao wako stable financially kama mashangazi, wake wa vigogo, watoto wa kishua, corporates women e.t.c.
Principle ni kwamba kati ya 4, akikosa 1 ni lazima akitafute nje:-
mfano:- unampa 1. hela na matunzo, 2. unamlidhisha kitandani , 3. una mpa attention, ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana kwa kifupi huna muda.
Kwa kukosa muda, mkeo atachepuka na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atachepuka na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atachepuka na mfanyakazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja kazini.
Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?