GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #181
Jibu linapatkana wapi mkuu?Hivi kati ya nguruwe na Kuku nani nyama yake ilianza kuliwa na Binadam.Ukijibu hapa,Jibu Ndio Hilo Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu linapatkana wapi mkuu?Hivi kati ya nguruwe na Kuku nani nyama yake ilianza kuliwa na Binadam.Ukijibu hapa,Jibu Ndio Hilo Hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapindua boda enyewee. LOL
🤣🤣🤣Kitimoto the unbeaten. From white meat to brownish
Kuwa mvumilivu mkuu! Kitimoto kipo tu!Nitaenda huko nijaribu, kiti analiwa leo leo siwezi kujitesa hivi
Otikiii🤣😂NAKAZIA!
Halafu upate kitimoto yenye vinyweleo kwa mbali😋
Sijui nifanyeje! Nimeikumbuka ile ya kuchomwa ikatiwa na limao! Yaani...basi tu!Mimi makongoro nimekula sana cz tulikua tunafuga, ule utamu mpaka kichogoni
😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Serious?Juzi mahi wa watu kachukua tuzo ya utamu, chanzo bbc sio radio mbao
Ulizia, mi niliona ukurasa wa bbc haina hata wiki hiyo habariSerious?
Basi hicho kitoweo hakina mpinzani!
Hizo kg4 zikifika usisite kunialikaKwisha habari yako😅😅😅kuna mtu nilikuwa naongea nae juzi ya jnne nikamwambia awe ananiandalia mdudu km kg 4 anitumie kwenye basi,
leo umeleta mada yake, acha mchezo na hiyo kitu
Haina noma wewe tena!Hizo kg4 zikifika usisite kunialika
Jibu linapatkana wapi mkuu
Jibu ni kuku ,Afu mimi mchumba wangu MuislamJibu linapatkana wapi mkuu?
Suluhisho ni kuchukua mbichi na kwenda kujitengenezea mwenyewe!Kuna sehemu huwa napita kipo muda wote ila hawajui kumchoma vizuri
🤣🤣🤣Usifananishe kitimoto na vitu vya ajabu ajabu......