Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

Mama atakaa mbele labda akatae. Kwangu Mimi mzazi Kisha mke. Mke ni rafiki wa ukubwani. Anaweza kunisaliti muda wowote ila sio mama.
 
We unadhan unapoambiwa uchague mke sahihi maana yake nn... Shida tunaongozwa na hisia ndo maana hayo yote yanatukumba, tunadharau vitu vidogo vidogo na vya msingi. Jamaa alichoeleza ni mtazamo ambao wengi hawatoelewa sababu ya hisia ila ule ndo uhalisia.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Me naona inategemea na misingi tu mlio wekeana mimi nilinunua gari mke wangu akiwa na mtoto mdogo mwanzo alipenda sana kukaa mbele na mtoto wetu ila nilikuja kumshauri na akaelewa mpka leo siti ya mbele kwake labda tukiwa tunaenda sehemu ambapo tutabeba watu wengine na mama yangu pia sio mpenzi wa siti ya mbele hivyo hujikuta wamekaa nyuma wote wamejificha na tinted kaliiiiii na wanapiga stor zao. Maisha ni jinsi utakavyo yapeleka kukaa mbele kukaa nyuma haijalishi kinachojaliwa ni upendo na moyo wa kuwaweka karibu wale uwapendao.

Alikuja kunishangaza shangazi yangu kunilalamikia kwamba sijamjali eti kisa sikumfanya akae mbele na sikuvumilia nilimtolea uvivu kwa point kadhaa na toka siku hiyo hatamani hata kupanda gari langu maana hukuwepo nikitafuta iweje ulete mazingzong wakati wa kutumia tena nafanya hisani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha upuuzi wewe kwani kukaa nyuma ni kutomheshimu? Kwanza ukiona mama anadai kukaa mbele ilhali mkwewe akiwepo basi huyo mama busara hana. Mm bimkubwa wangu hata nikiwa naye yeye na watoto. Atataka mtoto akae mbele au akae nao huko nyuma. Yani hajajiweka mtu wa mbele mbele kiivo.
 
Nikupe mfano mdogo tu
Wawindaji ikitokea wamekwenda na mtu ambaye siyo mzoefu katika mawindo na kwa bahati mbaya ni mlafi pia basi utaona nyama ya kwanza kupiga wanawahi kumtengenezea maini vizuri sana ale, yeye mwenyewe anaona wamependelea sana... je unadhani ni kweli amependwa sana? Jibu ni hapana

Hivyohivyo kwa warina asali utaona mlafi anajaziwa bakuli top la asali anywe huku wao wakila matoto ya nyuki. Akilini anajiona amepewa heshima kwelikweli kumbe...

Ninachomaanisha ni kwamba
Kiuhalisia kwenye gari mke nitakaa nae mbele na mama atakaa nyuma lakini je unadhani hii ndo itaondoa thamani ya mzazi wangu kwangu? Jibu ni Hapana, swala la siti ya mbele au nyuma halihusiani wala halibadilishi hata kwa mbali thamani ya mzazi kwa mwanaye

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Au abaki home amwagilizie kuku pumba.
 
Jamiiforums bwana!
Dakika 45 nyuma niliandika komenti yangu ikawa ni ya 104 kati ya 106 lakini sasahivi naingia tena nakuta komenti yangu ni ya 87 kati ya 94

Huwa najiuliza kama wana uwezo wa kupruni komenti wanavyoweza na wanaweza mpaka kuedit heading je watashindwa kunibadilishia maudhui yangu siku nikaingia matatani?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Tusio na magari tunacomment wapi?
 
Mama mkwe wako anafanana mama mkwe wa mama yangu, (bibi) tabia za kisirani, mfano kuna siku alimwambia mkamwana ampishe ana maongezi na mwanae yani kwenye chumba chake mkamwana, hebu fikiria mamkwe kama huyo,, hata kwenye gari anapenda seat ya mbele balaa ni wale mama wakwe wenye gubu la mwendokasi, ndo hivyo maza alishampuuza
 
Dyadya.. umemaliza..big up
 
kwa mwnamke anayejiamini kukaa mbele inaweza kuwa sio issu sana mfano kuna mtu unaishu ya maana unaongea naye na mlikuwa wawili halafu ikabidi umpitie wife kwangu huwa namwambia jamaa atulie na haijawahi letatatizo kwangu.
ilaikiwa ni mwanzo wa kupanda yeye anaweza kupanda mbele sio issue
 
Kumbe ishu za kugombea siti zipo, ila watu wanajifanya kucrash km hazipo... Lakini all in all nimemuelewa mtoa mada kwamba hizi ishu sio tatizo... Tatizo ni uhalisia wa itifaki za kifamilia... Kiukweli nimemuelewa...

Ila mchane tena shangazi kwamba kuambiwa ukweli sio ugomvi... Ila ni upendo wa hali ya juu[emoji23][emoji23]

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…