Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwaninin?Huu mjadala hautokuwa na majibu ya kuridhisha hata kidogo 😎
No comment kwa sasa,, lakini binafsi naona nitapata majibu ya kuridhisha baada ya hili sakata kuisha. 😎Kwanini
Fedha in exchange with brains.. mmarekani hatoagi fedha bure bureBila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?
Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa.
Ni mingi na mikubwa kuliko Afrika. Je wananunua au kulipia nini? U.S. Aid to Israel in Four Charts linganisha na Bureau for Africa | Organization | U.S. Agency for International Development.
hapo unauliza swali rahisi mno, ni sawa na mtu aje leo akuulize, kati ya baba na mana kwenye familia nani boss. Jibu ni baba ndio boss, lakini ukweli halisi ni kwamba, kuanzia watoto wote hadi baba mwenyewe wapo controlled na mama. mama kashika masikio ya baba kuanzia kitandani hadi jikoni hadi mtaani, ndio maana baba hata akitaka kuchepuka anamwogopa mama mno. the same applies to Israel.Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?
Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa.
Ni mingi na mikubwa kuliko Afrika. Je wananunua au kulipia nini? U.S. Aid to Israel in Four Charts linganisha na Bureau for Africa | Organization | U.S. Agency for International Development.
Sasa wewe Afrika upewe msaada sawa na Marekani kama anavyopewa Israel, unawapa nini Wamarekani?Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?
Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa.
Ni mingi na mikubwa kuliko Afrika. Je wananunua au kulipia nini? U.S. Aid to Israel in Four Charts linganisha na Bureau for Africa | Organization | U.S. Agency for International Development.
Na wewe ukaamini?Kila siku mnajibiwa,kuwa Wanasayansi wengi,wavumbuzi na matajiri wengi waliopo Marekani ni WA Israel hamsikii.
Mbona hilo kundi lipo hata hapa Russia lakini hatuoni Mrusi akimimina Rubble kuelekea Tel Aviv ?Kila siku mnajibiwa,kuwa Wanasayansi wengi,wavumbuzi na matajiri wengi waliopo Marekani ni WA Israel hamsikii.
Marekani ina control kwa kiasi kikubwa biashara ya silaha na teknolojia ya Israel ili Waisraeli wasiuze teknolojia kwa washindani na adui wa Marekani.Kwann hao matajiri wameshindwa kuupata huo utajiri pale Israel wamekuja kuupata US? Je, wakihamisha mitaji yao na kulikosa soko la US utajiri wao utaongezeka ama kupungua?
Waarabu kichwani wamejaza mawazo ya mabikra 72, Waisrael kichwani wamejaza uvumvuzi na sayansi za kutisha sasa hata wewe ungekua Mmarekani ungejiunganisha wapi ??Fedha in exchange with brains.. mmarekani hatoagi fedha bure bure
Umetisha Sana mkuuhapo unauliza swali rahisi mno, ni sawa na mtu aje leo akuulize, kati ya baba na mana kwenye familia nani boss. Jibu ni baba ndio boss, lakini ukweli halisi ni kwamba, kuanzia watoto wote hadi baba mwenyewe wapo controlled na mama. mama kashika masikio ya baba kuanzia kitandani hadi jikoni hadi mtaani, ndio maana baba hata akitaka kuchepuka anamwogopa mama mno. the same applies to Israel.
Israel pekee bila msaada wa Marekani itafeli.Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?