Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

China haina global imperial ambitions zozote au malengo yoyote ya kisiasa ya kidunia, haijali uwe na demokrasia au udikteta.
Mkuu kwamba hujui kuna Belt and Road initiative ili kuifikisha chini pembe zote za dunia hii.
hamisha mawazo yako kutoka katika historia ya vita baridi. Eastern block ilianguka na kusambaratika 1990, hakuna kitu kama Block ya Mashariki tena, huisikii hata ikizungumziwa tena. Russia sio global power tena, ni regional power tu.
Haikufa maana nchi zilizokua Eastern bloc/Communist ndio hizo hizo allies wa USSR mfano Cuba, N.Korea, China n.k sasa unasemaje imekufa?. Russia ni global power na leverage yake ni Nuclear weapons na nishati. So haiwezi kupuuzwa maana ina uwezo wa kuleta Nuclear apocalypse.
Iran, Syria au Yemen sio vibaraka wa Russia. Syria au Yemen zinamnufaisha vipi Urusi??
Zinamnufaisha kuwa na base ya kupambana na marekani. Mbona Russia ina allies huko Syria, Mali, Burkina Faso n.k inasaidia nini? Huoni Iran imempa drones na Yemen wamepeleka askari wa Houthi kupambana front. Kila nchi inahitaji allies ili siku ya mapambano apate wasaidizi.
Iran na Urusi wameanza mapenzi yao baada ya uvamizi wa Russia huko Ukraine, Iran haijawahi kuwa hata mshirika wa Russia kabla ya hapo
Mkuu kasome historia vizuri, mbona Urusi ndio nchi ya kwanza kuitambua Islamic Republic of Iran. In fact Nuclear program miaka ya 90 ilikua sponsored na urusi na hata vita ya Syria unaona walishirikiana kuzuia mapinduzi. Let alone urusi alimpa silaha Iran kupigana dhidi ya Iraq.

So Yes easter block bado ipo kasome kitabu hiki utapata insights nyingi.
images (4).jpeg
 
Tusichojuq ili taifa liwe na nguvu lazima kuwe na kibali cha Miungu yenye nguvu.

Nguvu ya kiungu ndio inafanya Israeli na Marekani kuwa kitu kimoja
Kwahiyo Marekani ambayo ina uasi wa kila aina ndio ina kitu cha kiungu? Mbona China hakuna dini zaidi ya za asili tu na bado wanatoboa kiuchumi?
 
kila taifa limehamia na kukumbatia sera za soko huria/ free market
Free market? Labda ungesema mixed economy maana kuna nchi kibao state firms zina own means za kibiashara ndio zina replace MNCs za private sector. China na Russia zinafanya hivyo pia kwahiyo tuite state capitalism ambayo can be competitive market ila dominated na state firms kama ARAMCO kule saudia au Gazprom kule Urusi. So sio kwamba it's a free market per se.
Makampuni ya Marekani yamejaa Urusi na China. Sasa hapo utasema bado kuna blocks mbili tena??
Yamejaa sababu ya labor advantages, incentives ama resource advantage na wakati mwingine diversification. Mfano China kipindi cha Deng xiaoping ilitoa incentives kibao na misamaha ya kodi kwa makampuni ya nje ili yalete uzalishaji. Pia kumlipa mfanyakazi wa China kwa siku ni nafuu kuliko wa marekani so bidhaa zako zinakua cheap. Pia china imeshusha thamani ya pesa yake so bidhaa yake inakua cheaper na kuvutia wateja so mwisho wa siku China inakua haven ya biashara.

Lakini hilo halimaanishi kwamba imeacha roots zake za enzi za socialism ndio maana hata demokrasia yao sio ya direct kama western na hata market yake nimeeleza hapo juu n.k
 
Israel ni kenge anatumiwa na US kwa faida zao wanao kufa pale ni kenge afu US anauza silaha ni exactly kama yule kenge mwingine Ukraine.

Bibiloa alio iandika ni Muisrael lazima mkimbizi atafute jina la mtu aliye sifiwa na Mungu, ndio wakaja na jina hilo ili kunda taifa linaitwa Israel.
 
Ngoja nikae pembeni! Nikiwasoma waisrael wa buza kwa rulenge na wamarekani wa uyole wakituletea chai kwa vitu ambavyo hawavijui na wala hawana uhakika navyo let go
 
Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?

Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa.

Ni mingi na mikubwa kuliko Afrika. Je wananunua au kulipia nini? U.S. Aid to Israel in Four Charts linganisha na Bureau for Africa | Organization | U.S. Agency for International Development.
Mbona vitu vipo wazi marekani ni baba wa Israel, kwahyo marekani anamtumia Israel kutimiza Agenda zake pale Middle East
 
Acha utoto, mbona USA ilimkata Israel kushambulia nuclear za Iran na Netanyahu akakubali? hao mabilionea wa kiyahudi walimpa mabilion Kamala Harris ila alianguka licha ya mmewe kuwa myahudi pia.

Israel si lolote kwa USA, California tu inaizidi GDP ya Israel mara 6. Hiyo Israel si ndio iliomba mfumo wa ulinzi wa anga kujilinda na vyuma vya Iran? Hahhahaha ila JF bwana.
Useless, hata kuna waarabu 4m, Indians 5m, Chinese 4m n.k so population sio issue. Nchi yenye watu million 300+ kila taifa lina watu wake pale in millions.

Acha utoto mbona Director mpya wa CIA ni Pro-Assad na aliwahi pinga matumizi ya nguvu dhidi ya Hamas.

View: https://x.com/TulsiGabbard/status/996154499898077185?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E996154499898077185%7Ctwgr%5E838afc70914d847aff29d778e074203ae8ecb6ad%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fd-42433362331418309.ampproject.net%2F2410292120000%2Fframe.html

hiyo ni danganya toto ndugu, wanajifanya kwako hawaelewani, lakini wakati huo huo wanasogeza vifaa vya kijeshi karibu na adui wa israel. waarabu wengi wana uelewa kama wa kwako, na siku zote huwa wanadondokea pua. wanaamini marekani anaweza kufanya kinyume na israel.
 
wanajifanya
Wanajifanya? Mbona Trump alisema akishinda hakuna vita na kweli Israel imekubali kusitisha mapigano. Wangeendelea kupiga mabomu sasa tuone kama wanajiamulia.

Hivi si ndio hawa baadaya kupigwa na Iran wakasubiri hadi silaha za mmarekani kulinda anga lao ndio wakaenda kushambulia.
 
Wanajifanya? Mbona Trump alisema akishinda hakuna vita na kweli Israel imekubali kusitisha mapigano. Wangeendelea kupiga mabomu sasa tuone kama wanajiamulia.

Hivi si ndio hawa baadaya kupigwa na Iran wakasubiri hadi silaha za mmarekani kulinda anga lao ndio wakaenda kushambulia.
trump alisema akishinda ataondoa vikwazo vyote vya silaha kwa Israel, unafikiri maana yake hapo ninini? na Biden kaweka vikwazo vya silaha kwa Israel.
 
Back
Top Bottom