Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

Katika ethnic group zote zilizopo US Wahindi ndio ethnic group tajiri zaidi ikiwa na watu takribani 5.4mil wakiwa wamehodhi biashara mbalimbali ikiwemo hotels na nyadhifa mbalimbali kubwa ndani ya serikali ya US. Kama mchango wa wayahudi kwenye uchumi wa US ndio unasababisha Israel ikumbatiwe na US, mbona hatuoni india ikikumbatiwa na US?
 
Israel inategemea mno teknolojia, msaada wa kifedha, kiulinzi kidiplomasia na silaha kutoka Marekani Ili iendelee kuwepo
Jamii ya watu wa Waisrael pia wana mchango mkubwa sana katika maendeleo ya teknolojia kuanzia silaha, teknolojia hadi entertainment industry huko Marekani. Mchango wao unaweza kuwa mkubwa kuliko races nyingine nyingi. Jewish lobby kama AIPAC haijawa maarufu kwa porojo tu za kidini.
 
Marekani ina control kwa kiasi kikubwa biashara ya silaha na teknolojia ya Israel ili Waisraeli wasiuze teknolojia kwa washindani na adui wa Marekani.
Kama bila Wayahudi US hajiwezi kwanini US iwe na nguvu ya kuicontrol Israel badala ya Israel iwe na nguvu ya kuicontrol US? Pia nimeuliza leo Wayahudi wakisema wahamishe mitaji yao waipeleke Israel je israel itakuwa tajiri kama marekani na je hao matajiri wa kiyahudi wataendelea kuwa matajiri kama walivyo hv sasa?
 
Kwani waarabu waliozaliwa Iraq na nyie waarabu daraja la mwisho wa Yombo vituka wote hamuwazi mabikra 72 ?!
Unachanganya vitu kati ya ethnicity and religion. Wanaoamini hekaya za mabikira ni waislam siyo waarabu. Ila mwarabu akiwa muislamu naye anaamini hekaya za mabikira. Hivyo usichanganye kati ya Uarabu na Uislam
 
Kwahiyo kati ya Marekani na Israel Nani baba na Nani mama.
Sijakuelewa Mfano wako Mkuu
 
Kama bila Wayahudi US hajiwezi kwanini US iwe na nguvu ya kuicontrol Israel badala ya Israel iwe na nguvu ya kuicontrol US?
Wapi nimesema bila Wayahudi US haijiwezi??
 
Pia nimeuliza leo Wayahudi wakisema wahamishe mitaji yao waipeleke Israel je israel itakuwa tajiri kama marekani na je hao matajiri wa kiyahudi wataendelea kuwa matajiri kama walivyo hv sasa?
Unapozungumza haya mambo achana na ndoto au utopia, ongelea realities.
Wayahudi ambao ni raia wa Marekani kwa nini wahamishe mitaji yao waipeleke Israel?? Wafanyabiashara huwa wanafanya biashara zao kwa maslahi ya nchi zao, asili zao au kwa masilahi yao binafsi?? Wahindi Wafanyabiashara hapa bongo wanawazia siku moja kuhamishia mitaji na biashara zao huko India?? Wasomali Wafanyabiashara na matajiri hapa Tanzania wanafanya mambo ya wakiifikiria Somalia? Kuna siku wanaweza kurudi na kurudisha mitaji yao Somalia ??
 
Wala sina utopia bali kuna jambo nilikuwa nalitafuta na Umefika nilipopataka kwa wewe kukiri kwamba hao wayahudi siyo waisrael bali ni raia wa marekani (wamarekani). Sasa ni kwann mnanasibisha msaada wa marekani kwa Israel na wayahudi waliopo marekani?

Kwanini mnadhani kwamba matajiri wa kiyahudi walipo marekani ni matajiri kwasababu wao ni wayahudi?
 
Umefanya nipate swali lingine, kwann wayahudi wanaozaliwa Israel ni mashoga kuliko wanaozaliwa US?
Kwani waarabu wa Saudia na Iraq nao wanatifuana mitaro kama hawa wa hapo Zanzibar

Umenifanya nipate na swali kingine: Je hawa waarabu wa Zanzibar wanaojifuliwa tigo na wao watapewa mabikra 72 ?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…