Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

Kwahiyo kati ya Marekani na Israel Nani baba na Nani mama.
Sijakuelewa Mfano wako Mkuu
marekani na ujanja wake woote, atazunguruka wee lakini anaendeshwa na Israel.kile israel inataka ndicho marekani itafuata. sababu kuu ni kwamba, marekani peke yake kuna wayahudi zaidi ya 8m, hao ni wanadamu wengi sana, na kama ulikuwa haujui, hakuna myahudi maskini, huwa wanabebana na kuinuana, ukiona anajifanya maskini jua ni MOSAD huyo. wameshika nyadhifa za muhimu karibia zote marekani, sector za muhimu, hata senate ya marekani iangalie vizuri. secretary state wa marekani mwenyewe baba na mama ni wayahudi. yeyote anayemess up na myahudi kule marekani uwa anashughulikiwa hadi aombe poo. kwahiyo Israel kamweka marekani mfukoni, hata watu wakimlaumu marekani kumsaidia israel huwa nawaangalia na kuwaonea huruma tu kwa sababu marekani hajipendei, anapokea maelekezo na lazima ayafuate.
 
Nini maana ya "kibaraka"?

Nini kinacholifanya taifa fulani kuwa kibaraka wa taifa lingine?
Mataifa makubwa yana block mbili tu USA/UK na upande wa East ni Russia na sasa china. So hao ndio wanakimbizana kucontrol dunia na kila nchi tokea cold War inapiganiwa na hizo blocks mbili hivyo kila chaguzi kila mmoja anajaribu kupitisha mtu wake.

Kwa minajili hiyo kibaraka ni nchi ambayo inatumika na Superpower nilizotaja ili kuongeza ushawishi wake katika azima ya kucontrol dunia. Mfano hapo Middle east; Iran, Yemen, Syria ni vibaraka wa Russia/China (Eastern Bloc) ila Israel, Jordan, Egypt, Saudia n.k ni vibaraka wa USA.
 
Hapo umegusia wayahudi waliopo US, bado wanaoishi Ujerumani, UK na nchi zingine za Ulaya, Canada.
 
Tusichojuq ili taifa liwe na nguvu lazima kuwe na kibali cha Miungu yenye nguvu.

Nguvu ya kiungu ndio inafanya Israeli na Marekani kuwa kitu kimoja
 
atazunguruka wee lakini anaendeshwa na Israel.kile israel inataka ndicho marekani itafuata.
Acha utoto, mbona USA ilimkata Israel kushambulia nuclear za Iran na Netanyahu akakubali? hao mabilionea wa kiyahudi walimpa mabilion Kamala Harris ila alianguka licha ya mmewe kuwa myahudi pia.

Israel si lolote kwa USA, California tu inaizidi GDP ya Israel mara 6. Hiyo Israel si ndio iliomba mfumo wa ulinzi wa anga kujilinda na vyuma vya Iran? Hahhahaha ila JF bwana.
marekani peke yake kuna wayahudi zaidi ya 8m,
Useless, hata kuna waarabu 4m, Indians 5m, Chinese 4m n.k so population sio issue. Nchi yenye watu million 300+ kila taifa lina watu wake pale in millions.
yeyote anayemess up na myahudi kule marekani uwa anashughulikiwa hadi aombe poo.
Acha utoto mbona Director mpya wa CIA ni Pro-Assad na aliwahi pinga matumizi ya nguvu dhidi ya Hamas.

View: https://x.com/TulsiGabbard/status/996154499898077185?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E996154499898077185%7Ctwgr%5E838afc70914d847aff29d778e074203ae8ecb6ad%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fd-42433362331418309.ampproject.net%2F2410292120000%2Fframe.html
 
India, South Africa, Ethiopia na Brazil ziko blocks gani?

Tanzania iko block gani?
 
India, South Africa, Ethiopia na Brazil ziko blocks gani?

Tanzania iko block gani?
Tanzania si kibaraka wa US liko wazi maana baada ya cold war na ujamaa kufa tulihamia magharibi. Ingawa China anafanya inroads ila bado hajaichukua. Fuatilia vita zote duniani US akiingia upande mmoja basi Russia-China zinaingia upande mwingine. Angalia Venezuela, Yemen, Syria, Afghanistan, Iran n.k
 
Ni hivi, hamisha mawazo yako kutoka katika historia ya vita baridi. Eastern block ilianguka na kusambaratika 1990, hakuna kitu kama Block ya Mashariki tena, huisikii hata ikizungumziwa tena. Russia sio global power tena, ni regional power tu. China haina global imperial ambitions zozote au malengo yoyote ya kisiasa ya kidunia, haijali uwe na demokrasia au udikteta.

Iran, Syria au Yemen sio vibaraka wa Russia. Syria au Yemen zinamnufaisha vipi Urusi?? Iran na Urusi wameanza mapenzi yao baada ya uvamizi wa Russia huko Ukraine, Iran haijawahi kuwa hata mshirika wa Russia kabla ya hapo.
 
Vita tu sio kigezo cha blocks mbili za Western na Eastern. Blocks mbili za Eastern na Western za vita baridi ilikuwa kuhusu Ideas, mifumo ya Uchumi na utamaduni, vita na mapinduzi ilikuwa matokeo ya hii misuguano. Ulimwengu wa sasa tuliopo kila taifa linakiri demokrasia ni nzuri kinacholeta ugomvi hapo ni demokrasia ya aina gani na kama kweli demokrasia inaachiwa kufanya kazi kati ya raia, kila taifa limehamia na kukumbatia sera za soko huria/ free market, kila taifa limekumbatia utamaduni wa magharibi labda kasoro dini tu. Makampuni ya Marekani yamejaa Urusi na China. Sasa hapo utasema bado kuna blocks mbili tena??
 
Duuuh wewe ni asset kubwa sana unajua mpaka siri za ndani za mossad
 
Iran ipi unayo iongelea kua haikuwahi kua na uswahiba na Russia nyie watu muna shida sana
 
Haya Kakojoe ukalale
wewe farasi kweli kwahiyo israel na marekani mbali na sababu za kidini unafikiri kuna kingine kinachowafanya wasaidiane tofauti na hicho ???

Ndio maana mleta uzi mwenyewe hajui wala haelewi inawezekana vip Mmarekani anamjari hivo Muisrael
 
Tusichojuq ili taifa liwe na nguvu lazima kuwe na kibali cha Miungu yenye nguvu.

Nguvu ya kiungu ndio inafanya Israeli na Marekani kuwa kitu kimoja
Kwahiyo Marekani na Israel wanamfanyia Mungu kitu gani cha tofauti ambacho mataifa mengine hayafanyi hadi Mungu awape wao kibali cha kuwa taifa lenye Nguvu?
 
wewe farasi kweli kwahiyo israel na marekani mbali na sababu za kidini unafikiri kuna kingine kinachowafanya wasaidiane tofauti na hicho ???

Ndio maana mleta uzi mwenyewe hajui wala haelewi inawezekana vip Mmarekani anamjari hivo Muisrael
Kuna sababu zipi za kidini zinazo wafanya wawe pamoja tuanzie hapa kwanza na kabla sijasahau farasi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…