Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,727
- 2,548
Wengi mkuuWachache sana 1/10
Wengi mkuuWachache sana 1/10
Sio kwel taasisi gani uwekezaji kwa mmoja ni mauno tu?Ndoa ni taasisi .Taasisi ikianguka wawekezaji wote mnaathirika. Zingine ni Porojo tu
NAKAZIAfala huyo mwanaume
Mpaka unamfatilia mkeo kwenye maisha yake mengine ya ndoa, hapo hata wewe unateseka.!!Kwa mimi na mama chanja alie athirika ni mama chanja ,kwa sababu watoto wapo kwangu ila yeye kaolewa na mume wake anampa stress kakonda kama baiskeli ya phonex.
Juzu kati kanipigia analalama hatari nikamwambia asubiri nachoma nyama huku nikiisubiri iive na lainisha koo kwa kinywaji changamshi kwanza😉😉
Ni kweli kabisa lamo naumia sana mwanamke mzuri kama Yule kufanya maamuzi ya kipumbavu kama yale na ahadi ya kuzidi kumfuatilia mpaka siku nakufa.Mpaka unamfatilia mkeo kwenye maisha yake mengine ya ndoa, hapo hata wewe unateseka.!!
Kwanini??
Kulikua na haja gani ya kumdolishia kwamba una hoja nyama na unakunywa??
Hapo wewe pia unaforce furaha ili uonekane hujali una furaha ila kiukweli unaumia..!!
Tena wewe unaumia zaidi coz unajua ss hivi kile kibuyu ulichokua unatamba nacho yupo nacho mwingine anakibaluza atakavyo..!!! 😹😹😹
Umeona? 😹😹Ni kweli kabisa lamo naumia sana mwanamke mzuri kama Yule kufanya maamuzi ya kipumbavu kama yale na ahadi kuzidi kumfuatilia mpaka siku nakufa.
unaumia kitu gani kwani ni ndugu yako huyoWanaume tunaumia sana ...Mwanamke hatumii gharama kupata mwenza ila sisi labda uwe na mchepuko .
Sio kweli kwamba sasa nataka niishi nae japo ukwel ni kuwa nilimpenda sana hata zaidi ya sana, na hata sasa nampenda tu ila umebaki kama upendo wa mama watoto wangu , uzuri mmoja mme wake alikuja kuwa rafiki yangu pia kwa hiyo huwa ninamhimiza avumilie tu😅😅😅Umeona? 😹😹
Mtu km humpendi wala hutaki kujua maisha yake, hata alivyokupigia simu kukulalamikia ungekuwa ume-move on ungempa pole na kumtia moyo..!! Ila hiyo kutaka kumrusha roho ni wazi bado UNAMPENDA 😥
Na kinachokuuma ni hao watoto, najua unatamani kuwalea na mama yao akiwa pembeni hii sio kwa Me or KE tukubali tukatae wote tunahitajiana kwenye malezi ya watoto..!!
Mkiachana kama kuna watoto ,jiandae na gharama za kuwahudumia na kuleta mke mwingine.unaumia kitu gani kwani ni ndugu yako huyo
pesa inatafutwa meku.., mwanamke akikuletea ujinga usisite kumuacha ukichelewa utajuta na usingoje kufika atua hiyo mamuzi ni sasaMkiachana kama kuna watoto ,jiandae na gharama za kuwahudumia na kuleta mke mwingine.
mwanamke ata-suffer ndyo maana hukimbilia mahakamani kuitafta 50 yao . kwa mwanaume nahisi siyo hisia ila mazoea TUKati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi!
Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake, wengi wanapofiwa, kuachwa au ndoa kuvunjika, maisha yao yanaanguka ghafla. Kwa nini?
Hawakuwa na mpango B wa kiuchumi, angalia mtaani jinsi single mothers wanavyoishi kwa tabu, (Wana depression haó) na utagundua wengi maisha yao yamebdilika baada ya ndia zao kuvunjika au sababu zinazofanana na hiyo
Mwanamke anapobaki peke yake bila rasilimali au kazi ya uhakika, ana hatari kubwa ya kuishi maisha magumu sana. Wanaume wengi huweza "kusimama tena" kwa sababu waliwekeza kwenye kazi, biashara, au vyanzo vyao vya kipato.
Hata ukiwapa mtaji wa milioni 10, ni wangapi wataitumia vizuri na kuifanya iwe chanzo endelevu cha kipato? Fanya utafiti. Pesa za wanawake wengi huishia kwenye matumizi ya haraka, sio uwekezaji wa muda mrefu, ni wangapi wenye project zao wenyewe?
Mwanamke asiye na uhuru wa kiuchumi akipatwa na changamoto (mfano kufukuzwa kazi au biashara kuanguka), mara nyingi huchagua mojawapo kati ya haya:
Kutafuta mwanaume/wanaume wengine kwa msaada wa kifedha (kujiuza) au
Kurudi kwa wazazi
Kuhangaika na maisha yasiyo na uhakika
💥Ukweli mchungu ni huu: Mwanamke wa Kitanzania anahitaji mwanaume ili aendelee kuishi vizuri
Si kwa sababu hawezi, bali kwa sababu mfumo unamfundisha kutegemea zaidi badala ya kujitegemea.
Lakini je, hii ni lawama kwa wanawake pekee? Hapana.
Mfumo wa malezi unawajenga hivi.
Wanaume wengi wanapenda wake waliowategemez.
Fursa kwa wanawake bado ni chache ukilinganisha na wanaume.
Suluhisho ni nini?
Wanawake wafundishwe uhuru wa kifedha kutoka wakiwa wadogo.
Misingi ya ndoa ibadilike, ndoa isiwe mkataba wa utegemezi bali ushirikiano wa maendeleo.
Wanawake wajifunze kuwekeza na kusimama wenyewe hata wakiwa ndani ya ndoa.
Tukubaliane, ndoa ikivunjika, mwanaume anapata shida kiakili na kihisia, lakini mwanamke anapata shida zaidi kiuchumi. Na ukiwa na shida ya pesa, maisha yanakuwa magumu mara mbili zaidi!
Je, unakubaliana? Tupe mawazo yako!
Wewe ulioa kwa kigezo cha mauno tu??Sio kwel taasisi gani uwekezaji kwa mmoja ni mauno tu?
Wewe ulioa kwa kigezo cha mauno tu??Sio kwel taasisi gani uwekezaji kwa mmoja ni mauno tu?
Hata mimi nashangaa mkuu, watu wamehamisha kabisa mada husikawakuu mnasoma uzi gani nyie mbona mnachocomment hakiendani sana na mada!! uzi huu unaongelea zaidi zaidi upande wa uchumi kati ya hao wawili, naona wengi mnaongelea maumivu ya kihisia!