Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?


  • Total voters
    57
Mtoto wa kike ndiye anaumia

Kwasababu umempa watoto ambao kila siku watamfanya akukumbuke

Halafu wengi wanajikuta wamechakazwa na watu wengi kwa kutafuta mtu wa kuziba nafas yako

Speaking from experience nimezaa na mtoto wa kike lkn nilikuja kufanya makosa akazira tukaachana

Baada ya miezi sita anaomba tuanze tena 🤣🤣
 
Mpaka unamfatilia mkeo kwenye maisha yake mengine ya ndoa, hapo hata wewe unateseka.!!

Kwanini??
Kulikua na haja gani ya kumdolishia kwamba unachoma nyama na unakunywa??

Hapo wewe pia unaforce furaha ili uonekane hujali una furaha ila kiukweli unaumia..!!

Tena wewe unaumia zaidi coz unajua ss hivi kile kibuyu ulichokua unatamba nacho yupo nacho mwingine anakibaluza atakavyo..!!! 😹😹😹
 
Ni kweli kabisa lamo naumia sana mwanamke mzuri kama Yule kufanya maamuzi ya kipumbavu kama yale na ahadi ya kuzidi kumfuatilia mpaka siku nakufa.
 
Ni kweli kabisa lamo naumia sana mwanamke mzuri kama Yule kufanya maamuzi ya kipumbavu kama yale na ahadi kuzidi kumfuatilia mpaka siku nakufa.
Umeona? 😹😹
Mtu km humpendi wala hutaki kujua maisha yake, hata alivyokupigia simu kukulalamikia ungekuwa ume-move on ungempa pole na kumtia moyo..!! Ila hiyo kutaka kumrusha roho ni wazi bado UNAMPENDA 😥

Na kinachokuuma ni hao watoto, najua unatamani kuwalea na mama yao akiwa pembeni hii sio kwa Me or KE tukubali tukatae wote tunahitajiana kwenye malezi ya watoto..!!
 
Sio kweli kwamba sasa nataka niishi nae japo ukwel ni kuwa nilimpenda sana hata zaidi ya sana, na hata sasa nampenda tu ila umebaki kama upendo wa mama watoto wangu , uzuri mmoja mme wake alikuja kuwa rafiki yangu pia kwa hiyo huwa ninamhimiza avumilie tu😅😅😅
 
Maisha baada ya ndoa huathiri pande zote mbili na sio Africa peke yake
Mwanamke akibaki na watoto anahangaika kama baba kawatupa wanae na hawapi matumizi

Kwa upande wa Baba nae huwa anaumia zaidi kama aliishi na kuwazoea wanae kwa mda mrefu.
Hiyo humuathiri pia ingawa sio katika maisha yote, maana anaweza kuwa na kazi yake ambayo inampunguzia mawazo ya kila siku

Kuna wababa wengine huwa wanawanunua Vito vyenye thamani wake zao kama Dhahabu (sio sisi) na hiyo inakuwa assets zake kwa lolote lile.

Ndio hivyo kama huwasaidii wanao basi wanaoadhirika ni wanao upende usipende.

Kwa hiyo ni wajibu wako kuwaangalia hata kama umekosana na mke wako kwa kosa kubwa vipi
 
Mkiachana kama kuna watoto ,jiandae na gharama za kuwahudumia na kuleta mke mwingine.
pesa inatafutwa meku.., mwanamke akikuletea ujinga usisite kumuacha ukichelewa utajuta na usingoje kufika atua hiyo mamuzi ni sasa
 
kweli
mwanamke ata-suffer ndyo maana hukimbilia mahakamani kuitafta 50 yao . kwa mwanaume nahisi siyo hisia ila mazoea TU
 
wakuu mnasoma uzi gani nyie mbona mnachocomment hakiendani sana na mada!! uzi huu unaongelea zaidi zaidi upande wa uchumi kati ya hao wawili, naona wengi mnaongelea maumivu ya kihisia!
 
wakuu mnasoma uzi gani nyie mbona mnachocomment hakiendani sana na mada!! uzi huu unaongelea zaidi zaidi upande wa uchumi kati ya hao wawili, naona wengi mnaongelea maumivu ya kihisia!
Hata mimi nashangaa mkuu, watu wamehamisha kabisa mada husika
 
Wote. Mwanaume anaathirika zaidi kiuchumi na mwamke anaathirika zaidi kijamii.
1. Mwanaume. Familia nyingi mtafutaji mkuu ni mwanaume. Maendeleo ya familia nyingi huletwa na mwanaume, ndoa inapovunjoka likaja swala kugawana mali jasho jingi alilotoa mwanaume linapogwa panga. Itamlazimu kuoa tena, mwanaume anapotaka kuoa ni gharama nyingine anaingia. Watoto kuwalea kwa kutuma matumizi ni ghari zaidi kuliko kuwalea ukiwa nao hom.
2. Mwanamke. Ndoa inapovunjika, tukiwatoa ustawi wa jamii na mahakama, jamii iliyobaki huamini kuwa mwanamke ndio mpimbavu, haijalishi nani mkosaji. Mwanamke akiachika, huonekana malaya, hafai, na ningumu kuolewa tena. Wanaume hukaa chonjo sana dhidi yake.

Kitu kibaya sana kwa mwanaume ndoa inapovunjika ni pale uzee unapoingia. Kama ndoa ilipovunjika watoto wakaenda na maza, basi dingi akizeeka life huwa gumu kinoma wakati huo maza atakua ana enjoy na madogo wake. Tukumbuke kuwa, kwenye umri wa uzee mwanaume anamuhitaji zaidi mwanamke kuliko mwanamke anavyomuhitaji mwanaume. Tunzeni ndoa zenu wakuu, fainali uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…