Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?


  • Total voters
    57
BinAfsi dija nim jaribu kufustilia zaidi sisi wanaume kinachotuasiri ni upweke zaidi kwa wale wenye kusikirizia alama za nyakati zusome😂
 
It is what it is man!!!
 
Sema wanawake unaowajua!
Kuna sisi baada ya ndoa kuvunjika maisha ni better mara 200 ya kabla haijavunjika!
 
Umeandika kinazi sana mama la mama.
Kwanza kujua taarifa za mtu huwa sio lazima umfuatilie ameandika vyema ila wewe ukachagua kuloweka komwe lako kwenye unga wa dona huku ukikoment.

Muhusika alipiga simu ama kumtafuta face to face ndipo akamsimulia yote uliyoyasikia

Kwanza njoo hapa nikupige nao...
 
Kwann usichomeke kwenye bibo lako 😹😹
 
Hujaweka option ya sijui, unatuwekea majibu mdomoni, itafiti ni invalid
 
Waathirika ni
WANAUME

MWANAUME NDIO MUATHIRIKA HAPO.

WOMEN are just clever
MEN are smart

Tunajua characteristics of smart people
Investment, Ndio Mpaka mwanaume akaamua kuoa maana yake amewekeza hapo
Alishafanya tathimini kwa kina akaamua kuwekeza kwa huyo mwanamke.

Kwaiyo ndoa ikivunjika ni athari kwa muwekezaji wa hiyo taasisi.

Women are just clever
They are so calculated and they move fast.
Mara nyingi wanatatua matatizo yao kwa njia zisizo za kawaida.

Na kuhakikisha
Always kabla hajataka taraka tayari ameshakureplace na mwanaume mwingine bora kuliko wewe
Tena tayari wamesha sex zaidi ya mara 100.

Sasa mkuu jiulize anapata athari gani hapo mwanamke?

Note: hakuna mwanamke ana vunja ndoa au mahusiano ili aje kuwa single never.

Kuhusu system na mahakama ndio usiongee kabisa mwanamke ni mshindi.


Binafsi naamini.
watoto ni bora waishi na single Father au mother,
Kuliko kuishi na wazazi wote wawili ambapo mama ana mtendea vibaya baba mwanzo mwisho.
Kids hate to see their father mistreated /emasculated by their own mother.

Watoto hakuna madhara wanapata.
Inategemea wazazi wao ni watu wa aina gani.

So
You see
As a man you make a one wrong move to choose a wife.
Utakuwa umewafelisha na watoto. Pia.

Na ndio maana extremely smart men they choose to not get married.


Angalia
Sote tunajua fate ya smart people

Mwanaume anapata athari ndio lakini ni sahihi zaidi sitaki kueleza faida zake.

We all know nini kinawakuta Wakina clever!🤔

Tutabishana mkuu
Katika hili
Lakini athari zinazomkuta mwanaume ni nyingi kiasi cha yeye kuonekana kapoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…