Unakosaje story kwa mtu unayempendaHamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leoπ π π
ni hatariNdo bye bye
Sasa bro mara mojamoja sio mbaya. Kwanza inaitwa pm kuna mtu atajua.Kaka nna familia humu usinifarakanishe na familia yangu π
Vipi kuhusu Libeneke fc au napo sio mtu wa mikasi sana? π€£Sipendagi tu usumbufu, nikishjua unaendelea vizuri inatosha na mimi sio mtu wa story sanaππ... by the way natakiwa nichange sasa naona maana nimepoteza watu wengi sana hadi marafiki
Akikujibu nitag kaka na muendelezo kabisa na tamati.Unakosaje story kwa mtu unayempenda
ππ sina ulokole wowoteSasa bro mara mojamoja sio mbaya. Kwanza inaitwa pm kuna mtu atajua.
Ila kama wewe ni mlokole usifanye, nisije ongezewa dhambi bure, namuogopa sana Mungu wa walokole.
Afadhali, maana Mungu wa Walokole ni mkuu sana.ππ sina ulokole wowote
Mhmmm!! Condom zimeingiaje hapa? Hivi unahisi wote tunawaza uzinzi?π€£π€£π€£Kila la heri PM. Ila vaa condom.
Mara mojamoja sio mbaya dada.Mhmmm!! Condom zimeingiaje hapa? Hivi unahisi wote tunawaza uzinzi?
Ukipigwa spana kula piriton lala.Jamanj bebi kajibu messenger.
Byee, Me natangulia fesibuku...
Tuwakilishe wewe hiyo kimasihara πππMara mojamoja sio mbaya dada.
Unashtua, kimasihara zaidi.
Kwanza hapa naenjoy siko serious.
Yaliyojiri face1000.Jamanj bebi kajibu messenger.
Byee, Me natangulia fesibuku...
Yaani nije kwako tupige kimasihara sio?Tuwakilishe wewe hiyo kimasihara πππ
Unauza bei gani?Mi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
π Lamomy lala tafadhali si ulishaniaga?Afadhali, maana Mungu wa Walokole ni mkuu sana.
Kama sio mlokole, we piga viwili kwa lamomy tulia, ikiwezekana mtoto atokee mwenye tabia zenu, itakuwa poa sana.
Kwani bro kakuambia anaiuza? Yeye anataka pedeshee.Unauza bei gani?
Kwani mpenzi wako Yuko jf?Kanishtua huyo wa cdm kha! πππ
Nisije kuachika bure na mineno yake mikavu