Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Hamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leo😅😅😅
Unakosaje story kwa mtu unayempenda
 
Jamanj bebi kajibu messenger.
Byee, Me natangulia fesibuku...
Yaliyojiri face1000.

Screenshot_20230928-000851_1.jpg
 
Back
Top Bottom