Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unakosaje story kwa mtu unayempendaHamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leo😅😅😅