mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
naelewa hiloEasy tu mbona? Sioni shida kabisa
Mie Nimehide almost kila kitu. Sipendi kulalamikiwa sijibu sms kwa wakati. Hivi watu wanadhanigi tunapaswa kukaa pale kungoja kujibu call/ sms?
Sasa anipige nimekosea nini ππMpige
ni mpweke na hata mpenzi aliyenaye hayuko interesting sana kwake ndo maana anakuja ku-refresh akili yake huku jf.Ndio kilichonishangaza ,ye ni mmoja wa watu active sana humu au loneliness?
"Mi nnachojua pesa karatasiiiie, mi nnachojua.....Mi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
Umejuaje km mpz wa movie za Jack Chan ππππ we jidanganye na muvi za jack chan uone balaa lake ujute
Sijakuelewa dearWewe mwanaume ndio atampa kila mtu mke ikiwemo mapenzi Half american
Ni Kweli,hata Mimi Kuna muda nikiwa bored kimbilio langu la kurefresh ni jfni mpweke na hata mpenzi aliyenaye hayuko interesting sana kwake ndo maana anakuja ku-refresh akili yake huku jf.
ila ni mwnamke ambaye ni charming sana pia anapenda sana ku-comunication ila tu akikutana na mtu anyejua kumfanya aongee.
Nakazia[emoji2]Umeniwahi.
Na sio mwenye hela, anaetoa washeli au grisi ili penzi lichochee ndo atafutwe. Unaweza kua na hela ila bahili.
Napenda pia nmejua unaonekana unapenda vichekesho πUmejuaje km mpz wa movie za Jack Chan πππ
Napenda movie zake zina comedy nyingi nachekaga mpk machozi
Nina huyo rafiki angu mmoja content zetu zinatokana na reels. Yan tunatumiana reels 24/7.Kweli eti sinaga contents ππππ
Kuna kawaida alafu kuna ile ya kutokurespond kwa kumdharau mtuEasy tu mbona? Sioni shida kabisa
Mie Nimehide almost kila kitu. Sipendi kulalamikiwa sijibu sms kwa wakati. Hivi watu wanadhanigi tunapaswa kukaa pale kungoja kujibu call/ sms?
Walau umesema neno.....ila inategemea na perceptions za kila mtu sasaπ πEasy tu mbona? Sioni shida kabisa
Mie Nimehide almost kila kitu. Sipendi kulalamikiwa sijibu sms kwa wakati. Hivi watu wanadhanigi tunapaswa kukaa pale kungoja kujibu call/ sms?
Itakuwa kuna kitu ulimkwaza maua wewe π€£π€£ na kwaajiri yake lazima nkupasueSasa anipige nimekosea nini ππ
Unapendwa nipigwe?
Wewe ni mimi kabisa yani...unaweza ukapiga simu nikaona uvivu kuongea nakwambia niko na kazi kidogo ntakupigia badae halafu ndo inakua basiNina huyo rafiki angu mmoja content zetu zinatokana na reels. Yan tunatumiana reels 24/7.
Kuna some people wale ambao haupo nao deep content kupatikana ni changamoto.
Nikiona sina mood za kuchat na mtu, kuliko atume sms yenye maneno 100, afu nimjibu na neno moja anilalamikie. Heri nimdanganye nimetingwa tutachat baadae, hapo ndio nitolee.
ππ eti Unique Flower nimekukosea nini mama?Itakuwa kuna kitu ulimkwaza maua wewe π€£π€£ na kwaajiri yake lazima nkupasue
Sana me napenda vichekesho.Napenda pia nmejua unaonekana unapenda vichekesho π
Kumbe unaogopa? π€£π€£π€£
Nikuogope wewe mdogo wake maharage πKumbe unaogopa? π€£π€£π€£
Me nikisikia UTI sugu sijui kwann najikuta nacheka ππππMwanamke unatakiwa awe na shobo kwa mwanaume kwa sababu wewe hunufaika na hela zake ila wanamke asilimia kubwa hawana cha ku-offer zaidi ya UTI sugu.