Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kuna kusahau… mtu anaweza kufungua sms akasahau kujibu 🤣 ama kurespond missed call.

Ingawa hawakosekani wanaofanya kusudi esp pale ambapo hakufeel.
Hii kitu aisee hapana.
Sasa mtu kafungua WhatsApp kaiona message alafu kablue tick na kupita hivi.

Hii ni kama dharau, ni heri hata blue tick isionekane ujue hayupo online.
 
Kabisa ni muhimu wote kutafutana.

Mahusiano ya namna hii yanadumu na yanaweza leta mpaka ndoa zenye nguvu sana.
 
Maua yako haya hapa 🌹🌷
Una jina la kifedha lakini hujagusia mambo ya fedha
 
Sawa,, ngoja nijitahidi kuanzia wiki ijayo... wiki hii nifanye kwanza mazoezi kwa marafiki marafiki au we unaonaje😃😃
🤣🤣 wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.

Unajua iko hivi mwanamume anaweza akawa kakuelewa af anajifanya kama hakushobokei ila kila wakati anaangalia simu yake kama umemtext au kumcall. Sasa wewe anza kumtext Miss u, Mambo my utaona atakavyoreply positively

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…