Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Me hua naona wanajichosha tu, maana sina kawaida ya kupokea namba ngeni unless uwe umenipa taarifa kabla😅😅Ni kero sana
Utadhani mtu hiyo simu ni simu ya ofisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me hua naona wanajichosha tu, maana sina kawaida ya kupokea namba ngeni unless uwe umenipa taarifa kabla😅😅Ni kero sana
Utadhani mtu hiyo simu ni simu ya ofisi
Kumbe hujampata muda wote huo?That's it 👊👊... I hope that too, nitampata wa kufanana na kuendana na mimi🤗🤗🤗
Basi tu ni ulemavu huu kama ulemavu mwingine sema huu ulemavu mzuri 😄Mkuu wewe ni mimi 😂
Nikimuelewa Ke sijui kwanini huwa inakuwa hivyo
😂😂 kazi mnayo tatizo viburi, jeuri na dharau alafu hii tabia ipo sana kwa wasomi.Ndio inatokea 🤣🤣
Umejieleza tofauti sana mimi naeza sema huo ni uongo bwana, Wanawake wengi wakipenda kiherehere hakizuiliki. So labda useme tu hujapenda ila sio hauna hurka ya Mawasiliano.Kwanini mkuu😃😃
Alikuwepo ila hakuwahi kunielewa 😃😃😂🙌Kumbe hujampata muda wote huo?
😂😂😂😂pole kwa kutumia jf kama sehemu ya ku-refresh....hiyo sio ishara njema kabisa ukizingatia wewe una mpenzi ambaye ndo ilibidi aku-refresh😊Pole ya Nini Sasa,au basi Asante 🤣🤣
Huu ni hatari, mi nikiwa kwenye daladala huwa sipendi kuchat nae kabisa nisijepitiliza kituo bure kisa 5G 😂Basi tu ni ulemavu huu kama ulemavu mwingine sema huu ulemavu mzuri 😄
Basi huenda kweli sijui mapenzi yanafananaje😃😃🤔Umejieleza tofauti sana mimi naeza sema huo ni uongo bwana, Wanawake wengi wakipenda kiherehere hakizuiliki. So labda useme tu hujapenda ila sio hauna hurka ya Mawasiliano.
🤣🤣🤣🤣 na Anaconda naye auliwe na wawindaji afu wamchome moto mpk awe majivu, na majivu yake ije mvua inyeshe yote yavurugike yaondoke na maji.Mpige halafu umtupe kwa anaconda amlee hadi mifupa
Hii kitu aisee hapana.Kuna kusahau… mtu anaweza kufungua sms akasahau kujibu 🤣 ama kurespond missed call.
Ingawa hawakosekani wanaofanya kusudi esp pale ambapo hakufeel.
Kabisa ni muhimu wote kutafutana.Ni muhimu wote kutafutana, naamini kama mnapendana basi hata uwe busy kiasi gani huwezi kukosa hata dk 1 ya kumjulia hali mpenzi. Ila ikiwa daily wewe ndiye unainitiate mawasiliano usipomcheki mtu ndiyo basi hata week inaisha aah jua kabisa hapo hamna mapendo.
Maua yako haya hapa 🌹🌷Ni muhimu wote kutafutana, naamini kama mnapendana basi hata uwe busy kiasi gani huwezi kukosa hata dk 1 ya kumjulia hali mpenzi. Ila ikiwa daily wewe ndiye unainitiate mawasiliano usipomcheki mtu ndiyo basi hata week inaisha aah jua kabisa hapo hamna mapendo.
🤣🤣 wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.Sawa,, ngoja nijitahidi kuanzia wiki ijayo... wiki hii nifanye kwanza mazoezi kwa marafiki marafiki au we unaonaje😃😃
😂😂😂nmecheka kwanguvu 😂Mr bean simpendi hanichekeshi km Jack Chan, labda Nixau yule wa The God’s must be crazy 🤣🤣🤣🤣
Ila upunguze Chai🤨Basi huenda kweli sijui mapenzi yanafananaje😃😃🤔
Pole sana aisee. Karibu kwenye usingle.Alikuwepo ila hakuwahi kunielewa 😃😃😂🙌