Kiumri alipaswa awasikize Warioba na ButikuButiku na Waripba wapo viruri lakini yule jamaa nia yake anataka nchi iwe ya ukoo.
Kikwete ni mshauri wa kitu gani huyo muhuni?Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Mkutano mzima aliutuliza na akafanya aliyofanya na ikapitishwa batili kwa ushauri wake!Kikwete ni mshauri wa kitu gani huyo muhuni?
Kwamba!Ondoa mzee wa Msoga!
Hao wazee wawili ukimtoa huyo cheki bob, hao wawili tunawaheshimu sana. Tunaimba huyo Kiwete mtoe kwenye kundi la wazee wenye maana katika Taifa hili, huyo ni muhuni wa mjiniSalaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Muhuni awezaje kuwa karibu hivyo na kiongozi wetu Mkuu na nchi ikabaki salama?Hao wazee wawili ukimtoa huyo cheki bob, hao wawili tunawaheshimu sana. Tunaimba huyo Kiwete mtoe kwenye kundi la wazee wenye maana katika Taifa hili, huyo ni muhuni wa mjini
Amekipeleka chama shimoni,Mzee Butiku na Mzee Warioba ni washauri wazuri.
mzee wa msoga ni mbinafsi napata hisia kwamba ataanza kuonekana ni mzee hovyo.
Walikuwemo mkutanoni ndio,Butiku na Warioba hawakuwepo mkutanoni ?
Hakuna ana weza kulingana na Kikwete kwa experience
Hao wawili sawa!Kwamba!