Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

Salaam!

Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?

Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,

Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?

Tujisahihishe!

Nawasilisha 🙏
Mnauomlaumu Kikwete, mnamuonea bure. Ongeeni ukweli. Halafu kuna yule dada aliyesetiwa atoe hoja, historia itamhukumu sana. Tuendelee kunywa Ulanzi.
 
Swali chonganishi...
 
Mnauomlaumu Kikwete, mnamuonea bure. Ongeeni ukweli. Halafu kuna yule dada aliyesetiwa atoe hoja, historia itamhukumu sana. Tuendelee kunywa Ulanzi.
Nani alaumiwe sasa?

Mtu anaambiwa Nena nje tukujjadili anakataa,

Mwingine aambiwa " Kaa chini WEWE, sijakuruhusu"

Na ukizingatia, Vyombo viko nje 🤔
 
Muhuni awezaje kuwa karibu hivyo na kiongozi wetu Mkuu na nchi ikabaki salama?
Acha kufurahisha kijiwe mkuu. Huo Usalama wa nchi unauonaje, unaupimaje?

Mkuu hauoni rasilimali zetu watu wanafanyia upatu, inamaana hizi sauti za ndugu zetu kutekwa na wengine wakiozea jera we hazijakufikia?

Nchi iko salama wapi katiba zote zinaitwa "vijikaratasi" huo Usalama unaotoa wapi mkuu kama si mtu kuwa na ukipofu labda.

Kiwete ni muhuni aliyekataliwa toka 1995 alishaonekana ni msela tu wa kawaida asiyefaa hata kuruhusiwa kuingia sehemu inaitwa Ikulu sema kwa vile bongo hii ni bongolala ndo unaona muhuni anaitwa mzee
 
NAMI nimesema,

Kiumri, Warioba na Butiku ushauri wao ulitakiwa kutiliwa maanani kuliko yule mwingine.
 
Salaam!

Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?

Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,

Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?

Tujisahihishe!

Nawasilisha 🙏
Wote hao wana bei zao na wanakosa sauti ya kimaadili yenye kustahili kuheshimika.

Mwalimu Nyerere na Marehemu Mzee Mwinyi walikuwa na haki ya kuonya, kukosoa na kushauri kwa nafasi zao na historia zao.
 
Warioba ndiye mshauri mzuri Kwa maslahi ya taifa, mrisho ushauri wake ni Kwa masilahi binafsi💯
 
Nani alaumiwe sasa?

Mtu anaambiwa Nena nje tukujjadili anakataa,

Mwingine aambiwa " Kaa chini WEWE, sijakuruhusu"

Na ukizingatia, Vyombo viko nje 🤔
Ndio maana sioni makosa ya Mzee Kikwete unless awe alishauri nje ya Ukumbi. Lakini kwa kuangalia yaliyotokea Ukumbini, hakua na lakufanya. Mzee Butiku ameshindwa kuongea ukweli kwenye hilo. Kama kweli tunataka kuliponya Taifa tuelezane ukweli.

Kwanza Jana yake Bro wa Propaganda alidokeza kuwa, kutakua na surprise siku ya mwisho ya kikao.
Umewahi kujiuliza, alikua akizungumzia surprise gani?
 
Wote hao wana bei zao na wanakosa sauti ya kimaadili yenye kustahili kuheshimika.

Mwalimu Nyerere na Marehemu Mzee Mwinyi walikuwa na haki ya kuonya, kukosoa na kushauri kwa nafasi zao na historia zao.
Kheri mbwa hai kuliko Simba mfu,

Wapo walio hai wawezao kutuvusha,

Tujikite hapo.
 
Salaam!

Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?

Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,

Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?

Tujisahihishe!

Nawasilisha 🙏
Mzee kikwete hatujawahi kumsikia akitoa ushauri hadharani wenye maslahi mapana kwa taifa. Kwa hiyo hatujui huko uchochoroni huwa anatoa ushauri wa aina gani japo rekodi yake ya siku za karibuni inamuweka kwenye kundi lisilo zuri kuigwa..
 
Butiku na Waripba wapo viruri lakini yule jamaa nia yake anataka nchi iwe ya ukoo.
Bahati nzuri sana enzi za utawala wake,alianzisha shule Nyingi za kata! Matokeo yake wengi waliosoma na wanaendelea kusoma!Nchi Ina wasomi wengi na Ajira Hakuna!Keki ya Taifa wanafaidi baaadhi ya watu na watoto wao.Tutafika penyewe bila kutumia nguvu zozote.
 
Ukiwa unachukua ushauri kwa kuangalia vitu hivyo utafeli.
 
Bahati nzuri sana enzi za utawala wake,alianzisha shule Nyingi za kata! Matokeo yake wengi waliosoma na wanaendelea kusoma!Nchi Ina wasomi wengi na Ajira Hakuna!Keki ya Taifa wanafaidi baaadhi ya watu na watoto wao.Tutafika penyewe bila kutumia nguvu zozote.
Mkewe naye akkadai alipwe mshahara,

Ujasiri huo kautoa wapi, hakushauriwa na mumewe kwamba hii SI sawa?
 
Back
Top Bottom