MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Ingekua ni kupiga kura basi kura ya ndio ingekwenda kwa mzee wangu warioba kwa sababu mzee huyu yeye njano ni njano na nyeusi ni nyeusi, PERIOD
Mungu amjalie siku nyingi za kheri,Ingekua ni kupiga kura basi kura ya ndio ingekwenda kwa mzee wangu warioba kwa sababu mzee huyu yeye njano ni njano na nyeusi ni nyeusi, PERIOD
Naam kisha yeye anufaikeMshauri anayekupeleka Chaka Ili ukkaharibikiwe mbele ya safari
Warioba yupo vizuri ndio maana 2014 alileta katiba inayopendekezwa na wananchi zuri sana, hana uroho na ulafi wa rasilimali kama huyo Ayatollah wa mchongo wa pwaniSalaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Mna mlinda vya kutosha?Mungu amjalie siku nyingi za kheri,
Amen
Umetumia busara kweli,Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Nashawishika kusema kijana aliyemsgambulia Mzee Warioba 2024 alitumwa na wazee wabaya.Warioba yupo vizuri ndio maana 2014 alileta katiba inayopendekezwa na wananchi zuri sana, hana uroho na urafi wa rasilimali kama huyo Ayatollah wa mchongo wa pwani
Dogo ni team msoga tangu asubuhi,Nashawishika kusema kijana aliyemsgambulia Mzee Warioba 2024 alitumwa na wazee wabaya.
Huu mti mkubwa wenye mizizi iliyotapakaa Kila Kona ya nchi kuukata inatakiwa chainsaw ya kisasa zaidi.Dogo ni team msoga tangu asubuhi,
Magufuli kimbele mbele chake kumwamini vile afisa kipenyo cha team Msonga
Huwezi kupata jibu litakalokuridhisha kwani kila mtu atajibu kwa mslahi yake au maono yakeSalaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Ni sawa pia,Huwezi kupata jibu litakalokuridhisha kwani kila mtu atajibu kwa mslahi yake au maono yake
Uzee ni hazinaSalaam!