Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Mtego wameuchimba wenyewe na kutumbukia humo!Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah,uso mtauweka wapi?!!!Amekipeleka chama shimoni,
Sijui kitatokaje humo!
Mtego wameuchimba wenyewe na kutumbukia humo!Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah,uso mtauweka wapi?!!!Amekipeleka chama shimoni,
Sijui kitatokaje humo!
Mkuu hiyo kidogo kwa Butiku lilikuwa gumu pale ukumbini, namaanisha Kiwete kama raisi na mkt mstaafu na alikaa meza kuu kando na mama pengine yeye alikuwa na nafasi zaidi ya kusawazisha kuliko kuchochea moto wa tumalize hapa hapa kuliko ambavyo angefanya mzee Butiku.Ndio maana sioni makosa ya Mzee Kikwete unless awe alishauri nje ya Ukumbi. Lakini kwa kuangalia yaliyotokea Ukumbini, hakua na lakufanya. Mzee Butiku ameshindwa kuongea ukweli kwenye hilo. Kama kweli tunataka kuliponya Taifa tuelezane ukweli.
Kwanza Jana yake Bro wa Propaganda alidokeza kuwa, kutakua na surprise siku ya mwisho ya kikao.
Umewahi kujiuliza, alikua akizungumzia surprise gani?
Palipo na mzoga ndipo hukusanyika fisi!Mtego wameuchimba wenyewe na kutumbukia humo!Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah,uso mtauweka wapi?!!!
Shida sana!Mkewe naye akkadai alipwe mshahara,
Ujasiri huo kautoa wapi, hakushauriwa na mumewe kwamba hii SI sawa?
Kikwete aliongea wazi, aliwaambiaSalaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Kwamba!Mkuu kuna thread unaanzisha hazina mantiki, ni tofauti na ulivyojitanabaisha
🤣🤣Kwanza elewa Jk ataki uzee, kama mzee basi atakuwa mzee wa hovyo
Unawadharau wachangiaji wote waliochangia page ya tatu sasa kwamba thread haina mantiki?Mkuu kuna thread unaanzisha hazina mantiki, ni tofauti na ulivyojitanabaisha
Umeweka thread ambayo haina mantiki.Kwamba!
Tatizo Kikwete badala ya kushauri yeye anapotosha wa maslahi yake binafsi na familia yakeSalaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Simba mfu hapo ni wote watatu. JK anaifahamu zaidi dunia ya kidiplomasia akiwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10 na rais kwa miaka 10.Kheri mbwa hai kuliko Simba mfu,
Wapo walio hai wawezao kutuvusha,
Tujikite hapo.
Kikwete anahudhuria vikao vingi vya UN, jiulize anatoa ushauri gani huko. Ni mzoefu sana kwenye masuala ya kidiplomasia sawa na Salim Ahmed Salim alivyokuwa miaka ile ya 80 na 90.Mzee kikwete hatujawahi kumsikia akitoa ushauri hadharani wenye maslahi mapana kwa taifa. Kwa hiyo hatujui huko uchochoroni huwa anatoa ushauri wa aina gani japo rekodi yake ya siku za karibuni inamuweka kwenye kundi lisilo zuri kuigwa..
Bei zao?Simba mfu hapo ni wote watatu. JK anaifahamu zaidi dunia ya kidiplomasia akiwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10 na rais kwa miaka 10.
Warioba ni gwiji wa sheria mwenye uzoefu wa nafasi nyingi kubwa, hivyo masuala ya ndani na haswa ya kisheria anayajua sana.
Butiku ni mshauri wa zamani wa Mwalimu Nyerere ni mmoja wa senior citizens waliobakia, busara zimejaa na anapoongea anasikilizwa.
Tatizo ni lile lile wote watatu wana bei zao, miaka inapozidi kwenda utu uzima wao unawaweka mbali na tabaka la uongozi wa nchi.
Kumbe jina la JPM nalo lingekatwa?NIMEMKUMBUKA SANA HAYATI MKAPA.ASINGEKUBALI UHUNI WALIOUFANYA MSOGA GANG KULAZIMISHA KIZIMKAZI AGOMBEE TENA.ANGEWAAMBIA UKWELI WAACHE UHUNI WAO HII NCHI SIYO YA BABA YENU KAMA ALIVYOMWAMBIA KIPINDI MSOGA ALIPOTAKA KULIKATA JINA LA JPM WAKATI WA MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS.MZEE MKAPA APUMZIKE KWA AMANI.
VIle ni vikao vya wahuni wa kimataifa, wala havina uzito wowote katika kugusa maisha ya kawaida ya mwanadamu.Kikwete anahudhuria vikao vingi vya UN, jiulize anatoa ushauri gani huko. Ni mzoefu sana kwenye masuala ya kidiplomasia sawa na Salim Ahmed Salim alivyokuwa miaka ile ya 80 na 90.
mtu ambaye hajawahi endesha roli, aliyekuwa taniboi waroli lilopata ajali kitonga na aliyeendesha akafika lubumbashi akarudi salama nani atakushauri jinsi ya kufika makambako?Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?
Tujisahihishe!
Nawasilisha 🙏
Wanazijua wanaowatumia kuongea na vyombo vya habari. Ni mamilioni ya pesa.Bei zao?