Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

Kikwete asimamishwe mara moja uanachama wa CCM amekiingiza chama kwenye mkanganyiko kwa faida ya familia yake, narudia tena mara moja asimamishwe.
 
Msoga hajaanza uhuni leo.
Tambua kuwa huyu aliwahi kuwa nyumba yake ndogo, ili kumfurahisha akamtafutia upenyo ndani ya chama, baadaye akamwingiza kwenye bunge la katiba, baadaye akalazimisha awe mwenza wa Jiwe kwenye uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, inawezekana vipi uongozi unaufanya kuwa malipo ya mahusiano yenu? Kwa sababu alifanimiwa katika hili, amejenga kujiamini kuwa ana uwezo wa kugawa uongozi kwa yeyote anayemtaka.

Ama kweli wahuni si binadamu!!
 
Kuendelea Kumwamini kikwete katika nchi hii ni kukubali kuendelea kukumbatia vibaka na majangili
 
Majibu yako ndani ya hilo swali
 
Hapo Kuna wazee wawili wenye hekima na busara zao na Kuna tapeli mmoja mwenye uchu na uroho uliopitiliza
 
Kikwete anakuaje mshauri mzuri wakati ana interests zake kibao serikalini (mke wake mbunge,Riz1 waziri..)
Huwezi kua hakimu kwenye kesi yako mzee

Huyu ndio master wa nepotism kuanzia rohoni kwake
 
Kikwete anakuaje mshauri mzuri wakati ana interests zake kibao serikalini (mke wake mbunge,Riz1 waziri..)
Huwezi kua hakimu kwenye kesi yako mzee

Huyu ndio master wa nepotism kuanzia rohoni kwake
Basi afungiwe jiwe la kusagia ngano, kisha atoswe baharini
 
Kikwete mshauri maslahi kwa familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…