GE2025 Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.

Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.

Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.

Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.

Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.

Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.

Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.

Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.

Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.

Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.

Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;

1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.

2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.

Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.

Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.

Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.

Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.

Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.

Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.

Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .

Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??

Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??

Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

Nani anapaswa kuitwa Mkristo???

Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??

Nijengee hoja tafadhali!!

Britanicca
 
Na Edutalk X

Britanicca
Mwamposa ni Tapeli siyo mtumishi wa.mungu
 
Ahaaaa.
Kwa hiyo sisi Waislamu tumsapoti Samia na nyie Wagalatia ndio mko kwa Lissu! Waambie basi na waislam wasiojitambua wanasubiri nini huko CDM
 
Mimi ni Mlokole ninayejitambua. Mwamposa ni nabii tapeli, ni wale Manabii wa uongo waliotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo.

Yesu aliuza mafuta ya upako? Yesu aliwabagua watu kwenye utoaji wa zaka na sadaka kama Mwamposa (anayetoa sadaka kubwa ndo huombewa maombezi mengi na maalumu na Mwamposa)?
 
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.

Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.

Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.

Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.

Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.

Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.

Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.

Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.

Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.

Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.

Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;

1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.

2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.

Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.

Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.

Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.

Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.

Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.

Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.

Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .

Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??

Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??

Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

Nani anapaswa kuitwa Mkristo???

Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??

Nijengee hoja tafadhali!!

Na Edutalk X

Britanicca
Nakubaliana naww asilimia 90 juu ya AI LISSU but asilimia 10 zilizobaki napingana naww kuhus LISSU kua sawa na YESU!! Tofaut yao katika hayo yote YESU hakutenda dhambi....hii ndio tofaut yao!!
 
Huwezi kuwa mpenda KWELI, USAWA, na HAKI katika jamii Kwa kumtumia YESU kama mfano wa kuigwa, Ikiwa BABA yake ndiye CHANZO cha MATATIZO yote kwenye JAMII.
 
Ahaaaa.
Kwa hiyo sisi Waislamu tumsapoti Samia na nyie Wagalatia ndio mko kwa Lissu! Waambie basi na waislam wasiojitambua wanasubiri nini huko CDM
Kwani ninyi waislamu ktk Quran huyu Issa bin marium hajatajwa kuhusu matendo yake ya haki?, napata wasiwasi na Uislamu wako wa mchongo, kama huwezi hata kuchambua jambo dogo kama hili je ule uovu wa wanasiasa wenu utaweza kuuchambua?.

Hao wanasiasa wote bila kujali dini zao hakuna hata mmoja anafuata haki zaidi ya ushenzi na maonevu, na bado mnawakaribisha ktk majukwaa ya dini zenu, inatia mashaka, dhehebu/msikiti unaowakaribisha wanasiasa wanaovunja sheria za nchi wakati huo wanajiita wafuasi wa dini.

Dini zina uhuni lkn wanaozifuata kwanini hata kile kidogo cha haki kilichopo ktk mafundisho hawakifuati?.
 
Nakubaliana naww asilimia 90 juu ya AI LISSU but asilimia 10 zilizobaki napingana naww kuhus LISSU kua sawa na YESU!! Tofaut yao katika hayo yote YESU hakutenda dhambi....hii ndio tofaut yao!!
Mnauelewa mdogo wafuasi wa dini, hapo yameongelewa matendo ya kristo Yesu ambayo kila anayejiita mkristo nilazima sio Ombi nilazima ayafuate ili akamilishe ukristo wake by 100%,

Sasa wewe unayejiita mkristo na unatenda 10% ya ukristo unakuwaje mkristo halali?, au wewe unayejiita mchungaji na mlokole unakuwaje mkristo wakati huwezi kukemea maovu ya viongozi waliopewa mamlaka ya kuongoza watu?.

Hata wewe muislamu unapata wapi haki ya kujiita muislamu wakati hufuati sharia za uislamu wala auheshimu matendo ya mitume wa MUUMBA?.
 
Ahaaaa.
Kwa hiyo sisi Waislamu tumsapoti Samia na nyie Wagalatia ndio mko kwa Lissu! Waambie basi na waislam wasiojitambua wanasubiri nini huko CDM
Unaamua kupotosha makusudi ila sindano imeingia.
 
Mwamposa ni shetani alijificha kwenye madhabau hakuna Nabii huyu ni mchawi na dawa zake za Nigeria basi hamna jipya Yesu hakuwai kuuzia watu maskini Mchanga
 
Write your reply...hapo ndo mnapokosea lisu hawezi kufanana na yesu hata kwa 0.5% sbb wanasiasa wengi hawapiganii haki za wananchi bali kuna wanachopgania kwa maslahi yao wenyewe
 
Kwani ninyi waislamu ktk Quran huyu Issa bin marium hajatajwa kuhusu matendo yake ya haki?, napata wasiwasi na Uislamu wako wa mchongo, kama huwezi hata kuchambua jambo dogo kama hili je ule uovu wa wanasiasa wenu utaweza kuuchambua?.

Hao wanasiasa wote bila kujali dini zao hakuna hata mmoja anafuata haki zaidi ya ushenzi na maonevu, na bado mnawakaribisha ktk majukwaa ya dini zenu, inatia mashaka, dhehebu/msikiti unaowakaribisha wanasiasa wanaovunja sheria za nchi wakati huo wanajiita wafuasi wa dini.

Dini zina uhuni lkn wanaozifuata kwanini hata kile kidogo cha haki kilichopo ktk mafundisho hawakifuati?.
Mtoa mada kaeleza vizuri tu sasa wewe unaanza kupindisha.
Amesema Mkristo safi hawezi kumsapoti Samia hakusema waislam akiamini fika Wagalatia wanatakiwa kuwa CDM na sio Waislamu
 
Back
Top Bottom