LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
walokole ndio watu gani mjuba?Mpaka walokole wanaruhusiwa kujibu mkuu?

Gugowalokole ndio watu gani mjuba?
Lissu anapigania Nini hata apigwe Risas bado yumo? Hebu tuambieWrite your reply...hapo ndo mnapokosea lisu hawezi kufanana na yesu hata kwa 0.5% sbb wanasiasa wengi hawapiganii haki za wananchi bali kuna wanachopgania kwa maslahi yao wenyewe
Walokole na ukilaza ni kama paka na samakiLissu anapigania Nini hata apigwe Risas bado yumo? Hebu tuambie
Wanakusikia mkuu, watakushukia kama mweweWalokole na ukilaza ni kama paka na samaki
mwamba mmoja hiviKumbe kwenye hii nchi ya jamhuri ya tanganyika muna yesu wenu?
Mwamposa ni mjasiriamali kwenye kichaka cha dini.Japo walokole kutumia akili utakua umewaonea sana ila ngoja waje tuone🤔
Yesu Kristo aliishi HAKI na KWELI, hili halina ubishi hata kidogo...Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.
Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.
Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.
Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.
Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.
Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.
Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.
Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;
1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.
2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.
Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.
Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.
Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.
Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.
Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.
Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.
Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .
Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??
Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??
Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?
Nani anapaswa kuitwa Mkristo???
Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??
Nijengee hoja tafadhali!!
Na Edutalk X
Britanicca
Mwamposa mbona ni muhuni wa kidini ...ndiyo maana nasema hapa kuwa wakristo amna akili ...NILITAKA NIWA FUNDISHENI INJILI NA DINI YA KWELI SEMA HAPA JF Maxence Melo ana futa nyuzi za DINI ....Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.
Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.
Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.
Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.
Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.
Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.
Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.
Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;
1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.
2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.
Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.
Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.
Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.
Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.
Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.
Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.
Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .
Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??
Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??
Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?
Nani anapaswa kuitwa Mkristo???
Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??
Nijengee hoja tafadhali!!
Na Edutalk X
Britanicca
Mkuu jibu kuu ni moja Lissu ni mwana wa Mungu alie hai , asilinganishwe na vishoka wa Mungu alie haiHauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.

Ni aina mojawapo ya Misukule ya makanisani .walokole ndio watu gani mjuba?
Siyo mkristo tu hata muislamu na mpagani awezi kusaport kiumbe kipuuziMtoa mada kaeleza vizuri tu sasa wewe unaanza kupindisha.
Amesema Mkristo safi hawezi kumsapoti Samia hakusema waislam akiamini fika Wagalatia wanatakiwa kuwa CDM na sio Waislamu
Anayaamini Mwamposa ni mtume,hakapimwi hakili.Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.
Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.
Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.
Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.
Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.
Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.
Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.
Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;
1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.
2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.
Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.
Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.
Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.
Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.
Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.
Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.
Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .
Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??
Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??
Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?
Nani anapaswa kuitwa Mkristo???
Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??
Nijengee hoja tafadhali!!
Na Edutalk X
Britanicca
Huyo Mwamposa ni nabii wa nini ?Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.

ukiona mtu anajadili watu badala ya mada iliyowekwa mezani anza kupata mashaka naye. Isipokuwa tu akiwa amedhamiria kufanya mizaha.Japo walokole kutumia akili utakua umewaonea sana ila ngoja waje tuone🤔