GE2025 Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chamsingi mkono uende kinywani, mengine mbwembwe tu.
 
Mimi ni Mlokole ninayejitambua. Mwamposa ni nabii tapeli, ni wale Manabii wa uongo waliotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo.

Yesu aliuza mafuta ya upako? Yesu aliwabagua watu kwenye utoaji wa zaka na sadaka kama Mwamposa (anayetoa sadaka kubwa ndo huombewa maombezi mengi na maalumu na Mwamposa)?
Asante
 
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.

Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.

Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.

Kupitia maneno yake na matendo yake, Yesu alifundisha na kuuishi altruism; hali ya upendo na kuwajali wengine.

Altruism iliendeshwa na kusema ukweli, haswa kwa wale wenye mamlaka.

Na katika hali ya kuiishi kweli, kuna wakati alifikia hatua ya kuingia hekaluni na kuvunjavunja meza za wale wenye mamlaka walioishi kwa kuipindisha kweli.

Kupitia kuiishi hii kweli, Yesu aligeuka tishio na kupewa kesi ya uhaini. Yes, kesi ya “kujivalisha crown” na “kujiita MFALME WA WAYAHUDI” katika himaya ya Emperor Tiberius.

Hata walipomkamata na kumpeleka kwenye mahakama kisha kumpiga mijeledi ya kutosha, he stood his ground; he defended truth.

Kwake ilikuwa bora kufa na kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia kuliko kupindisha ukweli.

Alijua wazi kuwa kupindisha ukweli kunasababisha mamilioni ya watu, haswa maskini, kulazimika kulipa gharama kwa kuishi maisha ya tabu na mateso makubwa.

Mpaka kifo chake, Yesu aliacha maagizo kwa wafuasi wake;

1. Tafuteni ukweli na kuuishi kwa sababu ukweli pekee ndio utawaweka huru.

2. Kuweni altruistic kwa kuwajali wengine kama nafsi zenu.

Baada ya hizi principles, anajenga hoja kuwa wafuasi wake watatambulika kwa kigezo kimoja tu; MATENDO YAO.

Kwa lugha nyingine, utawajua WAKRISTO kwa namna wanavyoiishi na kuipigania kweli HATA KUFA.

Tundu Lissu ni kama Yesu, sioni tofauti yao hata kidogo.

Kilichomuua Yesu ni kusema ukweli, hilo tu.

Same applies, kinachomfanya Lissu apitie haya ni KUSEMA UKWELI.

Yesu alijua gharama ya kusema ukweli lakini hakuogopa kuilipa, sawa sawa kabisa na Tundu Lissu.

Sasa turudi kwako wewe mkristo ambaye ni mfuasi wa Rais @SuluhuSamia .

Je, ni sahihi kukuita mkristo?? Nini kinachotambulisha ukristo wako??

Ni sahihi wewe kujipambanua kuwa ni mkristo??

Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

Nani anapaswa kuitwa Mkristo???

Kwa kumsupport Samia ambaye hana tofauti yoyote na Pontio Pilato na bosi wake Tiberius waliomuua Yesu kwa kosa la kusema ukweli, unajipambanuaje kuwa wewe ni wa Yesu??

Nijengee hoja tafadhali!!

Britanicca
Hakika hili ni jaribio la kiimani haswaa na Mungu atusaidie tuiishi ile iliyo kweli yenye kumpendeza yeye.
 
Walokole ni mvinyo mpya.
Wakristo ndiyo wale Waaminio

Mwamposa ni mlokole na siyo Mkristo
 
Siyo mkristo tu hata muislamu na mpagani awezi kusaport kiumbe kipuuzi
Hilo la muislamu na mpagani umeongeza wewe, mtoa mada kasema Wagalatia tu ndo wasimsapoti Samia
 
Mwamposa ni tapeli
Yeye mwenyewe huyo muhuni anatibiwa magonjwa VIP ila misukule yake anaiambia itapona kwa maji na udongo na hiyo misukule isipo pona ana iambia kuwa haina imani je yeye mwamposa naye hana imani mbona anatibiwa na madaktari bingwa na VIP kabisa
 
⁸

Najua kuliko yoyote ..na ninacho kipimo cha kwanini mtu awezi kuwa mtakatifu kwa kupitia ulokole
sasa nani kakuambia mlokole ni mtakatifu mjuba? Inaonesha hujui ulokole/mlokole
 
Kama ulokole siyo utakatifu au hauna uhusiano na utakatifu basi ULOKOLE ni upumbavu kama nilivyo sema .....WATAKATIFU NDIYO WATAKAO INGIA PEPONI KAMA ILIVYO ANDIKWA .....👉 HAKUNA HATAKAYE INGIA PEPONI PASIPO KUWA NA HUO UTAKATIFU...PIA IMEANDIKA ...👉MUNGU AKAWAAMBIA WAISRAELI NA MUSA ....KUWENI WATAKATIFU KAMA MIMI MUNGU WENU NILIVYO MTAKATIFU...
Walokole ni mojawapo ya 👉MACHUKIZO YA UHALIBIFU YALIYO JIHINUA PATAKATIFU...
 
Kama ulokole siyo utakatifu au hauna uhusiano na utakatifu basi ULOKOLE ni upumbavu kama nilivyo sema .....WATAKATIFU NDIYO WATAKAO INGIA PEPONI KAMA ILIVYO ANDIKWA .....
 
We jamaa wafuasi wako wana shida kwelikweli kama wanakuamini na kukufatilia 🤣🤣🤣.Ulisema sijui mwezi wa saba ukaisha ukasema wa nane nao umeisha haya huu wa tisa now unaenda kuisha bado tu hakuna ramli yako iliyotik 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom