Mnauelewa mdogo wafuasi wa dini, hapo yameongelewa matendo ya kristo Yesu ambayo kila anayejiita mkristo nilazima sio Ombi nilazima ayafuate ili akamilishe ukristo wake by 100%,
Sasa wewe unayejiita mkristo na unatenda 10% ya ukristo unakuwaje mkristo halali?, au wewe unayejiita mchungaji na mlokole unakuwaje mkristo wakati huwezi kukemea maovu ya viongozi waliopewa mamlaka ya kuongoza watu?.
Hata wewe muislamu unapata wapi haki ya kujiita muislamu wakati hufuati sharia za uislamu wala auheshimu matendo ya mitume wa MUUMBA?.