Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

Kenya 2022 General Election
Mnafurahisha sana,utadhani siasa za Africa ni ngeni-Afrika aliyeshika mpini ndio anachagua nani amrithi-mambo ya kura ni utaratibu tu.
 
Western ni ya Raila,Ruto hapewi western n'go. Na usichokijua Ida Odinga ni mluhya western moja,so wajaka na waluhya huitana mashemeji.
wwe unathani Mudavadi(Pure Luhya)akipewa kiti ya DP Kenya Kwanza kuna waluhya wangapi watampigia Raila wa Azimio????we ebu nenda ufwatilie campaign za Western na wanavosema!!!!Raila wheelbarrow straight Bondo Forever💩
 
Ndio Mimi nawashangaa,Afrika aliyeshika kijiti ndio anayependekeza.Rails Odinga ana jina kuzidi hata Uhuru Kenyatta-kabla hajawa maarufu.
Huyo Rutto mwenyewe umaarufu wake umeongezeka alipo kuwa na Odinga.
 
Western ni ya Raila,Ruto hapewi western n'go. Na usichokijua Ida Odinga ni mluhya western moja,so wajaka na waluhya huitana mashemeji.
wwe unathani Mudavadi(Pure Luhya)akipewa kiti ya DP Kenya Kwanza kuna waluhya wangapi watampigia Raila wa Azimio????we ebu nenda ufwatilie campaign za Western na wanavosema!!!!Raila wheelbarrow straight Bondo Forever💩
Acheni ukabila,peeni tribe nyingine pia uongozi,igeni kwetu,wewe Mkale umezamia huku hujifunzi kwetu?
 
Bro these are your thoughts and it's acceptable [emoji846]. But from what I think you are tribalistic through what you wrote... Kiongozi hutoka kwa Mungu na kufikia saa hii the only person who knows the next President is God. Kwa hivo tuliza mshono tungoje 9th of August [emoji848][emoji12]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wwe unathani Mudavadi(Pure Luhya)akipewa kiti ya DP Kenya Kwanza kuna waluhya wangapi watampigia Raila wa Azimio????we ebu nenda ufwatilie campaign za Western na wanavosema!!!!Raila wheelbarrow straight Bondo Forever[emoji90]
By the way Waluhya ni wengi lakini kumbuka Kenya Kuna kabila zengine Bro...
ATI Raila na Wheelbarrow Bondo Pap [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hamna mpiga kura anayechagua MTU brother,labda Afrika iliyopo Mbinguni.
Moi akiwa kwenye kiti alimtaka Uhuru aingie baada yake,Uhuru ndiye mwanzilishi wa Chama cha ODM pamoja na Raila,Lakini Hustlers walimkataa wakamkubali Kibaki wa PNU! Tulimwingiza kwenye kiti na tukamwapisha live akiwa kwenye clutches akiwametoka accident!!
Usicheze na sisi!kunawaka moto tukichizi!!!sio kama nyinyi maCCM💩
Sasa hivi the most dangerous Candidate anasuport ya Mount Kenya90%,Western70%,Riftvalley90%,Uko kwingine 70s and 50s!!!
Ngoja uone Hustler anavyoingia kwenye Kiti tukimbeba juu kwa juu na yake kura haiibiwi!👌🔥
 
Western ni ya Raila,Ruto hapewi western n'go. Na usichokijua Ida Odinga ni mluhya western moja,so wajaka na waluhya huitana mashemeji.

Acheni ukabila,peeni tribe nyingine pia uongozi,igeni kwetu,wewe Mkale umezamia huku hujifunzi kwetu?
Mimi sio Mkale but Nasuport Hustler😜Mtake msitake,Mzee Kitendawili wheelbarrow Bondo Express forever!!!!!Kwani Uko Nyanza hawawezi kutupea Candidate mwingine isipokuwa Raila nkt💩
 
Siasa ya Kenya ya ajabu sana, ukabila ndio unaamua nani awe rais wa Kenya, japokuwa kidemokrasia wakenya wametuacha mbali sana sisi watanzania lakini misingi ya demokrasia yao imepakwa Ukabila mtupu.

Kama kuna mahali watanzania tuliwahi kukosea pakubwa katika siasa zetu, basi ni 2015 tulipolazimishiwa Magufuli awe rais wetu. Magufuli sio tu aliiua kabisa Demokrasia ya Tanzania, bali iliizika kabisa Demokrasia yetu na hapo akapandikiza siasa za kikabila za kule Kenya.
 
Wacha kuwa mjinga
Huyo kijana alisalimia Raila
Ni lini mtawacha kubebewa akili hivi!
Videos ziko with facys
 
Wacha kuwa mjinga
Huyo kijana alisalimia Raila
Ni lini mtawacha kubebewa akili hivi!
Videos ziko with facys
Tuseme hio ya salamu tulidanganywa🙈Jee ile ya hio crowd yote mpaka kibaki relatives kumshangilia Ruto kabisa mpaka wanaruka juu alipokaribishwa atowe pole zake,Jee pia hio tulidanganywa????😂😂😂mpaka uhuru akaskia vibaya hakutoa speech yake😢
 
yes only God knows,but my wish is Ruto mpaka Ikulu😂but wacha Tungoje tuuh!
 
Mimi sio Mkale but Nasuport Hustler😜Mtake msitake,Mzee Kitendawili wheelbarrow Bondo Express forever!!!!!Kwani Uko Nyanza hawawezi kutupea Candidate mwingine isipokuwa Raila nkt💩
Your name betrays you🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…