Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

Kenya 2022 General Election
Unapozungumza au kuandika kitu kumbuka kwamba watu wengi wanasoma, Kuna watu wenye akili zaidi yako, weka ushahidi kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika Demokrasia, katika ukanda huu Tanzania inaongoza kwa Demokrasia, ushahidi huu hapa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tuna
shukur kwa uchambuz
 
Demokrasia gan ya kwenye makartas ama
 
Yet
Yetu macho na masikio
 
Ruto Mpaka Ikulu⚡
Leo hii tunakaribisha Chama cha Governor Alfred Mutua,Maendeleo Chap Chap(MCC)
Na PAA party ya Kingi

Alafu ni muda tuu pia tutakaribisha Wiper Party ya Kalonzo Musyoka uku Hustler Nation!🔥na Vyama vingine vingi tutavipokonya kutoka Azimio because we are🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌
 
Daaaa bas kaz naona imepamba moto
 
Nimeangalia Mutua anasema sasa yeye ni principal kwenye Kenya kwanza hahahahhaa
.
Kalonzo Musyoka Leo anaenda kwa panel kwa ajili ya kuhojiwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya uchaguzi urudi hapa kusoma hii post yako kwa sauti.
 
Mkale maana yake nini mkuu?

Naukumbuka ule wimbo wa kenya waliimba wasanii wa Kenya lile kundi la akina Buganya "sijamuona mkale"
 
Unaandika uongo mwingi.
Moi akiwa Rais alimshawishi Raila ajiunge naye kwa ahadi ya kumrithi 2002 na wakaunda New Kanu, kabla ya hapo chama cha Raila kilikuwa ni NDP. Akiwa New KANU Moi akampa uwaziri wa Nishati.

Uhuru wakati huo zaidi ya kuwa Mtoto wa Rais Jomo hakuwa na nguvu zozote kisiasa tena akiwa mwachama wa KANU. Baada ya Raila kutofautiana na MOI namna kura za kumpata mgombea Urais (uchaguzi wa 2002) kupitia KANU zitakavyopatikana akajiondoa New KANU na kuanzisha chama chake na akatoka na wafuasi wake. Alimuunga mkono Kibaki na kwa kupitia muungano wa Rainbow wakamshinda Uhuru Kenyatta ambaye alikuwa mgombea wa KANU (na ambaye alikuwa ana-backup ya MOI). Wakati huo Kibaki chama chake kiliitwa NAK.

Fact check;
1. Mpaka mwaka wa uchaguzi 2002 hakuna chama kiliitwa PNU
2. Uhuru hakuwahi kuwa upinzani kabla ya uchaguzi wa 2002
3. Hakukuwepo chama cha ODM kabla ya uchaguzi wa 2002. ODM imeanzishwa kwenye vuguvugu la katiba mpya, upande wa Kibaki wakiwakilishwa na ndizi na upande wa Raila chungwa kwenye kura za maoni. Upande wa Raila uliposhinda wakaamua kuanzisha chama cha Orange Democratic Party (ODM)
4. Kibaki aliingia madarakani akiwa na support kubwa ya block zote za makabila ikiwemo na wanachama wa muda mrefu KANU kama makamu wa Rais wa zamani George Saitoti. Kumbuka kwa sehemu kubwa ya kampeni Kibaki hakuhusika kwa sababu ya ajali na waliofanya kampeni kubwa ni Raila na wenzake.
 
2007????
 
✅hio yote ni history!
Sasa hivi anza kusave history ya Ruto kichwani!
 
✅hio yote ni history!
Sasa hivi anza kusave history ya Ruto kichwani!
Mimi huwa sipo kwenye ushabiki wa Wanasiasa. Ubongo wangu upo sober kupokea na kuchuja.
Kwenye siasa hata saa moja inaweza kuleta tofauti kubwa.

Nani alijua hata baada ya mateso na kuwekwa kizuizini na Moi, Raila angeungana naye
Nani alijua hata baada ya mauaji ya 2007 baada ya uchaguzi Uhuru na Ruto wangeungana kumkabili Raila wakati Ruto alikuwa sehemu ya tuhuma za kuchochea mauaji aki-instigate Wakalenjin dhidi ya Kikuyu
Nani alijua Uhuru na Raila wangeungana baada ya Raila kushindwa uchaguzi na Uhuru na yeye kujitangaza Rais

Haya mambo ukiwa makini utajua ni class flani zinapigania maslahi yao na familia zao. Hakuna cha hustler wala Baba tosha. So better relax, watch and analyse
 
Yetu masikio na macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…