Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

Kenya 2022 General Election
Nao kalonzo kaamua kujitoa mhanga, whether he'll force a re-run or join Azimio after campaigns heat-up it's yet to be seen.. but things are more interesting now
 
Je Martha Murua anaweza badili upepo na kumpa kick kubwa Raila au ndo kaburi la Raila?
Anaweza kama atatumia kelele za feminism (1st female VP) na uadilifu/Hapendi ujinga (JPM type) pia kama Uhuru Kenyatta atapita chumba kwa chumba kama alivyoahidi anaweza walau kubeba 30% ya kura za Wakikuyu hivyo kumuangusha Ruto ambaye anategemea kura za Wakikuyu na kalenjin kuingia Ikulu
 
Aliiye juu ni Mungu tu.
Raila hata hali kiafya hayuko vizuri bado anagombea urahisi.
Hata kiwete will go for Ruto.
 
Martha hana ubaya ila mkikuyu hawezi ongozwa na mwanamke
 
Martha hana ubaya ila mkikuyu hawezi ongozwa na mwanamke
Porojo za kikabila hizi. Mbona structure ya jamii ya 'Gikuyu' ni 'matriachal' tangu jadi, kama tu ile ya kiyahudi? Koo zote za wakikuyu(nyumba ya Mumbi) zina majina ya wanawake walioanzisha koo hizo. Almaarufu kama mabinti tisa wa Gikuyu na Mumbi(Adamu na Hawa wa kikikuyu).
Kati ya viongozi mashuhuri waliotawala ukikuyuni, kabla ya ujio wa mkoloni. Kulikuwepo na mwanamke ambaye alikuwa mtata zaidi ya wote, aliitwa Wangu Wa Makeri.
 

Acha matharao chaguaruto
 
Nakushauri umuunge mkono Ruto
 
Sijasema kwamba simchagui, wala sijasema kwamba nitamchagua RAO. Ila hayo yote hayahusiani na hizo porojo za kikabila, ambazo unajaribu kueneza. Alafu ukute hata hiyo kadi ya kupigia kura huna.
Ni ukweli mimi sina kadi ya kupigia kura,... lakini nikiwa na kitambulisho pekee nitapiga kura ama sitapiga?
 
Ni ukweli mimi sina kadi ya kupigia kura,... lakini nikiwa na kitambulisho pekee nitapiga kura ama sitapiga?
Utajua mwenyewe, ila koma kabisa kuendeleza porojo za kikabila. Huo upuuzi hauna nafasi kwenye dunia ya sasa.
 
Calm Karua anahimiza siasa za kingwana. Back to issue based politics.
 
Utakuwa Mkikuyu wewe😂
 
Kwasababu nangoja kusikiza hoja kutoka pande zote ili niweze kufanya maamuzi yangu kwa busara? Ila ni kweli kwamba mimi ni mkikuyu.
Achana na genge la ruto kapigisha shoti uchumi afu akatoka nje kumfanya uhuru aonekane mbaya


Chagua tikiti ya watu wa kuaminika

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Achana na genge la ruto kapigisha shoti uchumi afu akatoka nje kumfanya uhuru aonekane mbaya


Chagua tikiti ya watu wa kuaminika

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Options haziishi kwao hao wanasiasa wawili, wala kambi zao. Kunao wengine wengi ambao wanafaa zaidi. Ingekuwa ninazo nguvu za kuwazuia wagombee nafasi hiyo, sasa hivi wote wangekuwa kwao mashinani wakicheza checkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…