Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
View attachment 103689
Hizo hapo jamaa amezishusha toka UK, kama unazitaka sema nikupe namba useme naye mweeenyewe!..CHONDE CHONDE MITAANI HUKO!
cc: UGOKO MKAVU OLESAIDIMU dhk1 TCleverly ligolyser Steven Robert Masatu
Huyu bwana atakuwa amekutana na Subaru body injini ya Noah.Hahahahaa, acha masihara mkuu...hiyo haikuwa league, nadhani hyo forester alikuwa anaendesha mtoto!
I have it mkuu, WRX STi ya 2008
Kuna kitu umesahau engine pulling mkuu na gear shifting hizo ndo zindetermine speed ya gari. Na sio km/hr pekee.
kumbe ndio maana unatetea sana.....haya kaka wewe na mwenzako CYBERTEQ tafadhali msigeuze mitaa yetu race track....tunawaona mitaa na subaru zenu oohoooooo.....
Huyu analinganisha timu ya ligi daraja la kwanza na timu iliyoko Premier League.Ulinganifu wa namna hii sijawahi kuusikia kabisa!...these cars are on different leagues!
Kama unapenda magari bila kuwa na subaru hujakamilika. Juzi tuu nimeingiza IMPREZA SPORTS WAGON ya 2005 model ni GG3 AWD. CC 1490 but uliza mwendo wake? Hii ni beat ya Carina,Corona, GX series, HARRIER, ALTEZZA etc, Ila mie sio mpenz wa Toyota Cars ndo maana unaona nayajua haya mengine vizuri hasa HONDA na SUBARU.
Kwa hapa DAR hakuna sehemu utayoendesha WRX kwa raha foleni kila kona alafu hatuna special roads.
kweli "sijakamilika" coz sina subaru......but i've got a beast which can make rings around your subaru.......
Hapa nikianzisha JF SAFARI RALLY itapata wanachama. Ngoja niombe baraka za Invisibles
Ole wao, nimeshaliandikisha BASATA kama wanaijua faini ya PIRACY wajaribu.Hii itakuwa funiko bovu mkuu. Ushauza idea, pale mjengoni mawingu studio wataanzisha kwa kutumia hilo wazo lako.
Nakubaliana na ww mkuu alteza bado xana!! maana Ata fielder inafukuzia...
Hahhahahhahah, mkuu labda tutafute trip siku moja kaka ya kwenda Dodoma tuu. Sema hawa traffic wa barabarani watatugeuza chakula chao. Mkuu kumbuka tena gari nalo ili likimbie inategemea na dereva ni mtundu vp.
Huwa naamini gari itayoweza ku beat ni GT 500 SHELBY series yoyote. OR NISSAN GTR ya 2010.
Nipe jina la kitu chako coz kila mjanja ana mjanja mwenzie.
Huyu analinganisha timu ya ligi daraja la kwanza na timu iliyoko Premier League.
kitu kimoja unasahau au hujui,SUBARU IMPREZA ni nzuri kwenye bend,twist and turns[na ndio rally zinapofanyika]....sio kwenye straight line,na njia ya dodoma imenyooka utanitangulia 200m tu then nitakupita kama umesimama.....hio SUBARU yako ni 180km/hr,unajua maana yake???IT IS ELECTRONICALLY LIMITED TO 180KPH[113MPH].....mimi nina gari EUROPEAN MAKE 2500CC GT SPORT COUPE inakwenda 260KPH[160MPH] utatangulia ila nitakupita tu baada ya umbali mfupi sana......

Dodoma kote kutafuta nini, kama mko serious tutafute barabara ambayo haina magari mmalize ubishi, hata km5 tu zinatosha. Wanaume huwa hawabishani kwa maneno, VITENDO.
Mkuu ni uelewa wa vyombo vya moto tu na wala sio kwamba namiliki Subaru, mkitaka nishiriki mbio zenu anzisheni mbio za Toyota Harrier nitajiandikisha.usisahau kuna timu za premier zinachapwa na timu za championship.......halafu wewe lazima una SUBARU.....