Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.Sasa kwa nini mkielezwa mjomba wenu kafa mnang'aka utadhani mmedungwa sindano jichoni?😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.Sasa kwa nini mkielezwa mjomba wenu kafa mnang'aka utadhani mmedungwa sindano jichoni?😂😂😂😂
Kero ikiondoka machoni pako nani atanuna?Mnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.
Kama hoja yao ingekuwa ni serikali ileile wala nisingeanzisha huu uzi kuwahoji, hoja ya kuwa utawala uliopita ulikuwa perfect na huu qa sasa umejaa wahuni ndio nataka tujadiliKwani kuna tofauti gani Kati ya serikali ya Magu na huyu unayempenda? Serikali ile ile, chama kile kile (system). kama ni uhuni wa CCM basi ulianza zamani, kuna waziri mkuu aligongwa na gari akafa na kuzikwa haraka haraka wala uchunguzi haukufanyika. Kesi ya muuaji ilichukua vikao viwili tu, mfungwa alipelekwa London, baadaye karudi South Africa. Kuna uhuni zaidi ya huu?
Sasa kama sio adhabu kwa nini walitaka kumuua Lissu na wafuasi qa wa jiwe kushangailia? Si wangeacha wakati wake ufike? Acha kifo cha Magufuli kishangiliwe piaMnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.
Wanaonzisha hizi ligi nyie wafuasi qa jiwe, mnaobaki kumsifia jiwe kila siku utafikiri 2025 atafufuka agombeeHii tabia ya kuendelea kulinganisha mabaya wa serikali iliyopita unawadumaza wengi akili zenu na inapelekea hamuwezi kuona ubaya wa serikali iliyopo sasa, ndio maana mnajikuta mnageuka kunguni bila kujitambua.
Nafasi za bahati, yoyote hawezi jiamini, ilikua bahati KWa mwendazake vilevile imekua bahati tu KWa aliemfuatia, ya mwenzake yalisikitisha Sana na ya Sasa yanasikitisha Sana, hakuna jipyaWafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Zote zimejaa wahuniWafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Kama tunataka tujadili ubaya wa serikali hii, basi tujadili bila kusafisha serikali iliyopita na kuanza kusema Samia anatakiwa kuongoza kama Magufuli,Ubaya ni ubaya tu, na wote hautakiwi kufanyiwa mwanadamu, haijalishi uwe wa large scale au small scale.
Hii tabia yenu ya kuendelea kulinganisha ubaya wa serikali iliyopita na hii ya sasa unawadumaza wengi kiakili, hamuoni ubaya wa serikali iliyopo madarakani, na ndio maana mnajikuta mnageuka kuwa chawa bila kujitambua.
Pia mnaidumaza serikali iliyopo madarakani iendelee kujiona ni ya malaika wakati nayo imejaa mabaya yake, uvunjifu wa sheria wa wazi inayoukumbatia kwenu mnaona ni jambo la kawaida, na kwa ujinga wenu mnachangia kuiendeleza hiyo tabia.
Taja uhuni wa Samia tulinganishe na uhuni wa Magufuli, ni nani aliupiga mwingi zaidi?Nafasi za bahati, yoyote hawezi jiamini, ilikua bahati KWa mwendazake vilevile imekua bahati tu KWa aliemfuatia, ya mwenzake yalisikitisha Sana na ya Sasa yanasikitisha Sana, hakuna jipya
Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Samia sio malaika, na zaidi alikuwa sehemu ya utawala wa Magufuli, kama hakuridhika kwa namna mambo yalivyokwenda wakati ule alitakiwa ku step down, lakini sio kuendelea kuwa Makamu wa Rais.Kama tunataka tujadili ubaya wa serikali hii, basi tujadili bila kusafisha serikali iliyopita na kuanza kusema Samia anatakiwa kuongoza kama Magufuli,
Kama tutaaminishwa kuwa Magufuli alikuwa kiongozi bora na anayefaa kuigwa basi huko mbeleni atatokea Magufuli mwingine
Lazima tujadili na tujifunze history ama tutarudia tena makosa huko mbeleni
Ngosha ndio aliharibu zaid kwenye utawala wake,Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa kuanzia tu, Kipindi cha Magufuli ndio mbunge alipigwa risasi katika viwanja vya Bunge na watu waliompiga kung'oa CCTV Camera zilizorekodi tukio
Kipindi cha Magufuli ndio watu walitekwa kwa wingi zaidi kama akina Kinguye, Ben Saanane, azory Gwanda, Mdude Chadema, Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Abdul Nondo n.k
Kipindi cha Magufuli ndio mkuu wa mkoa huku akirekodiwa na Camera alivamia kituo cha Tv kuamrisha habari yake isomwe na wala hakuchukuliwa hatua yoyote
Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k
Achilia mbali uhuni wa kuengua asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kwenye uchaguzi Serikali za mitaa kwa kigezo kuwa hawajui kusoma wala kuandika
Achilia mbali kulazimisha na kuhonga wapinzani kujiuzulu ubunge na udiwani kisha kugombea tena jimbo hilo hilo ili Magufuli aonekane anapendwa
Ndio kipindi tumedanganywa miradi mikubwa tunajenga kwa fedha za ndani
Achilia mbali kauli za kihuni za Magufuli kama 'Baki na mavi yako nyumbani', 'Mnataka mpanuliwe wapi', na kusifia wake za watu hadharani
Huu ni uhuni mdogo sana kati ya uhuni mwingi aliokuwa akifanya Magufuli
Haya sasa niambieni matukio ya kihuni kwenye serikali ya Samia tulinganishe
Kwani mimi nimesema ni malaika?Samia sio malaika, na zaidi alikuwa sehemu ya utawala wa Magufuli, kama hakuridhika kwa namna mambo yalivyokwenda wakati ule alitakiwa ku step down, lakini sio kuendelea kuwa Makamu wa Rais.
Andiko langu liko wazi mkuu, kiroho ya Sasa KWa usiri mkubwa WENDA ni mabaya Sana kuliko yaliyokuwa wazi enzi zile ,hakuna jipya, Cha msingi ombea Taifa lako Wala sio walioko pale, mpaka Sasa majerui Ngorongoro wangapi,? Hali ya mfumko wa bei na maisha yameisha sababisha madhara mangapi KWa tz, tunahitaji neema ya Bwana kuliko, KWa SasaTaja uhuni wa Samia tulinganishe na uhuni wa Magufuli, ni nani aliupiga mwingi zaidi?
Taja uhuni acha blah blah, kama ni siri na wewe unajua hizo siri si ndio sehemu ya kuzitoa hapa?Andiko langu liko wazi mkuu, kiroho ya Sasa KWa usiri mkubwa WENDA ni mabaya Sana kuliko yaliyokuwa wazi enzi zile ,hakuna jipya, Cha msingi ombea Taifa lako Wala sio walioko pale, mpaka Sasa majerui Ngorongoro wangapi,? Hali ya mfumko wa bei na maisha yameisha sababisha madhara mangapi KWa tz, tunahitaji neema ya Bwana kuliko, KWa Sasa
Umeshindaa ,Taja uhuni acha blah blah, kama ni siri na wewe unajua hizo siri si ndio sehemu ya kuzitoa hapa?
Samia kumuweka ndani mwanasiasa mkubwa wa upinzani kwa tuhuma za ugaidi.Taja uhuni acha blah blah,
kama ni siri na wewe unajua hizo siri si ndio sehemu ya
kuzitoa hapa?
Kwahiyo unataka kusemaje? Tumsifie huyo mbwa wenu?Funzo kwa nani ?... wengine waliokuwa watendaji wa utawala wa Magufuli bado ni watendaji wa utawala wa Sasa.