Kati ya uMagufuli na Samia ni upi umejaa wahuni zaidi? Tuorodheshe matukio ya kihuni

Kama hoja yao ingekuwa ni serikali ileile wala nisingeanzisha huu uzi kuwahoji, hoja ya kuwa utawala uliopita ulikuwa perfect na huu qa sasa umejaa wahuni ndio nataka tujadili
 
Hii tabia ya kuendelea kulinganisha mabaya wa serikali iliyopita unawadumaza wengi akili zenu na inapelekea hamuwezi kuona ubaya wa serikali iliyopo sasa, ndio maana mnajikuta mnageuka kunguni bila kujitambua.
 
Kila mtu na maono yake katka uongozi.. Msichambue mchele gzani
 
Mnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.
Sasa kama sio adhabu kwa nini walitaka kumuua Lissu na wafuasi qa wa jiwe kushangailia? Si wangeacha wakati wake ufike? Acha kifo cha Magufuli kishangiliwe pia
 
Hii tabia ya kuendelea kulinganisha mabaya wa serikali iliyopita unawadumaza wengi akili zenu na inapelekea hamuwezi kuona ubaya wa serikali iliyopo sasa, ndio maana mnajikuta mnageuka kunguni bila kujitambua.
Wanaonzisha hizi ligi nyie wafuasi qa jiwe, mnaobaki kumsifia jiwe kila siku utafikiri 2025 atafufuka agombee

mimi nimeanzisha huu uzi ili mje muweke facts kuwa uongozi wa jiwe haukuwa na wahuni kama wa sasa hivi, ila bado mnalialia
 
Nafasi za bahati, yoyote hawezi jiamini, ilikua bahati KWa mwendazake vilevile imekua bahati tu KWa aliemfuatia, ya mwenzake yalisikitisha Sana na ya Sasa yanasikitisha Sana, hakuna jipya
 
Zote zimejaa wahuni
 
Kama tunataka tujadili ubaya wa serikali hii, basi tujadili bila kusafisha serikali iliyopita na kuanza kusema Samia anatakiwa kuongoza kama Magufuli,
Kama tutaaminishwa kuwa Magufuli alikuwa kiongozi bora na anayefaa kuigwa basi huko mbeleni atatokea Magufuli mwingine
Lazima tujadili na tujifunze history ama tutarudia tena makosa huko mbeleni
 
Nafasi za bahati, yoyote hawezi jiamini, ilikua bahati KWa mwendazake vilevile imekua bahati tu KWa aliemfuatia, ya mwenzake yalisikitisha Sana na ya Sasa yanasikitisha Sana, hakuna jipya
Taja uhuni wa Samia tulinganishe na uhuni wa Magufuli, ni nani aliupiga mwingi zaidi?
 
Aliewaroga Nyie mazwazwa waTanzania alijua kuwakomesha, kwa iyo unahalalisha ujinga unaofanywa na awamu ya 6 kwa kisingizio cha kulinganisha Na ufedhuli uliopita ndio unaona ubora wa uongozi! Tuache utaahira kosa likemewe kwa kizazi na ustawi wa Taifa letu kwa miaka ya mbele, nchii ipo hata baada ya SSH kuondoka, je wanao na wajukuu wako hushawahi kuwawazia maisha yao ya baadae? Acha upunguani kila wakati kumuwaza aliepo, mavi ya kale hayana harufu tena, tutafte tiba ya uhuni wa nyie maCCM Na walamba asali wa Chadomo Na wanafiki wa Zitto
 
Samia sio malaika, na zaidi alikuwa sehemu ya utawala wa Magufuli, kama hakuridhika kwa namna mambo yalivyokwenda wakati ule alitakiwa ku step down, lakini sio kuendelea kuwa Makamu wa Rais.
 
Ngosha ndio aliharibu zaid kwenye utawala wake,

Samia anaongoza nchi kisomi na kidemocrasia
 
Samia sio malaika, na zaidi alikuwa sehemu ya utawala wa Magufuli, kama hakuridhika kwa namna mambo yalivyokwenda wakati ule alitakiwa ku step down, lakini sio kuendelea kuwa Makamu wa Rais.
Kwani mimi nimesema ni malaika?

Ndio alikuwa makamu wa Rais, kila Rais aliyewahi kutokea nchi hii alikuwa sehemu ya serikali ya Rais aliyepita, lakini kila uongozi unakuwa na tofauti zake
 
Taja uhuni wa Samia tulinganishe na uhuni wa Magufuli, ni nani aliupiga mwingi zaidi?
Andiko langu liko wazi mkuu, kiroho ya Sasa KWa usiri mkubwa WENDA ni mabaya Sana kuliko yaliyokuwa wazi enzi zile ,hakuna jipya, Cha msingi ombea Taifa lako Wala sio walioko pale, mpaka Sasa majerui Ngorongoro wangapi,? Hali ya mfumko wa bei na maisha yameisha sababisha madhara mangapi KWa tz, tunahitaji neema ya Bwana kuliko, KWa Sasa
 
Taja uhuni acha blah blah, kama ni siri na wewe unajua hizo siri si ndio sehemu ya kuzitoa hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…