Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #101
Samia alikuwa akiwaambia Mawaziri waache rushwa na ndio maana ya kula kwa urefu wa kamba, hiyo tafsiri nyingine za kulazimisha ni kutafuta agenda tuKwamba hajasema wajipimie? Kipi ambacho nimeandika sicho alichosema?
Kujipimia ndio kuacha rushwa? Au hajasema wajipimie?Samia alikuwa akiwaambia
Mawaziri waache rushwa na ndio maana ya kula kwa urefu
wa kamba, hiyo tafsiri nyingine
za kulazimisha ni kutafuta
agenda tu
Hili jibu limekusanya majibu yote ya huu Uzi. Kama ripoti ya CAG inahitaji majibu basi waulizwe hawa hawaFunzo kwa nani ?... wengine waliokuwa watendaji wa utawala wa Magufuli bado ni watendaji wa utawala wa Sasa.
Aliwaambia mnakula kupita kiasi, mle kdg kdg kwa urefu wa kambaKujipimia ndio kuacha rushwa? Au hajasema wajipimie?
Hebu kamsikilize tena vizuri.
Mnadanganywa sana nyie watu. Mnatumia nguvu kubwa kumchafua jpm. Tuseme ushahidi ulishaandaliwa kumshitaki Mbowe, tena mbona awamu hii ikaamua kuendelea nayo hiyo kesi? Si wangeacha tu. Hampendi sana kuambiwa kwamba Mbowe alishitakiwa na Serikali hii iliyopo. Mnaona kama ni doa siyo?Mkuu ulikuwa ukifuatilia ile kesi? Kama hukuwa unafuatilia ni kuwa watuhumiwa wote na mashahidi wote walikuwa wameshaandaliwa mwaka 2020 na ushahidi wao ukimu implicate Mbowe kama mtuhumiwa mkuu
Samia ana Makosa ila Magufuli anayo pia
Mkuu umeandika vizuri ,binafsi sijawai kumtukuza mwenda zake hata siku MOJA na ukipitia maandiko yangu nilionya Sana, ila Sasa hata aliemshikia haendi sawa hata kidogo ,viatu vimekua vikubwa mno KWa taifa thanksIla ile awamu ya 5, awamu ya Jiwe, ilikuwa awamu ya uongozi wa kibaradhuli.
Uongozi unaoua wanaokosoa, ni uongozi wa kishetani, ambao hauwezi kupata nafasi ya kuoshwa kwa namna yoyote ile.
Marehemu Magufuli ataendelea kukumbukwa kwa vizazi vingi kama mtawala baradhuli, muuaji, mtesaji na ambaye hakukubali kukosolewa kutokana na uuaji, utekaji na utesaji watu. Makosa mengine yote, kama uwongo na kuharibu uchumi, kuvunja haki za uhuru wa watu, udikteta, kutapanya pesa ya umma, uporaji wa pesa za watu na kuwabambikia watu kesi, ataweza kusamehewa lakini ushetani ule wa kuua na kuteka watu, kamwe hautasahaulika. Alijipa mamlaka ya kuondoa uhai wa watu, kama vile yeye ndiye anayeugawa, hakujua kabisa, shetani alimpumbaza, hata asijue kuwa hata yeye hawezi kukikwepa kifo.
Watawala na sisi sote tulio hai leo, tuogope kutenda maovu, tuogope na tusisogelee wala kuwaza kuwaua wanadamu wenzetu. Uhai wa mtu ni mali ya Mungu, ndiye aliyetupatia, na ndiye mwenye uwezo wa kuundoa.
Fisadi gani karudishwa?Wote ni wahuni kwani Samia alikuwa makamu wa rais, baada ya kushika madaraka kawarudisha mafisadi wote na sasa wanaitafuna nchi kwa raha zao huku wananchi tukipandishiwa bei ya kila kitu. CCM wote majizi
Mleta mada katoa facts na wewe toa za serikali ya ssh acha blaa blaaUbaya ni ubaya tu, na wote hautakiwi kufanyiwa mwanadamu, haijalishi uwe wa large scale au small scale.
Hii tabia yenu ya kuendelea kulinganisha ubaya wa serikali iliyopita na hii ya sasa unawadumaza wengi kiakili, hamuoni ubaya wa serikali iliyopo madarakani, na ndio maana mnajikuta mnageuka kuwa chawa bila kujitambua.
Lakini pia mnaidumaza serikali iliyopo madarakani, iendelee kujiona ni ya malaika wakati nayo imejaa mabaya yake, uvunjifu wa sheria wa wazi inayoukumbatia kwenu mnaona ni jambo la kawaida, na kwa ujinga wenu mnachangia kuiendeleza tabia hiyo.
Hata wewe utakufa usitishie watu, swali ni hili: kwa nini mkiambiwa huyo bwana yenu alishakufa mnang'aka? Au hamkushuhudia mazishi baada ya maonyesho ya mzoga wiki nzimaMnadhani 'kufa' ni adhabu wakati hata nyie mtakipata kwa wakati wenu.
Hata nyie mlikua kunguni wa hayati na mlikua hamuambiliki, zamu yenu imepita acha machawa nao watambe mjini si ndio zenu huko chama twawalaHii tabia ya kuendelea kulinganisha mabaya wa serikali iliyopita unawadumaza wengi akili zenu na inapelekea hamuwezi kuona ubaya wa serikali iliyopo sasa, ndio maana mnajikuta mnageuka kunguni bila kujitambua.
Historia ya nchi haiwezi kuachwa ikawa bygones, sio mambo ya kifamilia haya
Samia alirithi ile kesi kama ulikua unaifatilia kesi ilifunguliwa mwezi wa 8 2020 ndipo ikaanza kutafutiwa watuhumiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samia kumuweka ndani mwanasiasa mkubwa wa upinzani kwa tuhuma za ugaidi.
Kwahiyo kama karithi kesi ndio unataka kusema nini? Mbowe kakamatwa na kuwekwa ndani katika utawala wa Samia na yeye mwenyewe Samia alipoulizwa kuhusu hiyo kesi hakusema kwamba ameikuta tu bali alionesha kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu.Samia alirithi ile kesi kama
ulikua unaifatilia kesi ilifunguliwa mwezi wa 8 2020
ndipo ikaanza kutafutiwa
watuhumiwa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika facts..ukweli ni kwamba hawawezi kukujibu zaidi ya kutukana tu.Historia ya nchi haiwezi kuachwa ikawa bygones, sio mambo ya kifamilia haya
Wewe ni mpumbavu usiyejielewa, sikuisifia CCM wala Samia hapaHivi unaifahamu maana ya "collective responsibility" hasa pale ilipotumika ili kulinda maslahi ya CCM?
alisema wanaokuja Dar wahakikishe wameoga.Kipindi cha Magufuli ndio tulisikia mkuu wa mkoa akipiga watu marufuku kuja kwenye 'mkoa wake'
umemsahau na yule mwana habari huru na kile kipeperushi chake kwamba " Shoga awagombanisha viongozi waandamizi.Kipindi cha Magufuli ndio mtu kama Sabaya alitamba sana, na kuna matukio kibao kama ya ubakaji, uporaji, kubambikizia kesi n.k