Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Sasa hao wanazuoni walikuwepo zamani JF inaingiaje hapo?
Ninacho shangaa mimi hao mashekh na wanazuoni waliopo sasa na mitume feki na manabii feki wamejificha nyuma ya kuta wanadanganya watu wapumbavu awaji kujibu maswali hapa jf...hapa jf wamewaacheni nyinyi misukule yao mjibu hoja msizo ziweza....
 
Quran imeandikwa kwa mikono yao watu,je imechakachuliwa? Baada ya edition ya kwanza ya mwaka 1924 kule Misri ilibidi wa print improved edition ya mwaka 1936,je waliongeza au kupunguza maneno ya Allah?

Kama kuna Hafs Quran ya mwaka 1936 je ile ya mwaka 1924 ni dhaifu? Haina ukamilifu? Sio hivyo tu Quran 3:78 inasema kuna kundi miongoni mwao,je ni kundi lipi?
 
Jamaa wamefungwa akili zao ,binafsi nilipokuwa muislamu nilikuwa mbishi hata kwenye ukweli

Nikaja nikasema nitabishana na ukweli mpaka lini?

Nilipenda sana kuchokonoa vitabu ,ufadisi ulinifanya nikutane na uongo mwingi sana wa Quran
Mkuu yaani nilikuwa ninakustaajabia sana unavyopiga NONDO za uhakika kuhusu hii nijadala yetu dhidi ya Waislamu; sasa ndiyo ninajua kwanini unafit sana kwenye hii EQUATION:
Ex-Muslim + Christian + Knowledge of Quran = Nightmare to Islam ☪️

Ex-muslims popote pale Duniani Waislamu wanawaogopa sana na ndiyo maana huishikilia sana sheria yao ya kuua Ex muslims
 
Hakuna sehemu Quran inasema torati na injili imechakachuliwa,sio hivyo hata Allah anatoa amri kwa wakristo na wayahudi kuhukumu kwa kutumia vitabu vyao. Wale ambao hawatumii vitabu vyao basi ni wakosaji wakubwa sana.

Quran 5:47
"Na waamue watu wa Injili kwa yale ambayo Mwenyezi Mungu ameteremsha ndani yake. Na yeyote asiyeamua kwa yale ambayo Mwenyezi Mungu ameteremsha, basi hao ndio wafasiqūn (wasiotii, wakosaji, wenye kuasi)."

Allah atakua ana shida sana kama anatoa amri kwa wakristo watumie injili iliyo chakachuliwa.
 
Ninacho shangaa mimi hao mashekh na wanazuoni waliopo sasa na mitume feki na manabii feki wamejificha nyuma ya kuta wanadanganya watu wapumbavu awaji kujibu maswali hapa jf...hapa jf wamewaacheni nyinyi misukule yao mjibu hoja msizo ziweza....
Wewe hufahamu kitu muulize hamis77 akuambia jinsi Biblia inavyofanya makosa kwa kumuita mtawala wa kipindi cha Nabii Yusufu kama farao wakati kipindi hicho hakukuwa na cheo cha ufarao yeye mwenyewe alikiri🤣🤣🤣
 
💥MUNGU ALLAH NA MTUME WAKE WANADAI DUNIA NI TAMBARARE.
💥MUNGU ALLAH NA MTUME WAKE WANADAI JUA UZAMA KWENYE TOPE ZITO ...
Qur’an haisemi ardhi ni tambarare ila inasema imetandazwa na kuenezwa

Qur’an haisemi jua linazama kwenye tope ila inasimulia kisa ch Dhul Qarnayn ambaye yeye kwa macho na yake na uono wake ndio aliona kama jua linazama kwenye tope jeusi
 
Hapo walikuwa wanazungumziwa watu wa kitabu
 
Huyo hamis77 mwambie akisimulie jinsi Qur’an ilivyokuwa makini na haikurupuki kwa mfano haikumuita mtawala wa kipindi cha Yusuf kwa jina la farao kwa kuwa kipindi hicho hakukuwa na cheo cha farao lakini pia akuambie jinsi Biblia ilivyopoteza umakini kwa kumuita mtawala huyo kama farao wakati hakuwa farao
 
Ikishachakachuliwa inakuwa sio Injili tena na Yeye kasema watumie Injili
 
Kwa hiyo alivyoona jua linazama topeni Qur’an haikukanusha ? Hadi yakaandikwa hayo ndani ya Qur’an
 
Quran 2:79 pia ni verse kwa ajili ya watu wa kipindi cha Mohamed. Tatizo la waislamu na kwamba verse zinazo zika mapoke yenu ambayo ni kinyume na Quran mnazi imbia na kuzikana.

Quran inasema explicitly kwamba wakristo wahukumu kwa kutumia vitabu vyao, mnasema hiyo na kwa ajili ya zama za mtume 😊😂.

Quran inasema kuna kuna watu wanabadili maandiko kwa mikono yao,hiyo ni injlli na torati!! Utadhani Quran haziandikwi kwa mikono vile!!!
 
Kwa hiyo alivyoona jua linazama topeni Qur’an haikukanusha ? Hadi yakaandikwa hayo ndani ya Qur’an
Hapo ilikuwa inasimulia story ya Dhul Qarnayn na jinsi alivyoona sasa kukanusha kwa nini
 
Nimekwambia kingine umejibu kingine🤣🤣🤣

Qur’an imesema wakristo wahukumu kwa maandiko yao ambayo ni Qur’an
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…