Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Sio lazima kusema nimeruhusu.
Ila kwa kujua na kutamka na kukaa kimya ina maana allah amekubali kifanyike.

Na ni sawa sawa na kuruhusu.

Hebu uliza vizur hilo robot lako.
Na pia sio kila swal unapeleka chatgpt. Jibu kwa ufaham tu wa kawaida.
Kwani nimesema umeruhusu ??
Husomi unakuja na hoja ya chartgtp na maswali hayo kwa hayo

Hivi hujasoma hapa

Surah An-Nahl (16) ni Makki
➡ Iliteremka kabla ya sheria za haramu/halali kukamilishwa

Sasa nijibu wewe yale maswali yangu niliyokuuliza

Yesu alikuwa na dini gani ?? Lini alifundisha ukristo ??

Nakuruhusu kutumia hata chart ya kanisa lako na popote unapopajuwa wewe
 
Umeng'ang'ana na visa visa, utadhani uko kwenye kilinge cha madada wakuchambana

Astagafurirrah sheikh.
Mbona una jazba sana.

Yesu eti atoke Israel halafu wazungu wa vatikani ndio wamuabudu na kuandika bibilia, n

Biblia imeandikwa na wayahudi . Na sio wa Vatikan.

Torati iliyokuja miaka 1500 kabla ya bibilia ya kuchakachuliwa,

Tunajadiliana kwa hoja bro.

Sawa hata Quran haijashushwa wala mtume hajaandika. Na amekufa ameacha vipande vipande vilivyokusanywa kwa miaka 20 ili iwe quran.
Una uhakika.gan walikusanya vipande vyote?.
Una uhakika gan haijaongezwa au kupunguzwa?.

Aliyeihadithia quran amekufa bila kuona kitabu alichosema kimeshushwa chote ndan ya siku moja . Kwenye mbingu ya kwanza usiku wa mwez wa ramadhan lakin ikachukua miaka 23 jibril amshushie kidogo kidogo.

Mohamed hakuona quran.
 
Astagafurirrah sheikh.
Mbona una jazba sana.

Biblia imeandikwa na wayahudi . Na sio wa Vatikan.

Tunajadiliana kwa hoja bro.

Sawa hata Quran haijashushwa wala mtume hajaandika. Na amekufa ameacha vipande vipande vilivyokusanywa kwa miaka 20 ili iwe quran.
Una uhakika.gan walikusanya vipande vyote?.
Una uhakika gan haijaongezwa au kupunguzwa?.

Aliyeihadithia quran amekufa bila kuona kitabu alichosema kimeshushwa chote ndan ya siku moja . Kwenye mbingu ya kwanza usiku wa mwez wa ramadhan lakin ikachukua miaka 23 jibril amshushie kidogo kidogo.

Mohamed hakuona quran.

JIBU HAYA MASWALI PLEASE

Yesu alikuwa na dini gani ?? Lini alifundisha ukristo ??

Nakuruhusu kutumia hata chart ya kanisa lako na popote unapopajuwa wewe
 
JIBU HAYA MASWALI PLEASE

Yesu alikuwa na dini gani ?? Lini alifundisha ukristo ??

Nakuruhusu kutumia hata chart ya kanisa lako na popote unapopajuwa wewe

Situmii chat gpt.

1. Yesu alikuwa Myahudi kwa kabila na Dini.

2. Yesu aliwaamuru wanafunz wake waenende mataifa yote wakafanye watu wawe wa kwake na kuwabatiza kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu.

Hii haikuwepo kwa Dini ya uyahudi.👆👆👆.

Kwakuwa lazima tupitie kwake. Na kushika mafundisho yake. Tunakuwa wa kwake. Yaan watu wa kristo. (Wakristo).
 
Lete ushahidi huko uliko kopiawaambie wakupe ushahidi
 
Astagafurirrah sheikh.
Mbona una jazba sana.

Biblia imeandikwa na wayahudi . Na sio wa Vatikan.

Tunajadiliana kwa hoja bro.

Sawa hata Quran haijashushwa wala mtume hajaandika. Na amekufa ameacha vipande vipande vilivyokusanywa kwa miaka 20 ili iwe quran.
Una uhakika.gan walikusanya vipande vyote?.
Una uhakika gan haijaongezwa au kupunguzwa?.

Aliyeihadithia quran amekufa bila kuona kitabu alichosema kimeshushwa chote ndan ya siku moja . Kwenye mbingu ya kwanza usiku wa mwez wa ramadhan lakin ikachukua miaka 23 jibril amshushie kidogo kidogo.

Mohamed hakuona quran.

Umeandika : Biblia imeandikwa na wayahudi . Na sio wa Vatikan.

Angalia hii documentary ya BBC ??

View: https://www.youtube.com/watch?v=OnNBLLcN-fY
 
Hivi aliambiwa na allah mpangilio gan aweke?.

Quran imepangwa na Binadam. Uthman na sio allah.
Yeye kwa utash wake na maswahaba wengne walitumia miaka 20 kuandaa quran.

Unaaminije kuwa hakuna aya zilizoongezwa au kupunguzwa wakat aliyeshushiwa wahyi hakukipitia kitabu kizima baada ya kukamilika?.

Kwa mantiki hii Mm nina amini kabisa kuwa Quran imebadilishwa.
Ila ushahidi sina .
Kama ambavyo na nyinyi hamna ushahid wa nn kilibadilishwa kwenye torat na Zaburi.
Kobaz wana hoja za kuchekesha sana na zisizo na mashiko kuhusu kitabu chao, ila zote ni porojo na circular reasoning tu.
 
Kobaz wana hoja za kuchekesha sana na zisizo na mashiko kuhusu kitabu chao, ila zote ni porojo na circular reasoning tu.

Lete hoja kutoka kitabu chako Yesu alikuwa na dini gani , Jee alifundisha ukristo ?? lete na ushahidi please , mwenzako katokomea zake na wapi aliwaambia watu wawe wakristo ??
 
Hiyo aya umeielewa vipi?

وَلَقَدْ كُذِّبَتْ رُسُلٌۭ مِّن قَبْلِكَ فَصَبَرُوا۟ عَلَىٰ مَا كُذِّبُوا۟ وَأُوذُوا۟ حَتَّىٰٓ أَتَىٰهُمْ نَصْرُنَا ۚ وَلَا مُبَدِّلَ لِكَلِمَـٰتِ ٱللَّهِ ۚ وَلَقَدْ جَآءَكَ مِن نَّبَإِى۟ ٱلْمُرْسَلِينَ
Na hakika walikanushwa Mitume wa kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa, na kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu. Na hapana wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu. Na bila ya shaka zimekujia baadhi ya khabari za Mitume hao.
Kumbe hata mada hujasoma tunazungumzia nini, hebu tuliza akili kwanza baadae njoo tuendelee
 
Waislamu mnasema Manabii wote walikuwa Waislamu:
Na Mungu wenu Allah aliwapa vitabu Waislamu Musa, Daudi na Isa na wakawakabidhi waumini wao Waislamu:

Hii inamaanisha nyie Waislamu ndio mlioharibu na kupoteza vitabu alivyowapatia Mungu wenu Allah:
Sasa mnamlaumu nani ?
 
Waislamu mumevipeleka wapi vitabu vya Manabii wenu Waislamu akina Musa, Daudi na Isa ?
Na ni kwanini mumevitia mikono ?
Naomba jibu tafadharini
 
Vipi zile sura zilizoliwa na Mbuzi?
Sura za kupiga mawe wazinzi na kunyonyesha watu wazima ?
Ni kwanini mmeyaficha maneno ya Mzimu wa Kiarabu Allah ?
 
The Satanic Verses:
Biblia ya Kiarabu – Rafiki au Adui wa Uislamu?

Sam Shamoun

Asili ya kipagani ya mungu wa Kiislamu
Sio siri kwa wale waliosoma historia na asili ya Uislamu kwamba Muhammad alizaliwa kwa kabila la kipagani lililoabudu miungu mingi ya kike na kiume, mkuu wao akiwa Allah. Kwa mfano, fasihi ya hadithi inasema kwamba wapagani walikuwa na sanamu 360 zilizowekwa kuzunguka Kaba ambazo Muhammad aliziharibu baadaye alipoiteka Makka:

Abdullah alisimulia:
Mtume alipoingia Makka siku ya Ushindi, kulikuwa na sanamu 360 kuzunguka Ka'ba. Mtume alianza kuzipiga kwa fimbo aliyokuwa nayo mkononi mwake na alikuwa akisema, "Ukweli umekuja na Uongo hautaanza wala hautatokea tena." (Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha 59, Nambari 583)

Kabila la kipagani la Muhammad liliamini zaidi kwamba mungu wao Allah alikuwa na angalau binti watatu ambao walimwabudu kama miungu ya kike. Majina ya binti za Allah yalikuwa Allat, al-Uzza na Manat.
Zaidi ya hayo, kulingana na vyanzo vya Kiislamu, jina la baba yake Muhammad lilikuwa Abdullah, ambalo linamaanisha "mtumwa wa Allah." Hata hivyo, licha ya jina lake kuwa "mtumwa wa Allah," baba yake Muhammad bado alienda kuzimu kulingana na Muhammad kwa kuwa alikuwa mpagani:

The Arabic Bible – Islam’s Friend or Foe?

Sam Shamoun

The pagan origins of the Islamic god

It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:

Narrated Abdullah:

When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)

Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.

Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
 
Mnataka tuwe waislamu ili tupate faida gani ?
Au ili tuuabudu mzimu unaosikia Lugha ya Kiarabu tu:
Na kulisujudia Jiwe Jeusi la huko Maka (Al-Aswadi)
Kwani nyie hamtoshi kuuabudu ?
 
Watu wanamfuata mtu kichaa aliyeoa Binti wa miaka 6
Huku yeye akiwa babu wa miaka 56:
Bora japo angekuwa na miaka 11
Kifupi alikuwa anasikia maneno toka kwa 👹👺
By Salman Rushdie
 
Back
Top Bottom