Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kasome Qur’an 6:151–153.
Alaf uone mtiririko wake.
Kabla ya kwenda kusoma je wameziita amri kumi?
Yaani wameandika kuwa hizi ni amri kumi?

Kuhusu hizo amri kufanana ni jambo la kawaida kwa kuwa ni amri za Allah
 
Mmesema Quran haiwez kuchakachuliwa. Na pia Totar Injili na Zabur imechakachuliwa.

Na hivi vyote ni vitabu vya allah.

Allah ameruhusu vitabu vya mwanzo kuchezewa.
Ila hamna ushahidi.

Mtume hakukusanya Quran akiwa hai. Aliiacha ikiwa vipande vipande na maswahaba ndio wakikusanya na kupanga aya.

Wakat uthman anapeleka quran sehem mbali mbali tayar kulikuwa na nakala za quran.
Na akaziondoa.
Kwanini aziondoe?
Wakat ni kitu kile kile kwa lugha ile ile ya allah kiarabu.
Uthman aliondoa nakala za Qur'an ambazo zina maelezo pembeni,zina tafsiri,zina mpangilio tofauti wa sura na zenye lahaja tofauti kwa kuhofia kuwa watu wangezichukulia kama ni rasmi

Pia ili kuzuia mgawanyo
 
Mi nazungumzia Aya ya Quran 6:34, nataka jibu litoke hapo Kisha tunakuja kwenye Biblia au unasemaje
Hiyo aya umeielewa vipi?

وَلَقَدْ كُذِّبَتْ رُسُلٌۭ مِّن قَبْلِكَ فَصَبَرُوا۟ عَلَىٰ مَا كُذِّبُوا۟ وَأُوذُوا۟ حَتَّىٰٓ أَتَىٰهُمْ نَصْرُنَا ۚ وَلَا مُبَدِّلَ لِكَلِمَـٰتِ ٱللَّهِ ۚ وَلَقَدْ جَآءَكَ مِن نَّبَإِى۟ ٱلْمُرْسَلِينَ
Na hakika walikanushwa Mitume wa kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa, na kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu. Na hapana wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu. Na bila ya shaka zimekujia baadhi ya khabari za Mitume hao.
 
Uthman aliondoa nakala za Qur'an ambazo zina maelezo pembeni,zina tafsiri,zina mpangilio tofauti wa sura na zenye lahaja tofauti kwa kuhofia kuwa watu wangezichukulia kama ni rasmi

Pia ili kuzuia mgawanyo

Hivi aliambiwa na allah mpangilio gan aweke?.

Quran imepangwa na Binadam. Uthman na sio allah.
Yeye kwa utash wake na maswahaba wengne walitumia miaka 20 kuandaa quran.

Unaaminije kuwa hakuna aya zilizoongezwa au kupunguzwa wakat aliyeshushiwa wahyi hakukipitia kitabu kizima baada ya kukamilika?.

Kwa mantiki hii Mm nina amini kabisa kuwa Quran imebadilishwa.
Ila ushahidi sina .
Kama ambavyo na nyinyi hamna ushahid wa nn kilibadilishwa kwenye torat na Zaburi.
 
Anakosea wapi ??? wapi alipokosea ?? Mbona unalazimisha unalolitaka tu bila ushahidi ??

Kuna aya za kuruhusu Pombe na baadae kukataza.

Ina maana allah alikosea mwanzon.

Ila anyway Mbunguni kuna mvinjo.
 
Hivi aliambiwa na allah mpangilio gan aweke?.

Quran imepangwa na Binadam. Uthman na sio allah.
Yeye kwa utash wake na maswahaba wengne walitumia miaka 20 kuandaa quran.

Unaaminije kuwa hakuna aya zilizoongezwa au kupunguzwa wakat aliyeshushiwa wahyi hakukipitia kitabu kizima baada ya kukamilika?.

Kwa mantiki hii Mm nina amini kabisa kuwa Quran imebadilishwa.
Ila ushahidi sina .
Kama ambavyo na nyinyi hamna ushahid wa nn kilibadilishwa kwenye torat na Zaburi.
Mpangilio wa Qur'an ulikuwepo tangu enzi za Mtume na ndio maana kuna hadithi ambazo zinaonyesha Mtume alikuwa anasoma Qur'an katika Mpangilio wa sura kama tunaouona sasa

Na pia ndiye Mtume alikuwa anawaambia Maswahaba kuwa aya hii iweke kwenye sura fulani
 
Kama unaona ni maelezo ya Chartgtp , unashindwa nini kuiuliza hadi uje kwetu ??
Mpangilio wa Qur'an ulikuwepo tangu enzi za Mtume na ndio maana kuna hadithi ambazo zinaonyesha Mtume alikuwa anasoma Qur'an katika Mpangilio wa sura kama tunaouona sasa

Na pia ndiye Mtume alikuwa anawaambia Maswahaba kuwa aya hii iweke kwenye sura fulani

Quran ilikamilika baada ya wahyi wa miaka 23.
Mtume alikuwa anasomea maswahaba quran ikiwa vipande vipande.
Alisomea mpaka majini yakawa maislam.

Sina shaka na hilo.

Ni wap kwenye Quran imeandikwa mtume amesema aya hii iwe ya kwanza na hii iwe ya mwisho.

Kwanini ilichukua miaka 20 tena zaid kuikusanya na kuiweka sawa kama mtume alikuwa ashawaambia wawekeje?.

Uthman kwa utash wake ndio kapanga aya za quran.
Je? Unamuaminije wakat alipoikamilisha mtume aliyeshushiwa wahyi alikuwa ameshakufa?.

Quran kuandika kuwa haina shaka wala kuchakachuliwa isiww ushahidi wa kuamini moja kwa moja.
Ni kama jambazi ajihukumu mwenyewe. Lazim atajipendelea.

Kuna hadith pia mbuzi alikuwa baadh ya aya za quran na pia kuna aya za quran zilichomwa. Hii ni kabla ya kukusanywa na kuwa kitabu kimoja.
 
Hadithi zipo zinazoonyesha kuwa mpangilio huo ulikuwepo wakati wa Mtume pia na maelezo ya wanazuoni

Wewe umefahamu vipi kuwa Uthman alipanga kwa utashi wake?
 
Hadithi zipo zinazoonyesha kuwa mpangilio huo ulikuwepo wakati wa Mtume pia na maelezo ya wanazuoni

Wewe umefahamu vipi kuwa Uthman alipanga kwa utashi wake?

Mtume apangilie msaafu alaf maswahaba watumie miaka 20 na zaid ya kukusanya vipande na kuviweka pamoja?.

Does this make sense to you?.

It doesnt .
Kwahiyo aliyepangaa aya sio Mtume. Ni mtu mwingne ambaye ni Uthman. Na ni kwa utash wake maana ambaye anaweza kumsahihisha ni mtume. Na hakuwepo.

Ndio ground na mantik ya hoja yangu.
 
Mtume alishawaambia kuwa ikitoka fulani itafuatia fulani kwa hiyo hao baadae kazi yao ilikuwa ni kuzitafuta hizo fulani na kuzikusanya pamoja kwa kukufuata utaratibu walioambiwa na Mtume
Kwa hiyo wao hawakuwa na jukumu la kusema eti ikitoka hii ifuate hii isipokuwa kuziweka pamoja tu

Ni kama wewe ukichukua gazeti lililochambuliwa ukawa unapanga ili liwe sawa hapo sio kwamba wewe unapanga hilo gazeti kwa utashi wako ila unapanga gazeti kutokana na kurasa za namba walizoweka waliotengeneza hilo gazeti
 
Mmesema Quran haiwez kuchakachuliwa. Na pia Totar Injili na Zabur imechakachuliwa.

Na hivi vyote ni vitabu vya allah.

Allah ameruhusu vitabu vya mwanzo kuchezewa.
Ila hamna ushahidi.

Mtume hakukusanya Quran akiwa hai. Aliiacha ikiwa vipande vipande na maswahaba ndio wakikusanya na kupanga aya.

Wakat uthman anapeleka quran sehem mbali mbali tayar kulikuwa na nakala za quran.
Na akaziondoa.
Kwanini aziondoe?
Wakat ni kitu kile kile kwa lugha ile ile ya allah kiarabu.

Nakuanzia hapa na hivyo vitabu vyenu vya biblia,. Hizo biblia zimeandika nini kuhusu hivyo vitabu ??

Kitabu cha Hesabu (Numbers):

“Hata hivyo, si lazima kudai kwamba Hesabu kiliandikwa na Musa kikiwa kimekamilika na katika umbo lake la mwisho. Sehemu fulani za kitabu huenda ziliongezwa na waandishi au wahariri wa nyakati za baadaye katika historia ya Israeli. Kwa mfano, dai la unyenyekevu wa Musa (12:3) halingekuwa la kukubalika iwapo limetoka kinywani mwake mwenyewe.

(Kutoka kwenye NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 183)”

Kwa hiyo, kiuhalisia, hatujui ni nani waandishi wote waliokiandika kitabu cha Hesabu. Inawezekanaje basi kukiita kitabu cha Hesabu kuwa Ufunuo wa Kweli na Hai wa MUNGU Mwenyezi ikiwa kitabu hicho kimechezewa na sheria zilizotungwa na wanadamu za waandishi (scribes)?

Kitabu cha Kumbukumbu la Torati (Deuteronomy):

“Kitabu chenyewe kinashuhudia kwamba, kwa sehemu kubwa, Musa alikiandika (1:5; 31:9,22,24), na vitabu vingine vya Agano la Kale vinakubaliana (1Waf 2:3; 8:53; 2Waf 14:6; 18:12)—ingawa dibaji (1:1–5) huenda iliandikwa na mtu mwingine, na taarifa ya kifo cha Musa (sura ya 34) kwa hakika kabisa iliandikwa na mtu mwingine.

(Kutoka kwenye NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 240)”

Kama tunavyoona wazi, kuna ushahidi wa kutosha unaothibitisha bila shaka yoyote kwamba Musa hakuwa mwandishi pekee wa kitabu hiki. Haikuwezekana kabisa aandike kuhusu kifo chake mwenyewe. Tena, hiki ni kitabu kingine kilichoharibiwa na mwanadamu ndani ya Biblia. Unawezaje kudai kwamba kitabu cha Kumbukumbu la Torati kilifunuliwa chote na MUNGU Mwenyezi? Ikiwa huna uhakika, na bado unasisitiza dai lako, basi unatenda kosa dhidi ya Ufunuo wa MUNGU Mwenyezi.

Kitabu cha Yoshua (Joshua):

“Inaonekana ni salama kuhitimisha kwamba kitabu hiki, angalau katika umbo lake la awali, kinatoka mwanzo wa kipindi cha ufalme. Wengine wanafikiri kwamba Samweli huenda alikuwa na mchango katika kuunda au kukusanya nyenzo za kitabu hiki, lakini kwa hakika hatuna uhakika ni nani alikuwa mwandishi au mhariri wa mwisho.

(Kutoka kwenye NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 286)”

Tena, hiki ni kitabu kingine ambacho hatujui ni nani duniani aliyekiandika. Hata hivyo, Wayahudi na Wakristo wanachukulia upuuzi huu kuwa ni Ufunuo kutoka kwa MUNGU Mwenyezi.
 
Kuna aya za kuruhusu Pombe na baadae kukataza.

Ina maana allah alikosea mwanzon.

Ila anyway Mbunguni kuna mvinjo.

Tatizo hujibu hoja zetu na ninapokujibu unarukia bila kusoma umecopygtp, Hilo swali nimekujibu vizuri sana lakini hukusoma

kwa ufupi

Hakuna aya inayosema Allah “aliruhusu pombe halafu akakosea.”
Kilichotokea ni ufundishaji wa taratibu, si kosa.
 
Hapa allah ana maana gan?.

Qur’an 16:67
“Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnapata kinywaji chenye kulevya na riziki njema…”

Anajua kabisa mizabibu itotoa kilevi na hakukataza.
Means alikubaliana na hilo.

Alaf baadae akasema msiingie msikitizi mkiwa mmelewa.

Na baadae akakataza kabisa.

Kwahiyo mwanzon alikosea. Ilibidi akataze pale pale kwenye hiyo aya kuwa msinywe kilevi cha mizabibu.
 
Say it.
but jf uses AI
Bro Clever505 nadhan unajua Quran imesetiwa kijanja . Na kuna mitego imejaribu kuikwepa hasa visa walizozichukua kwa Biblia.

1. kwanza kwa kutengeneza story nyingne au kuacha visa vingne au kuweka maneno mengne ambayo hayakuwepo awali kwenye visa husika.

Katika visa vya mitume na manabii . Quran ina visa 14 vya manabii waliokuwepo kwenye vitabu vya Biblia na ambao ni wayahudi Na visa 4 vya manabii wa Kiarabu ( angalia ratio hapa).
- Jiulize Je Jibril ndio alimuahidhia mtume hivyo visa vya manabii na mitume wa Israel? .

Kumbuka aya zote za Quran zilishuka kwa siku moja . Usiku mmoja wa mwez wa Ramadhani. Allah alishuka Quran mpaka mbingu ya 1 na hizo aya Jibril alitumia miaka 23 kumsomea mohamed kwenye ndoto (maana face to face alimtokea mara 2 tu) hadi kukamilika na mtume akawa anawahadithia maswahaba kidogo kidogo waandike kwenye magome ya miti na wengne watunze kwa kukariri.

Does this make sense?...

2. Baada ya miaka 600+ mtu ndio aje aseme vitabu vimechakachuliwa . Mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika.

Je ? Tuamini kuwa Yesu alizaliwa chini ya mtende (quran) au zizin kwa ngombe (biblia).

3. Quran na waislam wanajinasibu sana na Wakristo/Biblia .
Alaf wanasema wakristo wamepotea na wamfuate Mohamed . Why bother na dini ya watu wengne?. Kama wamepotea si uwaache.

Eti wao wanamjua Yesu zaid ya kwakristo.
Umeng'ang'ana na visa visa, utadhani uko kwenye kilinge cha madada wakuchambana

Na huyu yesu wa kubumba ambae sie Issa, iweje ajifanye anashoboka na Torati iliyokuja miaka 1500 kabla ya bibilia ya kuchakachuliwa, hivi huelewi kwanini Waisraeli hawamuamini yesu wenu, kutokana na huu ungo mliotunga kwenye bibilia
Yesu eti atoke Israel halafu wazungu wa vatikani ndio wamuabudu na kuandika bibilia, na sio waisraeli wenyewe mpaka leo hii, ukristo sio dini kuu wa waisraeli na wanapelekea moto wakristo hukokwao kila siku
Halafu wewe mmatumbi unajifanya unamjua yesu kuliko waisraeli wasiomtaka
 
Hapa allah ana maana gan?.

Qur’an 16:67
“Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnapata kinywaji chenye kulevya na riziki njema…”

Anajua kabisa mizabibu itotoa kilevi na hakukataza.
Means alikubaliana na hilo.

Alaf baadae akasema msiingie msikitizi mkiwa mmelewa.

Na baadae akakataza kabisa.

Kwahiyo mwanzon alikosea. Ilibidi akataze pale pale kwenye hiyo aya kuwa msinywe kilevi cha mizabibu.

Umekuja kule kule hujasoma nilichoandika

Neno muhimu:​

Katika Kiarabu cha Qurani:

  • سَكَر (sakar) = hali ya kuleweshwa / kufunikwa akili
  • HAIMAANISHI: “imehalalishwa” au “imeruhusiwa”

Aya inasema kinachotokea kwa vitendo, si kinachoruhusiwa kisheria.

Mfano wa lugha:

“Kutokana na ngano watu hutengeneza pombe na chakula.”

Hii si ruhusa, bali ni taarifa ya hali halisi.

Aya hii iko katika muktadha gani?​

Surah An-Nahl (16) ni Makki
➡ Iliteremka kabla ya sheria za haramu/halali kukamilishwa

Aya nyingi katika surah hii:

  • Zinaelezea neema za Allah
  • Zinaonyesha matumizi tofauti ya wanadamu
  • Sio aya za kutoa hukumu za fiqhi
 
Sio lazima kusema nimeruhusu.
Ila kwa kujua na kutamka na kukaa kimya ina maana allah amekubali kifanyike.

Na ni sawa sawa na kuruhusu.

Hebu uliza vizur hilo robot lako.
Na pia sio kila swal unapeleka chatgpt. Jibu kwa ufaham tu wa kawaida.
 
Sina haja ya kubishana na ndezi kama wewe! Kuanzia sasa na kuendelea sitaona chochote utakachopost humu jf!
Sikushangai kwa matusi

Huyo unayemwabudu ndiye master kwa lugha yako labda ndiko ulikojunza

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
 
Back
Top Bottom