Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kama haipo. Umejuaje ilikuwepo?.
Huoni kuna shaka Hapo.

Wamebadili maneno. Maneno yapi? Wamebadili?
Zaburi je na yenyewe wamebadili nini?
😂Huyu Allah dhaifu sana, anashindwa na Bukhari kwa kutunza vitabu. Sahihi Al-Bukhar ipo hadi leo ila Allah vitabu vyake vinapotea kizembe sana.
 
😂Huyu Allah dhaifu sana, anashindwa na Bukhari kwa kutunza vitabu. Sahihi Al-Bukhar ipo hadi leo ila Allah vitabu vyake vinapotea kizembe sana.
Jibu hili swali msikimbie, lile swali lako nimejibu post # 171

Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
 
Hoja unaielewa lakini?
Tufanye vitabu vimebadilishwa, swali ndo lipo hapo. Kwanini vibadilishwe wakati Mungu anasema hakuna wa kubadilisha? Au Allah ni muongo kusema hakuna wa kubadilisha ila wamejitokeza wameweza kubadilisha?
Majibu yake ni hivi
Mafundisho ya hivyo vitabu, yamefanyiwa summary kwenye kitabu kimoja kinaitwa Quran
Na hicho kitabu kitakatifu (Quaran) huwezi kukichakachua kwa sababu kwa karibia kila nchi yenye waislam wengi, wamekishika chote kichwani hivyo hata ungetoa Quaran zote hapa duniani, baada ya muda Nchi nyingi zitakuwa zimeshaprint Quran tena bila kuruka herufi hata moja.... ha hii haipo kwa bahati mbaya....
 
Mkuu nimewajibu vizuri kwenye post #171 , wasikupotezee muda , hawataki kusoma ,hawa wapo kwa ubishi tu
 
Short term hiyo uliitowa wewe au kanisa lako ??
ahhh! kumbe ndo maana! Sasa unaona akili za ubwabwa sio nzuri? Mi nimetoa historia kama wanazuoni wa kale walivyoandika kuhusu mudi wewe unaona kama napinga dini yako!! Ona mi huwa sipendi kubishana na narrow minded people! Nitaanza kukutukana muda si mrefu! Ohh!
 
matusi ndiyo mafundisho ya huyo mnayemwabudu na ndio akawaita mbwa na nguruwe , sikushangai
 
Nimejuwa Kwa sababu umeniuliza swali

Kwahiyo wamebadili ila huna ushahidi wa nini na nini wamebadili.

Ila ww una amini wamebadili.

Kuna visa vya wana wa Israel. Biblia inasema tofaut na Quran ya Jibril inasema tofaut.
Tuiamini ipi?.

Mfano Quran inasema Mama yake Yesu . (Maryam ) ni dada wa Haruni.

Qur’an 19:27–28
“…Wakasema: Ewe Mariamu! Hakika umefanya jambo la ajabu.
Ewe dada wa Haruni, baba yako hakuwa mtu mwovu wala mama yako hakuwa kahaba"

Majibu yake ni hivi
Mafundisho ya hivyo vitabu, yamefanyiwa summary kwenye kitabu kimoja kinaitwa Quran
Na hicho kitabu kitakatifu (Quaran) huwezi kukichakachua kwa sababu kwa karibia kila nchi yenye waislam wengi, wamekishika chote kichwani hivyo hata ungetoa Quaran zote hapa duniani, baada ya muda Nchi nyingi zitakuwa zimeshaprint Quran tena bila kuruka herufi hata moja.... ha hii haipo kwa bahati mbaya....

Hii mbona mpya sana.
Kwamba Zaburi, Torat na Injili iko ndan ua Quran? 😎😎😎
 
Jibu hili swali msikimbie, lile swali lako nimejibu post # 171

Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
Ok nimerudi kuangalia hiyo post ila hakuna jibu pale.
Wanasema maneno ya Mungu hayawezi kubadilishwa ila Injili na Torati zimebadilishwa, hapo unaelewa?
Halafu anasema Quran pekee ndo haijabadilishwa, sasa ndugu huoni kwamba kuna kutokueleza vizuri?
Injili, Torati na Quran zote za Allah ila Allah ameilinda Quran pekee, maana yake ni kwamba hana uwezo wa kulinda vitabu vyote.
 
😂Huyu Allah dhaifu sana, anashindwa na Bukhari kwa kutunza vitabu. Sahihi Al-Bukhar ipo hadi leo ila Allah vitabu vyake vinapotea kizembe sana.

Hivo ile hadith ya Mtume kulala na beki 3 wake aitwae Bi mariam . Kijakaz wa mke wake Nasra . Iko kwenye hizi Sahih Bukhar?.
 
Kwahiyo wamebadili ila huna ushahidi wa nini na nini wamebadili.

Ila ww una amini wamebadili.

Kuna visa vya wana wa Israel. Biblia inasema tofaut na Quran ya Jibril inasema tofaut.
Tuiamini ipi?.

Mfano Quran inasema Mama yake Yesu . (Maryam ) ni dada wa Haruni.

Qur’an 19:27–28

Ewe dada wa Haruni, baba yako hakuwa mtu mwovu wala mama yako hakuwa kahaba"

Hii mbona mpya sana.
Kwamba Zaburi, Torat na Injili iko ndan ua Quran? 😎😎😎

Wapi imeandikwa, zaburi , injili iko ndani ya qurani , maneno haya unayapata wapi ?? Hujasema bado iko wapi hiyo Torati , Ndani ya biblia hamna Torati, isipokuwa mna Kumbukumbu la Torati , kwa nini ??
 
Haya mmb n magumu sana acheni kuchunguza sana
Marahisi sana, Allah anaposema hakuna wa kubadilisha maneno yake Kisha wafuasi wake wanasema wapo walioweza kubadilisha lazima tuhoji hapo. Mungu gani sasa anaongea uongo?
Biblia inasema waongo baba yao ni ibilisi, kwa hiyo Allah naye tunamuunganisha na ibilisi kwa sababu wote ni waongo.
 
Ok nimerudi kuangalia hiyo post ila hakuna jibu pale.
Wanasema maneno ya Mungu hayawezi kubadilishwa ila Injili na Torati zimebadilishwa, hapo unaelewa?
Halafu anasema Quran pekee ndo haijabadilishwa, sasa ndugu huoni kwamba kuna kutokueleza vizuri?
Injili, Torati na Quran zote za Allah ila Allah ameilinda Quran pekee, maana yake ni kwamba hana uwezo wa kulinda vitabu vyote.
Ni kuwa hujasoma post#171 na unaongopa . Nakuuliza hivi kwanini Torati inaitwa Kumbukumbu la Torati ??

Swali​

Surah 6:115 na 18:27 zinaeleza kwamba maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa.

Torati (Tawrat) na Injili ni maneno ya Allah.

Kwa hivyo, maandiko ya awali ya Biblia yamehifadhiwa dhidi ya kuharibiwa.

Surah 6:115:
"Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Surah 18:27:
"…Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.

Katika Uislamu, mistari hii inahusu hasa Qur’ani na funuo za kiungu kwa ujumla. Inasisitiza kwamba ahadi na amri za Allah zinalindwa, na ujumbe wake wa kweli umehifadhiwa.

Qur’ani inatambua Torati na Injili kama zilivyofunuliwa asili na Allah (Surah 3:3, 5:44-46).

Lakini Qur’ani pia inaeleza wazi kwamba binadamu walibadilisha au kutafsiri vibaya maandiko haya kwa muda:

Surah 2:75:
"…Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua?

Surah 5:13:
"…Basi kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.

Ufafanuzi wa Kiislamu: Torati na Injili awali zilikuwa maneno ya Allah, lakini sasa zimebadilishwa na binadamu, kwa kuongeza, kupunguza, au kutafsiri vibaya.

Allah anahakikisha ujumbe wake umehifadhiwa, lakini ulinzi huu unahusu kikamilifu Qur’ani tu (Surah 15:9).

Funuo za awali (Tawrat, Zabur, Injili) zilitunzwa wakati wa kufunuliwa, lakini baadaye binadamu waliziharibu, kwa makusudi au kwa kutozingatia.

Wakristo wanasema: "Ikiwa maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa, basi Biblia lazima isiharibike."

Uislamu unajibu:

Ndiyo, maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa kwa asili, lakini Qur’ani tu ndiyo iliyo salama kikamilifu.

Torati na Injili zilikuwa na maboresho ya binadamu kwa karne nyingi, ndio maana Waislamu wanategemea Qur’ani kama mwongozo wa mwisho usioharibika (Surah 5:48).

Kwa ufupi: Qur’ani inaonyesha tofauti kati ya maneno ya kiungu kwa asili na nakala zilizobadilishwa na binadamu. Kuwa Torati na Injili awali maneno ya Allah haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na ile ya asili.

Muhtasari

Maneno ya Allah kweli hayawezi kubadilishwa, lakini hii haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na Torati na Injili ya asili.

Qur’ani inafundisha kwamba maandiko ya awali yalibadilishwa au kutafsiriwa vibaya na watu, kwa hivyo Qur’ani pekee ndiyo iliyo salama kikamilifu hadi mwisho wa wakati.

Kwa hiyo, hoja ya Kikristo inadhani kwamba maandiko yalihifadhiwa bila kuharibika, jambo ambalo Uislamu haukubali.
 
Mimi huwa nawasikiliza viongozi wa dini zote kuona wanachozungumza,

Usahihi wa uislam ni upi ambao haupatikani kwingine?
Usahihi wa Uislamu ni kuwa katika imani ya Mungu Mmoja ambaye ni Allah bila kumuhusisha na viumbe wengine kuwa ni wasaidizi wake katika uungu kama ilivyo kwa dini nyingine

Pia Uislamu ni mfumo kamili wa maisha kuliko dini yoyote nyingine
 
😂Huyu Allah dhaifu sana, anashindwa na Bukhari kwa kutunza vitabu. Sahihi Al-Bukhar ipo hadi leo ila Allah vitabu vyake vinapotea kizembe sana.

Anza na Biblia yako kwanza

Wapi imeandikwa zaburi , injili iko ndani ya qurani , maneno haya unayapata wapi ?

Nimeyapata hapa 👇👇👇
Mafundisho ya hivyo vitabu, yamefanyiwa summary kwenye kitabu kimoja kinaitwa Quran
Na hicho kitabu kitakatifu (Quaran)

Hujasema bado iko wapi hiyo Torati , Ndani ya biblia hamna Torati, isipokuwa mna Kumbukumbu la Torati , kwa nini ??

Torati maana yake ni sheria au muongozo.

Musa alishushiwa amri 10 za Mungu. Na akaelekezwa namna wan.a. wa israel wanatakiwa kuishi.

Kuita Kumbukumbu la.torat au torat haiwez kuondoa mantik kuwa Bado ni torati.
 
matusi ndiyo mafundisho ya huyo mnayemwabudu na ndio akawaita mbwa na nguruwe , sikushangai
mi nimetoa historia! Sijatoa kwenye bible wala quran ila we kilaza ni mgumu kuelewa! Fanya hivi, usiqoute post yangu tena! Km wewe.
 
Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?

Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?

Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.

Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.

Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Kwani haujawahi kusoma kwenye Wakorintho wa kwanza 1-25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Mbona majibu mnayo wenyewe!
 
Back
Top Bottom