Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Nimeyapata hapa 👇👇👇

Torati maana yake ni sheria au muongozo.

Musa alishushiwa amri 10 za Mungu. Na akaelekezwa namna wan.a. wa israel wanatakiwa kuishi.

Kuita Kumbukumbu la.torat au torat haiwez kuondoa mantik kuwa Bado ni torati.
Nini maana ya kukumbukumbu ??
 
Ni kuwa hujasoma post#171 na unaongopa . Nakuuliza hivi kwanini Torati inaitwa Kumbukumbu la Torati ??

Swali​

Surah 6:115 na 18:27 zinaeleza kwamba maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa.

Torati (Tawrat) na Injili ni maneno ya Allah.

Kwa hivyo, maandiko ya awali ya Biblia yamehifadhiwa dhidi ya kuharibiwa.

Surah 6:115:
"Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Surah 18:27:
"…Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.

Katika Uislamu, mistari hii inahusu hasa Qur’ani na funuo za kiungu kwa ujumla. Inasisitiza kwamba ahadi na amri za Allah zinalindwa, na ujumbe wake wa kweli umehifadhiwa.

Qur’ani inatambua Torati na Injili kama zilivyofunuliwa asili na Allah (Surah 3:3, 5:44-46).

Lakini Qur’ani pia inaeleza wazi kwamba binadamu walibadilisha au kutafsiri vibaya maandiko haya kwa muda:

Surah 2:75:
"…Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua?

Surah 5:13:
"…Basi kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.

Ufafanuzi wa Kiislamu: Torati na Injili awali zilikuwa maneno ya Allah, lakini sasa zimebadilishwa na binadamu, kwa kuongeza, kupunguza, au kutafsiri vibaya.

Allah anahakikisha ujumbe wake umehifadhiwa, lakini ulinzi huu unahusu kikamilifu Qur’ani tu (Surah 15:9).

Funuo za awali (Tawrat, Zabur, Injili) zilitunzwa wakati wa kufunuliwa, lakini baadaye binadamu waliziharibu, kwa makusudi au kwa kutozingatia.

Wakristo wanasema: "Ikiwa maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa, basi Biblia lazima isiharibike."

Uislamu unajibu:

Ndiyo, maneno ya Allah hayawezi kubadilishwa kwa asili, lakini Qur’ani tu ndiyo iliyo salama kikamilifu.

Torati na Injili zilikuwa na maboresho ya binadamu kwa karne nyingi, ndio maana Waislamu wanategemea Qur’ani kama mwongozo wa mwisho usioharibika (Surah 5:48).

Kwa ufupi: Qur’ani inaonyesha tofauti kati ya maneno ya kiungu kwa asili na nakala zilizobadilishwa na binadamu. Kuwa Torati na Injili awali maneno ya Allah haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na ile ya asili.

Muhtasari

Maneno ya Allah kweli hayawezi kubadilishwa, lakini hii haimaanishi Biblia ya leo ni sawa kabisa na Torati na Injili ya asili.

Qur’ani inafundisha kwamba maandiko ya awali yalibadilishwa au kutafsiriwa vibaya na watu, kwa hivyo Qur’ani pekee ndiyo iliyo salama kikamilifu hadi mwisho wa wakati.

Kwa hiyo, hoja ya Kikristo inadhani kwamba maandiko yalihifadhiwa bila kuharibika, jambo ambalo Uislamu haukubali.
Tatizo unaleta maelezo ya kucopy ambayo hata wewe hujayasoma, sasa hatuwezi kuelewana
 
mi nimetoa historia! Sijatoa kwenye bible wala quran ila we kilaza ni mgumu kuelewa! Fanya hivi, usiqoute post yangu tena! Km wewe.
Sikushangai kwa matusi

Huyo unayemwabudu ndiye master kwa lugha yako labda ndiko ulikojunza

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).

8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).

9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).

10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).

11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).

12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).

13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48)
 
Usahihi wa Uislamu ni kuwa katika imani ya Mungu Mmoja ambaye ni Allah bila kumuhusisha na viumbe wengine kuwa ni wasaidizi wake katika uungu kama ilivyo kwa dini nyingine

Pia Uislamu ni mfumo kamili wa maisha kuliko dini yoyote nyingine
Hata ukristo una Mungu mmoja tu,
Allah ana wasaidizi au hujui hilo
 
kwa hivyo Qur’ani pekee ndiyo iliyo salama kikamilifu hadi mwisho wa wakati.

Allah akifuta aya anamwambia nani aziandike tena.?.
Wakat Quran ishaandikwa?.

Qur’an 2:106
“Aya yoyote tunayoifuta au tukayabadilisha, tunakuleta bora au sawa nayo. Je, haufahamu kuwa Mwenyezi Mungu ana uwezo wa kila kitu?”
 
Tatizo unaleta maelezo ya kucopy ambayo hata wewe hujayasoma, sasa hatuwezi kuelewana
unaweza kuniwekea link huko niliko copy ?? Mnataka ubishi na kukimbia maswali ambayo hamwezi kuyajibu
 
unaweza kuniwekea link huko niliko copy ?? Mnataka ubishi na kukimbia maswali ambayo hamwezi kuyajibu
Mi ni mkristo Safi kabisa, hakuna swali linalohusu Biblia na ukristo nashindwa kujibu.
Hebu Weka jibu lako hapa acha kukopi,
Kwa nini Mungu hakulinda vitabu vyake hadi vikapotea ? Jibu hapo nianze kujibu maswali yako.
 
Kwani haujawahi kusoma kwenye Wakorintho wa kwanza 1-25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Mbona majibu mnayo wenyewe!
Hebu leta jibu hapa, Mungu gani huyu muongo?
 
Hebu leta jibu hapa, Mungu gani huyu muongo?
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Rudia 1 Kor 1-25 ndiyo jibu lako lipo hapo.
 
Nini maana ya kukumbukumbu ??

Sijui ground gan unataka kuitengeneza hapa.

Kuita Kumbukumbu ni kwasababu ni ukumbusho wa torati.
Na sio vinginevyo.

Labda unaweza kutoa hoja kuwa Torat halisi ilipotea.
Sawa. Je hiyo Torat halisi ilikuwa inasema nini na nini ambacho torat ya sasa haina/imepunguza au kuongeza?.

Kama hauna jibu la hilo swal hapo juu. Bas hauna ushahidi wa kupotea kwa torat ya mwanzo.
Na huna hoja ya utetezi ambao hauna shaka.
 
Allah akifuta aya anamwambia nani aziandike tena.?.
Wakat Quran ishaandikwa?.

Qur’an 2:106

ni muhimu kuelewa tofauti kati ya “abrogation” (naskh) inayofanywa na Allah na “kubadilishwa kwa binadamu”. Katika Uislamu, Qur’an haijabadilishwa na binadamu, bali aya fulani hubatilishwa au kufutwa kwa amri mpya ya Allah ili kuendana na muktadha wa wakati. Hii ni tofauti kabisa na maandiko ya Biblia yaliyoathiriwa na binadamu.

Hapa kuna mfano wa Qur’an yenye naskh:

Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri-​

Aya ya awali (Surah Al-Baqarah 2:219):

Aya mpya (Surah An-Nisa 4:43 & Surah Al-Ma’idah 5:90):

Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.

Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
  • Baadaye pombe ilipigwa marufuku:

Ufafanuzi:

  • Hii inaonyesha Qur’an hubadilisha amri kadri inavyohitajika, lakini kila mabadiliko ni kutoka Allah, sio binadamu.

Muhimu Kuelewa​

  • Abrogation (naskh) ni mabadiliko ya kiungu yaliyopangwa na Allah, kwa ajili ya mwongozo bora na sahihi.
  • Biblia haikufuata kanuni hii ya kiungu; maandiko yake yalibadilishwa na tafsiri za binadamu, ufisadi, au kuongeza/kupunguza maandiko.
 
Amri 10 za kwenye Quran ukiziangalia kwa mtiririko wake zinalandana na za kwenye torat.
Utofaut upo kidogo.
Ila mtiririko ni ule ule.

Kwahiyo Quran imecopy zile amri kutoka torati. Copy and paste na wakaziongezwa nyama.
 
Maelezo ya chat gpt.

Sawa tumeona allah kuwa anakosea na baadae anabadilisha/anasahihisha alipokosea.
 
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
Rudia 1 Kor 1-25 ndiyo jibu lako lipo hapo.
Mi nazungumzia Aya ya Quran 6:34, nataka jibu litoke hapo Kisha tunakuja kwenye Biblia au unasemaje
 
Hata ukristo una Mungu mmoja tu,
Allah ana wasaidizi au hujui hilo
Ukristo una Mungu mmoja wakati kila siku tunasikia kuwa Yehova na Yesu wote wanaitwa Mungu

Allah ana wasaidizi gani katika Uungu wake?
 
Amri 10 za kwenye Quran ukiziangalia kwa mtiririko wake zinalandana na za kwenye torat.
Utofaut upo kidogo.
Ila mtiririko ni ule ule.

Kwahiyo Quran imecopy zile amri kutoka torati. Copy and paste na wakaziongezwa nyama.
Kwenye Qur’an kuna amri kumi???
 
Mmesema Quran haiwez kuchakachuliwa. Na pia Totar Injili na Zabur imechakachuliwa.

Na hivi vyote ni vitabu vya allah.

Allah ameruhusu vitabu vya mwanzo kuchezewa.
Ila hamna ushahidi.

Mtume hakukusanya Quran akiwa hai. Aliiacha ikiwa vipande vipande na maswahaba ndio wakikusanya na kupanga aya.

Wakat uthman anapeleka quran sehem mbali mbali tayar kulikuwa na nakala za quran.
Na akaziondoa.
Kwanini aziondoe?
Wakat ni kitu kile kile kwa lugha ile ile ya allah kiarabu.
 
Back
Top Bottom