Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Tatizo ni wachokozi sana:
Tunanyamaza hadi tunawachoka:
Ndio tunaanza kufunguka sasa:
Yaani kumwaga mboga:
 
Waislamu mnasema Manabii wote walikuwa Waislamu:
Na Mungu wenu Allah aliwapa vitabu Waislamu Musa, Daudi na Isa na wakawakabidhi waumini wao Waislamu:

Hii inamaanisha nyie Waislamu ndio mlioharibu na kupoteza vitabu alivyowapatia Mungu wenu Allah:
Sasa mnamlaumu nani ?
Utakuwa haujasoma habari hii iliyo wazi kwa watu wenye fikra kama zako na hata kama ulisoma basi haujaelewa.

98.Surat Al-Bayyinah

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU


1. Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,


2. Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,


3. Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka.


4. Wala hawakufarikiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana.


5. Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.


6. Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele humo. Hao ndio viumbe waovu kabisa.


7. Hakika walio amini na wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe.


8. Malipo yao kwa Mola wao Mlezi ni Bustani za daima, zipitazo mito kati yake. Wakae humo milele. Mwenyezi Mungu yu radhi nao, na wao waradhi naye. Hayo ni kwa anaye mwogopa Mola wake Mlezi.
 
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924

Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)

Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
Hivi ukikutana na huyo shetani utamjua kweli?
 
Mkuu hawa Waislamu yaani ni shida tupu, hata ukimuonyesha fact ambayo ni historically or scientifically proven, hawezi kubali kile amekaririshwa katika Quran yao; nadhani fate yao ni implosion from within like what is happening in Iran au anachowafanyia Saudi Crown Prince Mohamed Bin Salman.
Mfano hata ukiwaambia kuoa katoto kadogo kama alivyofanya paedophile Muhammad ni ubakaji, wao watabisha. Ona hii picture
View attachment 3528256
Jamaa wamefungwa akili zao ,binafsi nilipokuwa muislamu nilikuwa mbishi hata kwenye ukweli

Nikaja nikasema nitabishana na ukweli mpaka lini?

Nilipenda sana kuchokonoa vitabu ,ufadisi ulinifanya nikutane na uongo mwingi sana wa Quran
 
Ukitaka kujua wote wametengenezwa, jiullize. Ni kitu gani kipya walileta ambacho waswahili hatukuwa nacho? Ni pm kwenye box nikutumie bonge la book ya mchizani mmoja ambaye huwa namkubali juu ya mambo haya. Ila kimeandikwa kwa kimombo.
Kuna ushahidi mwingi wa kuwepo kwa Yesu wa kisayansi, Kihistoria,Hadi wapinzani wake waliandika habari zake za kuwepo kwake
 
Jamaa wamefungwa akili zao ,binafsi nilipokuwa muislamu nilikuwa mbishi hata kwenye ukweli

Nikaja nikasema nitabishana na ukweli mpaka lini?

Nilipenda sana kuchokonoa vitabu ,ufadisi ulinifanya nikutane na uongo mwingi sana wa Quran
Kwanza ncheke. Hakukuwahi kuwa muislam wa aina yako. Endelea kugongq kitimoto zako
 
Kwanza ncheke. Hakukuwahi kuwa muislam wa aina yako. Endelea kugongq kitimoto zako
Kwamba wewe unanijua sana ?

Naujua uislamu kuliko hata Mufti wako

Nimezaliwa humo na kuusoma uislamu deeply,

Kama unajiweza na UNAUJUA uislamu njoo hapa TUFANYE mjadala ,nikuulize maswali


Ndio utajua nilikuwa muislamu au lah
 
Sijui kama unajua matoleo ya Biblia mengi yaliyopo madukani na yanayogawanywa huko mashuleni sio lile toleo la King David...imesha chakachuliwa.
Na kwa sasa kuna toleo jipya la Biblia lipo jikoni ambapo kuna vifungu kadhaa vimefutwa kwani havina ushahidi wa hadithi za kale umeonekana ni wanafunzi walijitungia...
Mbona hujiulizi kwa nini Yesu ameshindwa kuilinda Biblia unakimbilia kwa Waislam
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uangalia kwa jirani.....
MUNGU ALIMUUMBA BINADAMU, BINADAMU AKAMKOSEA MUNGU, BINADAMU AKAMPIGA MUNGU HADI MUNGU AKAFARIKI, MUNGU ALIKUBALI KUPIGWA HADI KUFARIKI ILI AMSAMEHE BINADAMU DHAMBI???
Hizi propaganda umeokota wapi?

Unaijua hata historia ya biblia kweli?

Unazijua hata manuscript za biblia za karne ya kwanza ,na nyingine zipo za kabla hata ya Yesu ?

Papyrus 52 unaijua ?

Dead sea scrolls unazijua zimeandikwa lini?

Hizi propaganda zenu mtaacha lini kwenye kizazi hiki cha teknolojia?

Unadhani hii ni Quran iliyoundwa hapo Al Azhar University?
 
Uandishi wao umetofautiana wenyewe kwa wenyewe
Kama umesoma Biblia walau kwa 75% natumaini umeona Mwanzafunzi huyu kasema hivi, na mwingine kaelezea tofauti kabisa wakati wanaongelea kitu kimoja.....
Ngoja nikiwa nafasi nitakuwekea kwa kuwa nimebahatika kuisoma biblia walau kwa 80%
Kuhusu Biblia zilizo chakachuliwa; kma unapenda, fuatilia Biblia za misaada zinazogawanywa mashuleni nk nk....na kama hujui kama kuna toleo jingine la Biblia linakuja basi wewe; sio mfuatiliaji wa mambo ya kidunia. Pole!
Acha hizi cheap propaganda

Leta hizo Aya za biblia na wapi wamebadili
 
Majibu yake ni hivi
Mafundisho ya hivyo vitabu, yamefanyiwa summary kwenye kitabu kimoja kinaitwa Quran
Na hicho kitabu kitakatifu (Quaran) huwezi kukichakachua kwa sababu kwa karibia kila nchi yenye waislam wengi, wamekishika chote kichwani hivyo hata ungetoa Quaran zote hapa duniani, baada ya muda Nchi nyingi zitakuwa zimeshaprint Quran tena bila kuruka herufi hata moja.... ha hii haipo kwa bahati mbaya....
Beberu alikula Aya za Quran, Sura ya 73 ilikuwa na Aya 200 , beberu kala 61 zikabaki 139 tu.

Hadith ipo katika Sunan Ibn Mājah:

Sunan Ibn Mājah
Kitabu: Nikah
Hadith: 1944
Imepokelewa kutoka kwa:

Aisha (ra) – mke wa Muhammad
Maudhui yake (kwa maana):

Aya ya rajm (kupigwa mawe) na aya ya kunyonya mara kumi ziliteremshwa, zikaandikwa kwenye karatasi, na baada ya kifo cha Mtume, mbuzi aliingia nyumbani akazila.

Huu ni ushahidi wa maandishi ya Kiislamu yenyewe, si ya Wakristo.
 
Huyu jamaa hajishughulishi kufikiria anakopi tu na kubandika hapa.
Huyo ni debe tupu ,muwe mnawajibu Hawa wanaojikita kwenye mada ,

Wengi wanamjua Kristo,

Nimepata wafuasi wengi sana wa Yesu kwa kudili na Hawa wanaojikita kwenye mada, maana unawaleta kwenye maswali ya logic ,wakikaa wenyewe wanagundua wamepotoshwa
 
Sio lazima kusema nimeruhusu.
Ila kwa kujua na kutamka na kukaa kimya ina maana allah amekubali kifanyike.

Na ni sawa sawa na kuruhusu.

Hebu uliza vizur hilo robot lako.
Na pia sio kila swal unapeleka chatgpt. Jibu kwa ufaham tu wa kawaida.
Ushahidi upo mwingi tu ,hii mada Huwa wanaificha isijulikane ,Kuna Aya zililiwa na mbuzi

Beberu alikula Aya za Quran, Sura ya 73 ilikuwa na Aya 200 , beberu kala 61 zikabaki 139 tu.

Hadith ipo katika Sunan Ibn Mājah:

Sunan Ibn Mājah
Kitabu: Nikah
Hadith: 1944
Imepokelewa kutoka kwa:

Aisha (ra) – mke wa Muhammad
Maudhui yake (kwa maana):

Aya ya rajm (kupigwa mawe) na aya ya kunyonya mara kumi ziliteremshwa, zikaandikwa kwenye karatasi, na baada ya kifo cha Mtume, mbuzi aliingia nyumbani akazila.

Huu ni ushahidi wa maandishi ya Kiislamu yenyewe, si ya Wakristo.
 
Sina haja ya kubishana na ndezi kama wewe! Kuanzia sasa na kuendelea sitaona chochote utakachopost humu jf!
Huyo ni ndezi, nashangaa wanaomjibu ,hii ni KAZI ya injili ,ni kudili na wale wanaojibu mada kwa mpangilio na kile wanachoulizwa na kuuliza ,

Kwa njia hii waislamu wengi wamemjua Yesu na kuokoa ,
 
Huwa sielewi kwanini Yesu aliachia shetani fursa ya kuanzisha hii dini ambayo inapeleka mabilioni ya watu jehanum.
adriz MOTOCHINI zitto junior
Swali la kitoto sana ili😁😁😁 kuna muislamu niliwai kumjibu kuwa Muhammad alitajwa na yesu kwenye injili .....basi yule muislamu alifurahi sana kusikia hivyo akitazamia nimwambie ni wapi Muhammad alipo tajwa na yesu ....NIKA MUAMBIA SEHEMU PEKEE NDANI YA INJILI AMBAYO YESU KAMTAJA MUHAMMAD NI MOJA TU NI PALE YESU ALIPO SEMA...👉 KWA SABABU MMEIKATAA KWELI BASI MTALETEWA ISIYO KWELI ILI MUIFUATE... HAPO TU NDIYO MITUME FEKI KIMA MUHAMMAD NA MWAMPOSA NK WANAPO TAJWA NA YESU. na jibu la swali lako lipo hapo.
 
Wanazuoni wenye kufahamu kuliko wewe wametoa maelezo na maelezo yao ni sahihi kabisa maana ufahamu wao kuhusiana na dini ni mkubwa

Wewe tafsiri unayolazimisha baki nayo itakusaidia kwenye harakati zako
Wanazuoni hao mbona JF atuwaoni wakileta hoja zao ...kuna shekhe yoyote unaye mjua wewe mashuhuri mitandaoni kama kina shekh shafii nk waliopo JF kujibu maswali na kuleta hoja.... mbona JF hatuwaoni hao viongozi wa dini wakijitambulisha kwa sababu jf siyo lazima uwe na ID feki...
 
Wanazuoni hao mbona JF atuwaoni wakileta hoja zao ...kuna shekhe yoyote unaye mjua wewe mashuhuri mitandaoni kama kina shekh shafii nk waliopo JF kujibu maswali na kuleta hoja.... mbona JF hatuwaoni hao viongozi wa dini wakijitambulisha kwa sababu jf siyo lazima uwe na ID feki...
Sasa hao wanazuoni walikuwepo zamani JF inaingiaje hapo?
 
Back
Top Bottom