Na mimi najua kwamba haujaelewa; UKIELEWA TU, ujuwe umeianza safari ya kuwa EX-MUSLIMSijaelewa chochote
Na mimi najua kwamba haujaelewa; UKIELEWA TU, ujuwe umeianza safari ya kuwa EX-MUSLIMSijaelewa chochote
2:752:75
4:46
5:13
2:79
Na hadithi pia zipo
YaandikeNa mimi najua kwamba haujaelewa; UKIELEWA TU, ujuwe umeianza safari ya kuwa EX-MUSLIM
Unahisi maandiko ya Allah yalikuwa ni yapi zaidi ya Taurat na Injil?Hii verse pia inasema kuna baadhi ya watu wanapotosha maandiko, haisemi kwamba injili na torati zime chakachuliwa.
“Waliandika baadhi ya maneno ya Taurat na Injil kisha wategeeze kuwa ni wahyi, na kusahau sehemu za yale waliyopokea.”2:75
Do you ˹believers still˺ expect them to be true to you, though a group of them would hear the word of Allah then knowingly corrupt it after understanding it?
Kitu cha kwanza hapa ni kwamba wayahudi Mungu wao hajawahi kuwa Allah. Kitu cha pili Allah (Mungu wa waislamu anasema kuna kikundi cha wayahudi ambao husikia maneno ya Allah kisha kuyabadilisha huku wakiwa wameelewa). Kikundi cha wayahudi waliokuwa Mecca kipindi hicho,inakuwaje wewe unatumia verse hii kuwahukumu wayahudi wote?
4:46
Baadhi ya Mayahudi hubadilisha maneno kutoka mahali pake (huchukua maneno nje ya muktadha) na kusema: “Tumesikia na hatutii,” “Sikiliza, usisikike” na “Râ’ina!” (huku wakicheza maneno na kuyapotosha ili kushusha dini). Na lau wangalisema kwa adabu: “Tumesikia na tutii,” “Sikiliza sisi” na “Unẓurna” (Tufikirie/angalia sisi), ingekuwa bora kwao na sawa zaidi. Mwenyezi Mungu amewalaani kwa kuwa makafiri wao, hivyo hawaamini ila wachache tu.
Hii nayo inawalaumu baadhi ya wayahudi kwa kutafsiri maandiko kinyume na maana yake.
5:13
Lakini kwa sababu ya kuvunja ahadi yao (au mkataba wao), tuliwalaani na tukayafanya mioyo yao kuwa migumu (au mikali). Wanapotosha maneno (ya Kitabu) kutoka mahali pake (au muktadha wake), na wamesahau sehemu ya yale waliyoamriwa kuyashikilia. Utazidi kuona khiyana (au udanganyifu) kutoka kwao, isipokuwa wachache tu miongoni mwao. Basi wasamehe na uwachilie (au uvumilie). Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao mema (au wenye ihsan
Hii verse pia inasema kuna baadhi ya watu wanapotosha maandiko, haisemi kwamba injili na torati zime chakachuliwa.
2:79
Basi ole wao wanaandika Kitabu kwa mikono yao wenyewe, kisha wakasema: “Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu”—ili wachumie (au waunue) faida ndogo (au pato dogo)! Basi ole wao kwa yale mikono yao iliyoandika, na ole wao kwa yale wanayoyachuma (au wanayoyapata).
Hii verse inatoa onyo kwa wanao andika vitabu vyao wenyewe kisha wanasema vimetoka kwa Allah. Haisemi kwamba injili na torati imechakachuliwa.
Hizo verse zote hazisemi kwamba injili na torati zime chakachuliwa,some response yangu kisha uje na majibu kutoka kwenye Quran.
Wapi Quran imesema kwamba injili na torati zime chakachuliwa?
Naam bila shaka kabisa, ili oune hilo, tuletee matini ya Injili ya Yesu, matini ya Taurati ya Musa na kadhalika tuletee matini ya Zaburi ya Daudi kama ilivyo matini ya Qur'an.Ok twende polepole mkuu,
Unaamini Mungu ametunza Quran pekee ila vitabu vingine ameviacha vipotee?
Bro @Clever505 nadhan unajua Quran imesetiwa kijanja . Na kuna mitego imejaribu kuikwepa hasa visa walizozichukua kwa Biblia.
Sasa si uandike kwani wewe si uliniletea mimi🤣🤣🤣Sema tukusaidie kama tatizo ni kuelewa Kiingereza
hamis77
Kijana hulijui Qur'an halafu unaandika uongo mtupu. Qur'an imeshuka ndani siku Moja ?Kumbuka aya zote za Quran zilishuka kwa siku moja . Usiku mmoja wa mwez wa Ramadhani. Allah alishuka Quran mpaka mbingu ya 1 na hizo aya Jibril alitumia miaka 23 kumsomea mohamed kwenye ndoto (maana face to face alimtokea mara 2 tu) hadi kukamilika na mtume akawa anawahadithia maswahaba kidogo kidogo waandike kwenye magome ya miti na wengne watunze kwa kukariri.
Kijana hulijui Qur'an halafu unaandika uongo mtupu. Qur'an imeshuka ndani siku Moja ?Kumbuka aya zote za Quran zilishuka kwa siku moja . Usiku mmoja wa mwez wa Ramadhani. Allah alishuka Quran mpaka mbingu ya 1 na hizo aya Jibril alitumia miaka 23 kumsomea mohamed kwenye ndoto (maana face to face alimtokea mara 2 tu) hadi kukamilika na mtume akawa anawahadithia maswahaba kidogo kidogo waandike kwenye magome ya miti na wengne watunze kwa kukariri.
Kijana hulijui Qur'an halafu unaandika uongo mtupu. Qur'an imeshuka ndani siku MojaKumbuka aya zote za Quran zilishuka kwa siku moja . Usiku mmoja wa mwez wa Ramadhani. Allah alishuka Quran mpaka mbingu ya 1 na hizo aya Jibril alitumia miaka 23 kumsomea mohamed kwenye ndoto (maana face to face alimtokea mara 2 tu) hadi kukamilika na mtume akawa anawahadithia maswahaba kidogo kidogo waandike kwenye magome ya miti na wengne watunze kwa kukariri.
Kwa Allah ni jambo dogo sana. Sio moto tu, Bali mpaka viungo vyako vitaongea hiyo siku ya Kiama na kutoa ushahidi.Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
Nyie Waislamu mnadai kuwa kitabu Cha Musa Torati alipewa Mwislamu Musa: Mwislamu Daudi na Isa walipewa Zaburi na Injiri:2:75
4:46
5:13
2:79
Na hadithi pia zipo
Allah hahusiki chochote na vitabu vya Torati na Injiri:Unahisi maandiko ya Allah yalikuwa ni yapi zaidi ya Taurat na Injil?
Waliochakachua hawawezi kuwa Waislamu ila ni wale ambao walifanya hivyo kwa ajili ya maslahi yao binafsi nao ni Wayahudi na ManaswaraNyie Waislamu mnadai kuwa kitabu Cha Musa Torati alipewa Mwislamu Musa: Mwislamu Daudi na Isa walipewa Zaburi na Injiri:
Na waliwakabidhi uma wao Waislamu:
Kama hivyo vitabu ambavyo Allah alivyowapa Manabii wa Kiislamu mnasema vimechakachuliwa:
Mnatakiwa Muwalaumu waislamu wenzenu waliokabidhiwa hivyo vitabu na Mungu wenu:
Sisi tusio Waislamu mnatuhusishaje na habari ya kuvichakachua hivyo vitabu vyenu Waislamu ?
Naam bila shaka kabisa, ili oune hilo, tuletee matini ya Injili ya Yesu, matini ya Taurati ya Musa na kadhalika tuletee matini ya Zaburi ya Daudi kama ilivyo matini ya Qur'an.
Hii ndio maana ya kuilinda, bali Allah ameilinda Qur'an kuanzia matini mpaka maana za aya.
Walivipata wapi hao unaowataja wakati vilikabidhiwa kwa Manabii na waumini Waislamu?Waliochakachua hawawezi kuwa Waislamu ila ni wale ambao walifanya hivyo kwa ajili ya maslahi yao binafsi nao ni Wayahudi na Manaswara
Kwani Manabii walipopewa hayo maandiko walikuwa wanakaa nayo chumbani kiasi kwamba watu wengine wasiyapate?Walivipata wapi hao unaowataja wakati vilikabidhiwa kwa Manabii na waumini Waislamu?
Origino vyake mliviweka wapi ?
Au mmevipoteza ?
Kwahiyo mliwakabidhi vitabu vyenu vyote Mayahudi na Makristo sio:Kwani Manabii walipopewa hayo maandiko walikuwa wanakaa nayo chumbani kiasi kwamba watu wengine wasiyapate?
Hizo Qur’an zote zina maudhui sawa ila utofauti ni namna ya kusoma tu🤣🤣🤣🤣