Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

ushahidi wa kihistoria na kisayansi unaoonyesha kuwa maandiko ya Biblia hayakuokolewa kwa moja kwa moja bila mabadiliko, bali yalipitia mchakato wa manuscript transmission (nakala na uandishi wa maandishi) unaoonyesha tofauti, marekebisho ya nakala, na tofauti kati ya matoleo ya zamani na ya baadaye .

1. Kuna tofauti kati ya maandishi ya zamani na matoleo ya baadaye
Dead Sea Scrolls ni moja ya vyanzo vya kihistoria vinavyoonyesha kuwa maandiko ya Biblia yalikuwa na tofauti za maneno na uandishi kati ya nakala za zamani na matoleo ya baadaye.
Tafiti za Dead Sea Scrolls zinaonyesha kuwa baadhi ya maandiko ya zamani yalikuwa na *tofauti katika uandishi ikilinganishwa na maandishi ya Masoretic Text ambayo Biblia ya kisasa inategemea. Hii inaonyesha kwamba *kulikuwa na mabadiliko ya nakala kwa karne nyingi.

2. Biblia haikawahi kupata maandishi asilia (autographs)
Hakuna nakala ya asili ya vitabu vya Biblia (yaani maandishi ya mwanzo yaliyoandikwa kwanza):
Wakristo wa kifalme walisubiri karne nyingi kabla ya kuandika au kukusanya maandishi yaliyokuwepo. Tangu zile za mwanzo zilipotea, yale tunayo leo ni nakala zilizokadiriwa kutoka kwa nakala nyingi mbalimbali.
Wewe unayo manuscript halisi ya Quran?
 
Hiyo mada ya farao achana nayo hutakuwa huielewi maana ulipaswa ujue kwanza historia inasemaje kuhusu mtawala wa Misri kipindi cha Nabii Yusuf

Kuhusu milima hapo umeyumba wewe ulisema kuzuia ili isipeperuke na wakati ukweli ni kuzuia ili isitingishike
Halafu ukasema sawa na kuweka jiwe juu ya mkeka wakati milima kila mtu anafahamu kuwa haijakaa kama jiwe juu ya mkeka ila imejichimbia chini so hujaelewa concept
Sawa nilikosea tukio ila mantiki ya swali na hoja ipo sawa je milima inazuia dunia isiyumbe 😁😁😁😁 sayansi ya mudi boy na Allah ni kituko 😁😁😁
 
Kiongozi,
Hakuna mtu anaweza kubadilisha vitabu vya Mungu.
Kwani unafikiri kwa mfano kitabu cha Injili kilikuwa kimoja dunia nzima? Ni wazi kwamba kulikuwa na vingi, tufanye vipo kumi tu, vimesambazwa dunia nzima. Sasa ukitaka kubadilisha inabidi uvitafute vyote uvibadilishe? Na ukitaka kubadilisha utawaambia nini walionavyo ili wakuelewe wakati wanajua hakuna tena mtume wa kuleta maneno mapya?
Kulingana na jinsi unavyoamini kwamba vimebadilishwa, hebu tueleze vilibadilishwa kwa njia gani kiasi kwamba kisibaki hata kimoja ambacho kilibaki salama?
Katika kipindi cha Mtume Isa Injili haikuwa kwenye mfumo wa kitabu bali ilihifadhiwa kichwani na baadae ndipo watu walianza kuandika na hapo ndipo palipoanza upotoshaji

Na kwenye Taurat pia ilihifadhiwa kichwani isipokuwa amri au maagizo yaliyokuwepo kwenye mbao maalum ndio zilikuwa kwa maandishi
 
Sawa nilikosea tukio ila mantiki ya swali na hoja ipo sawa je milima inazuia dunia isiyumbe 😁😁😁😁 sayansi ya mudi boy na Allah ni kituko 😁😁😁
Hapo umesema tu namna Qur’an inavyosema kuhusu milima lakini haujatoa hoja yoyote kupinga hiyo aya ya Qur’an
Maana yake umekosa hoja ya kupinga badala yake umebaki kupinga kwa maneno matupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapo umesema tu namna Qur’an inavyosema kuhusu milima lakini haujatoa hoja yoyote kupinga hiyo aya ya Qur’an
Maana yake umekosa hoja ya kupinga badala yake umebaki kupinga kwa maneno matupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hayo maneno sio matupu.
Milima kila mtu anaijua. Sasa eti ndio inazuia dunia isiyumbe.

Hata mtoto wa chekechea hauwez kumdanganya hilo na akakubali.
Ila nyinyi mmesadiki.😎😎😎
 
Hayo maneno sio matupu.
Milima kila mtu anaijua. Sasa eti ndio inazuia dunia isiyumbe.

Hata mtoto wa chekechea hauwez kumdanganya hilo na akakubali.
Ila nyinyi mmesadiki.😎😎😎
Na wewe pia ndo walewale hujaleta hoja yoyote🤣🤣🤣
 
Hapo umesema tu namna Qur’an inavyosema kuhusu milima lakini haujatoa hoja yoyote kupinga hiyo aya ya Qur’an
Maana yake umekosa hoja ya kupinga badala yake umebaki kupinga kwa maneno matupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hoja ya milima kuwa ni kishikilio cha dunia ni upuuzi uliotukuka wa mudi boy na Allah wake.
 
Katika kipindi cha Mtume Isa Injili haikuwa kwenye mfumo wa kitabu bali ilihifadhiwa kichwani na baadae ndipo watu walianza kuandika na hapo ndipo palipoanza upotoshaji

Na kwenye Taurat pia ilihifadhiwa kichwani isipokuwa amri au maagizo yaliyokuwepo kwenye mbao maalum ndio zilikuwa kwa maandishi
Duh! Hii ndo nasikia leo.
Kwa hiyo Injili tangu mwanzo iliandikwa kimakosa ama vipi!

Torati iliandikwa na Musa peke yake, unaposema ilihifadhiwa kichwani unaamisha kichwani kwa Musa?
 
Duh! Hii ndo nasikia leo.
Kwa hiyo Injili tangu mwanzo iliandikwa kimakosa ama vipi!
Soma vizuri na uelewe au pengine mimi ndio sijakuelewa wewe
Torati iliandikwa na Musa peke yake, unaposema ilihifadhiwa kichwani unaamisha kichwani kwa Musa?
Musa hakuandika Taurat bali aliihifadhi kichwani na aliwafundisha wafuasi wake kwa maneno ya mdomoni ila baadae ndipo watu walianza kuandika Taurat
 
Soma vizuri na uelewe au pengine mimi ndio sijakuelewa wewe

Musa hakuandika Taurat bali aliihifadhi kichwani na aliwafundisha wafuasi wake kwa maneno ya mdomoni ila baadae ndipo watu walianza kuandika Taurat
Torati iliandikwa na nani
 
Watu wa zama hizo baada ya Musa na hapo ndipo walipopata upenyo kuongeza na kupunguza kadri walivyoona ili kukidhi maslahi yao
Maslahi yapi mkuu! Hapo kwenye maslahi ndo huwa mnajificha. Hebu nionyeshe kwenye Torati tuliyonayo ni maneno yapi pale yapo kimslahi.
 
Bado hukomi tu kusema uongo 😂😂😂!!
 
Sisi hatuna Taurat tuna Qur’an
Hiyo Taurat kwenye Biblia ndio Kumbukumbu la torat au?
Unauliza nini tena:
Waislamu Mungu wenu Allah aliwakabidhi Torati, Zaburi na Injiri kwa manabii wenu Musa, Daudi na Isa:
Sasa sisi tunahusika nini na vitabu vyenu?
Na akawapa waumini wenu, ndugu zenu wa Kijini ambao wanajenga hadi misikiti yenu:
Sisi tumekubali, maswali ya kidini yenu yanatuhusu nini sisi Makafiri ?
 
Waislamu
Ni kwanini mmevitia mikono vitabu mlivyo kabidhiwa na Mungu wenu Allah?

Au Allah na Muhamadi ni waongo?
 
Unauliza nini tena:
Waislamu Mungu wenu Allah aliwakabidhi Torati, Zaburi na Injiri kwa manabii wenu Musa, Daudi na Isa:
Sasa sisi tunahusika nini na vitabu vyenu?
Na akawapa waumini wenu, ndugu zenu wa Kijini ambao wanajenga hadi misikiti yenu:
Sisi tumekubali, maswali ya kidini yenu yanatuhusu nini sisi Makafiri ?
Naona umevamia mada usiyoielewa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom