Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Sijavamia Mada:Naona umevamia mada usiyoielewa🤣🤣🤣
Mada inasema:
"Kati ya Allah na Waislamu nani Muongo"?
Mimi najibu Waongo Waislamu:
Kwakuwa Allah amesema kawapa vitabu vyake vya Torati, Zaburi na Injiri.
Tukiwauliza viko wapi na katika hali gani ?
Mnajibu kuwa "Mayahudi wamevichakachua na vingine wamevipoteza"
Mi ndio nawauliza, Allah alimkabidhi nani vivyo vitabu?
Mnajibu aliwakabidhi Manabii na Waumini wa Kiislamu:
Sasa inakuwaje mnawalaumu watu ambao Allah hakuwakabidhi hivyo vitabu vyenu?
Mbona hamkubali kuwa mmeshindwa kuvitunza vitabu vya Allah mlivyokabidhiwa?
Allah kasema ukweli ila nyinyi Waislamu ni
Waongo sana:
Tito (Tit) 1:12
Mtu wa kwao, nabii wao wenyewe, amesema, Wakrete ni waongo siku zote, hayawani wabaya, walafi wavivu.
Asalamalekum 🙂🙂🙂