Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Mohamed alikuwa ni hodari wa vita! Yaani hapa africa ni kama shaka zulu! Akawa na tamaa ya kuwa mfalme ndipo akajaribu kufanya mapinduzi yaliyofeli ikabidi akimbilie madina! Ila baada ya tafakuri ya muda mrefu, akang'amua njia ya kuwa na wanajeshi wengi ni kuanzisha dini inayoendana na matakwa ya waarabu wenzie! Ndo maana mudi alikua anatoa ahadi za kipumbavu kwa wajeshi wake! Eti ukifa allah atakupa wanawake virgins 72 ko usiogope! Mara ohh allah anataka watakaoingia peponi wawe hodari so ukiua unakuwa na kibali cha kwenda peponi! Hizi ni mojawapo za ahadi ambazo jamaa aliwaahidi waarabu wenzie na akafanikiwa kuwalaghai mpaka akauteka mecca na kuendelea kutawala sehemu nyinginezo! Mudi akijua kuwa hii dini ambayo ameianzisha ndo silaha yake nambari one, akawa anaieneza kwa nguvu zote kila anapotawala sehemu fulani! Utawala wake ni moja ya falme ambazo zimo kwenye historia ya dunia ambazo zimeonyesha umuhimu wa kuwa na dini moja kama taifa linataka kuendelea! Hata new world order hutumia mifano ya hizi falme!
Umetoa somo zuri sana, vipi alikufaje huyu muuaji!
 
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
Yesu hakuleta dini, ukristo kama dini ulinzishwa na serikali ya Roma baada ya kuona wakristo wanazidi kuwa wengi na wengi wanazidi kumuamini Yesu, hata wewe unayo nafasi ya kufanya hivyo, muamini yeye uokoke wacha kukaza fuvu
 
Tumwamini Yesu au wewe ??? Kwenye Biblia anasema , Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 15:24

“Akajibu akasema: Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”

➡ Hii ni kauli ya moja kwa moja ya Yesu mwenyewe kuhusu upeo wa utume wake.

Aya nyingine zinazounga mkono maana hiyo​

1. Yesu aliwazuia wanafunzi kwenda kwa mataifa mengine​

Mathayo 10:5–6

“Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, akisema: Msiende katika njia ya Mataifa, wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria; bali enendeni kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”

➡ Kama utume wake ungekuwa wa mataifa yote tangu mwanzo, agizo hili lisingekuwepo.

Hayo ndiyo mahubiri ya wachungaji wenu wasikuwa na hoja
kwahiyo mi nishakuwa mchungaji au sio? Hupenda kusoma vitabu mbalimbali ndo nikakutana na hicho kitu. Ila sijakulazimisha uamini! Ukipata muda wako nenda ukagoogle website ya SACRED TEXTS kuna mavitabu mengi ya kale!
 
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
We jamaa inaonekana una akili kidogo tunaweza kujifunza jambo kwako, hebu ingia kwenye mada sasa acha maswali ya kitoto.
Haya jibu hoja ya mada yetu husika. Yupo wa kubadilisha maneno ya Allah?
 
Hoja yako ni maana ya neno Kristo na hakuna kingine??

Christos maana yake ni “Mpakwa mafuta”, na kupakwa mafuta katika maana ya kidini humaanisha kuteuliwa au kupewa jukumu.

Yesu, amani na baraka ziwe juu yake, aliteuliwa (akapakwa mafuta) katika ubatizo wake na Yohana Mbatizaji, kama Mjumbe wa Mungu.

Kila nabii wa Mungu hupakwa mafuta au huteuliwa kwa namna hiyo. Biblia Takatifu imejaa marejeo ya wale waliopakwa mafuta. Katika Kiebrania cha asili, alifanywa kuwa Masihi. Hebu tushikamane na tafsiri ya Kiingereza “anointed” (aliyepakwa mafuta).

Sio manabii, makuhani, na wafalme pekee waliopakwa mafuta (kufanywa Christos), bali hata pembe, makerubi, na nguzo za taa pia zilipakwa mafuta.

“Mimi ndimi Mungu wa Betheli, pale ulipopaka mafuta nguzo …”
(Mwanzo 31:13)

“Kama kuhani aliyepakwa mafuta akifanya dhambi …”
(Mambo ya Walawi 4:3)

“Naye Musa … akapaka mafuta hema ya kukutania na vyote vilivyokuwamo …”
(Mambo ya Walawi 8:10)

“… Bwana atainua pembe ya aliyepakwa mafuta wake”
(1 Samweli 2:10)

“Bwana asema hivi kwa aliyepakwa mafuta wake, Koreshi …”
(Isaya 45:1)

“Wewe ulikuwa kerubi aliyepakwa mafuta …”
(Ezekieli 28:14)

Kuna zaidi ya marejeo mia moja kama haya katika Biblia Takatifu. Kila unapokutana na neno “aliyepakwa mafuta” katika Biblia yako, unaweza kuelewa kwamba neno hilo lingekuwa christos katika tafsiri ya Kigiriki. Na ukitumia uhuru huohuo wa kimaana ambao Wakristo wameutumia, basi utakuwa na Kristo Kerubi, Kristo Koreshi, Kristo Kuhani, na Kristo Nguzo, n.k.
 
Yesu hakuleta dini, ukristo kama dini ulinzishwa na serikali ya Roma baada ya kuona wakristo wanazidi kuwa wengi na wengi wanazidi kumuamini Yesu, hata wewe unayo nafasi ya kufanya hivyo, muamini yeye uokoke wacha kukaza fuvu
Ushauri mzuri umetoa, sasa ajifanye haelewi aendelee na dini ya kishetani aende zake kwenye adhabu itakayotolewa na mtakatifu Yesu
 
We jamaa inaonekana una akili kidogo tunaweza kujifunza jambo kwako, hebu ingia kwenye mada sasa acha maswali ya kitoto.
Haya jibu hoja ya mada yetu husika. Yupo wa kubadilisha maneno ya Allah?
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
 
Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?

Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?

Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.

Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.

Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?

Sijui kama unajua matoleo ya Biblia mengi yaliyopo madukani na yanayogawanywa huko mashuleni sio lile toleo la King David...imesha chakachuliwa.
Na kwa sasa kuna toleo jipya la Biblia lipo jikoni ambapo kuna vifungu kadhaa vimefutwa kwani havina ushahidi wa hadithi za kale umeonekana ni wanafunzi walijitungia...
Mbona hujiulizi kwa nini Yesu ameshindwa kuilinda Biblia unakimbilia kwa Waislam
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uangalia kwa jirani.....
MUNGU ALIMUUMBA BINADAMU, BINADAMU AKAMKOSEA MUNGU, BINADAMU AKAMPIGA MUNGU HADI MUNGU AKAFARIKI, MUNGU ALIKUBALI KUPIGWA HADI KUFARIKI ILI AMSAMEHE BINADAMU DHAMBI???
 
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
Maswali yako mazuri ila unaonaje tuanze na mada iliyopo Kisha tunakuja kwenye Maswali yako
 
Kwani ndugu mukheef we hiyo Aya ni ngumu hadi usubiri mawazo ya wanazuoni? Aaaaaaah! Hebu lete uelewa wako kwanza kabla hujawasoma wanazuoni, hiyo akili umepewa na Mungu itumie kabla hujaitegemea ya mwanadamu mwenzio.
Tunafuata amri ya Allah na Mtume wake ya kuwafuata Wanazuoni
Hata hivyo hiyo aya haiwezi kumaanisha unavyotaka wewe
 
Kwani wapi Yesu alihubiri ukristo ?? au aliwaambia watu wawe wakristo ??
Maswali yako mazuri ila unaonaje tuanze na mada iliyopo Kisha tunakuja kwenye Maswali yako
Wapi imeandikwa Mungu anaitwa yahweh , Hio ni Lugha gani ??
We mzee tubaki kwenye mada husika kwanza, maswali yako mazuri nitajibu yote
 
Sijui kama unajua matoleo ya Biblia mengi yaliyopo madukani na yanayogawanywa huko mashuleni sio lile toleo la King David...imesha chakachuliwa.
Na kwa sasa kuna toleo jipya la Biblia lipo jikoni ambapo kuna vifungu kadhaa vimefutwa kwani havina ushahidi wa hadithi za kale umeonekana ni wanafunzi walijitungia...
Mbona hujiulizi kwa nini Yesu ameshindwa kuilinda Biblia unakimbilia kwa Waislam
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uangalia kwa jirani.....
MUNGU ALIMUUMBA BINADAMU, BINADAMU AKAMKOSEA MUNGU, BINADAMU AKAMPIGA MUNGU HADI MUNGU AKAFARIKI, MUNGU ALIKUBALI KUPIGWA HADI KUFARIKI ILI AMSAMEHE BINADAMU DHAMBI???
Aya ya Quran 6:34
Mungu Allah anasema hakuna wa kubadilisha maneno yake.
We hapo unasema yamebadilishwa, maana yake Allah ni muongo au sio?
 
Back
Top Bottom