Sawa jehanam itaongea kama ilivyo kwa vijiti na Punda.
Aya gan unasemea.
Ni hii ya Binadamu ameubwaje?.
Quran 86 : 5-7
"Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu."
Inaonyesha unaanza kupoteza kumbukumbu , ni bora ukaenda hospitali au wachana na kuabudu mtu anayekunya na kujamba
Maneno haya umeyaandika wewe
Viumbe hai na visivyo hai wanaweza wakapewa uwezo wa kuongea.
Sina shaka kwenye hilo.
" kijiti kiliwaka moto na Kuongea"
Ila jehanamu inaongeaje?.
Qur’an 18:86
“Mpaka alipofika mahali linapozama jua, aliliona linazama katika chemchemi ya matope meusi